Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Jamaa mkali Sanauyu mwamba aka yake ni Dre the snitch tafuta series moja inaitwa power ya 50 cent utamkubali jamaa anajua bonge LA series ya wauza drugs na wanavyo windwa na DEA huto jutia muda wako
[emoji23][emoji23][emoji23]Na wataachana tu[emoji16][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
kamsumbua Sana ghost mwamba anajua kinouma Sema wabongo wengi hawajui makali yake ko wengi watambeza
Noma sana
Shindwa pepoNa wataachana tu[emoji16][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Jamani, tunashindwa kujadili mambo ya msingi tunajadili watu wanopiga uhuni!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule mtoto naye kasimamia kucha dada..made in Thailand ileHahaaa...wee range na vitz kakaa[emoji3][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]yule wa juma wa manzese
Sent using Jamii Forums mobile app
hii kauli kama imetolewa na me, inasikitisha sana!Halafu kuna watu wapo bussy kwenye mitandao wanamlaumu "V MONEY" kumtema yule mbongo mwenzetu "MWANAUME SURUALI" (aliekua na kibanda pale sinza kikabomolewa na wanamgambo wa city), then kudate na huyu jamaa anaejitambua.
Wabongo sijui nani alituroga.
[emoji85][emoji119]Shemeji mbona kimuonekano kama chakula cha watu
πππ[emoji85][emoji119]
Sent using my Audi A6 [emoji593]2017 model
Na wataachana tu[emoji16][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani, tunashindwa kujadili mambo ya msingi tunajadili watu wanopiga uhuni!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Lisemwalo.............[emoji16][emoji1][emoji1][emoji1]
Mboga 7 full makachumbari hapo.Shemeji mbona kimuonekano kama chakula cha watu