Wozaaa Rotimi shemeji wa dunia katua Tanzania

Wozaaa Rotimi shemeji wa dunia katua Tanzania

Mbona Bwan' shemeji amejipiga kitaulo sana?

Sent using Jamii Forums mobile app

Adjustments.JPG




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu kuna watu wapo bussy kwenye mitandao wanamlaumu "V MONEY" kumtema yule mbongo mwenzetu "MWANAUME SURUALI" (aliekua na kibanda pale sinza kikabomolewa na wanamgambo wa city), then kudate na huyu jamaa anaejitambua.

Wabongo sijui nani alituroga.
hii kauli kama imetolewa na me, inasikitisha sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom