Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Jamaa mkali Sanauyu mwamba aka yake ni Dre the snitch tafuta series moja inaitwa power ya 50 cent utamkubali jamaa anajua bonge LA series ya wauza drugs na wanavyo windwa na DEA huto jutia muda wako
Sent using Jamii Forums mobile app