JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Huu weupe wake!! Ni original au amekunywa maji mengi ya uhai!!!???View attachment 1308547
Mambo si ndio hayaa shemeji katua
Ila isijekuwa kiki [emoji1787][emoji23]
Uzi tayari
Sent using Jamii Forums mobile app
V ndiyo types zake hizo hata yule aliyepita mlamba lipsNo niliwahi kuona video yuko na v money Dubai yaani shemeji ana lamba lips aibu tupu hata tembea yake ina walakini
Ila vee money utadhani hajawahi kupenda toka azaliwe mweeeeh[emoji119][emoji119][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu weupe wake!! Ni original au amekunywa maji mengi ya uhai!!!???
Huyu mnaija mmarekani!!! Huyu!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
ohh kumbe jamaa anajitambua ?Halafu kuna watu wapo bussy kwenye mitandao wanamlaumu "V MONEY" kumtema yule mbongo mwenzetu "MWANAUME SURUALI" (aliekua na kibanda pale sinza kikabomolewa na wanamgambo wa city), then kudate na huyu jamaa anaejitambua.
Wabongo sijui nani alituroga.
Mbona kajichubua Ivo😊😊
haha hapana chezea wanaijeria aisee
Yupo hivyo, tafuta series ya power utamuona pia ana wimbo wake sikumbuki ni ridim vile ila yupo hivyo hivyo,Macho yangu yamenidanganya
Jamaa anadhani huyu anaishi uswekeni kama Mbagala rangi tatu..full vumbiMbongo bahati mbaya? Kila mweupe unayemwona unaconclude kajichubua!
Wengine mix race kwa mbali na maji anayoogea huko kwao ni masafi kulipa maji ya kunywa ya baadhi yetu.
We huyo mwangalie tu kwa mbali a useme AMEEN, utukufu ni wa Mungu.
Duh, wameshaanza kumpiga mizinga nini? Jamaa kashangaa kama kaombwa pesa au bia, eti excuse me sir?