Wozaaa Rotimi shemeji wa dunia katua Tanzania

Wozaaa Rotimi shemeji wa dunia katua Tanzania

Halafu kuna watu wapo bussy kwenye mitandao wanamlaumu "V MONEY" kumtema yule mbongo mwenzetu "MWANAUME SURUALI" (aliekua na kibanda pale sinza kikabomolewa na wanamgambo wa city), then kudate na huyu jamaa anaejitambua.

Wabongo sijui nani alituroga.
ohh kumbe jamaa anajitambua ?
 
Mbongo bahati mbaya? Kila mweupe unayemwona unaconclude kajichubua!

Wengine mix race kwa mbali na maji anayoogea huko kwao ni masafi kulipa maji ya kunywa ya baadhi yetu.

We huyo mwangalie tu kwa mbali a useme AMEEN, utukufu ni wa Mungu.
Jamaa anadhani huyu anaishi uswekeni kama Mbagala rangi tatu..full vumbi
 
Back
Top Bottom