Wozaaa Rotimi shemeji wa dunia katua Tanzania

Ulisha date nae huyu Jamaa ukajua kua anajitambua,? Na Huo Uanaume suruali wa Jux ulisha date nae Ukaujua usuruali wake?

Mwanaume unakua na Michambo kama mtoto wa kike
 
Makonda amewaangusha wakazi wa mkoa wa Dar es Salaam. Alitakiwa awepo Airport na Vanessa Mdee kumpokea boyfriend wa Bongo fleva.
 
Huyu anajitambua kwa sababu kasokota nywele?1Au kwa sababu mweupe? wabongo bana. V alichoka mb..o ya jamamaa maana kazoea kubadili acha aende.
 
Vmoney mjanja sana, kudate na huyu celebrity wa Naija, kutamfanya mziki wake upenye na kuwa maarufu Nigeria, na kwa africa ukishapata kick Nigeria ujue umeshatusua kimataifa, maana wanigeria wamesambaa dunia nzima.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Usinikumbushe kudekezwa, Kuna wakati niliingiwa na ugonjwa wa kulialia kisa kudekezwa, yaani kitu kidogo babe akiwepo lazima nilie

Sent using Jamii Forums mobile app

Mi ukiniletea mambo ya kulialia lazima nikubwage bila huruma. Mi napenda demu anayecheka saa zote na nikiomba tu napewa.
 
Vmoney mjanja sana, kudate na huyu celebrity wa Naija, kutamfanya mziki wake upenye na kuwa maarufu Nigeria, na kwa africa ukishapata kick Nigeria ujue umeshatusua kimataifa, maana wanigeria wamesambaa dunia nzima.
Alisha fanya colabo na Peter wa P square lakini bado hakupenya sasa atapenyezwa na Rotimi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…