Robidinyo
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 4,043
- 8,686
Ulisha date nae huyu Jamaa ukajua kua anajitambua,? Na Huo Uanaume suruali wa Jux ulisha date nae Ukaujua usuruali wake?Halafu kuna watu wapo bussy kwenye mitandao wanamlaumu "V MONEY" kumtema yule mbongo mwenzetu "MWANAUME SURUALI" (aliekua na kibanda pale sinza kikabomolewa na wanamgambo wa city), then kudate na huyu jamaa anaejitambua.
Wabongo sijui nani alituroga.
Mwanaume unakua na Michambo kama mtoto wa kike