Hakuna habari za Biblia katila Qur'aan, kuna habari za Injili, Zaburi, Taurati na kurasa za Ibrahim na Musa.Hatuenezi ushirikina bali upendo. Hatuna surat jin sisi.
Hiyo Injili kitabu chake kinapatikana wapi?
Nitathibitishaje Bibli ni ya uongo ikiwa aya zake na habari zake zimewekwa kwenye Koran?
Dini ya haki ni ipi?Hakuna habari za Biblia katila Qur'aan, kuna habari za Injili, Zaburi, Taurati na kurasa za Ibrahim na Musa.
Hakuna upendo wa kweli nje ya dini ya haki.
Hizo sio habari za Biblia, sababu Biblia haikuwepo kipindi hicho.Dini ya haki ni ipi?
Habari za Injili Koran ilizitoa wapi?
Nitakupa mifano michache ya habari za Biblia zilizoko kwenye kitabu chenu.
1. Habari za Nuhu.
2. Habari za Adam na Eva.
3. Habari za Musa na wana wa Israel.
4. Habari za Mfalme Daudi.
5. Habari za Yesu (japo hizi zimepindishwa sana)
6. Habari za Ibrahim.
Hii ni mifano tu ila kuna aya zipo zinafanana 99.8%
Kama Biblia haikuwepo kilikuwepo kitabu gani?Hizo sio habari za Biblia, sababu Biblia haikuwepo kipindi hicho.
Habari za Injili mtume alifunuliwa na Allah toka mbinguni.
Dini ua hali ni UISLAMU.
Ukiwa unaandika ujinga unatakiwa uwe mvumilivu kijana,hapa uko vitani usimchagulie silaha adui yako. Acha upigwe tu ili akili ikukae sawa.
Unapovunja heshima za watu, ukivunjiwa yako inabidi ufanye yafuatayo :
1. Kufanya kinyume chake
2. Utambue kosa lako kisha uliache.
takibiiirWewe unangoja nini?...
kuepuka kukwazwa uwe unaacha kucoment ujinga mkuu, pole sana.
Vilikuwepo hivyo nilivyo kutajia, ila mpaka mtume anakuwepo nakala halisi za vitabu hivyo zilikuwa hazipo kwani watu walikuwa wameshaanza kuingiza uchafu. Rejea kitabu kiitwacho "Al Jawabu As Sahih).Kama Biblia haikuwepo kilikuwepo kitabu gani?
Alifunuliwa na Allah Injili wow! Sasa kwanini katika mafunuo hayo alikuwa akipinga vile vilivyoandikwa kwenye Biblia na kukubaliana navyo baadhi ina maana Allah aliwahi kuisoma?
Fanyia kazi ushauri wangu, maana hilo dogo limekuyumbisha ukipewa kubwa utapagawa na kurauka, wengine tuna jeruhi kwa maneno ya haki na elimu, mpaka unajiona umekosea kuingia ulipo ingia hapa.She knocked herself out since the day before yesterday. Ukitaka banter to banter hapa tunakesha kwani mimi mwenyewe adabu nusu vilevile.ban ya mwezi mmoja huwaga hainisumbui pale inapobidi, kwahiyo wewe chukua hamsini zako tu, achana na mimi.
Delle Alli amtaki baba yake kwa kuwa akumlea , hivyo yy anataka amufuate mama yake , na Yuko sahihi kwa kuwa haujui uislam Sasa atafuata kitu hasicho kijuaBrother, nauhakika unawafahamu John Cena na Cristiano Ronaldo hivi umewahi kujiuliza kwanini hawajichori licha ya kuwa ma-star wakubwa?
Angalia na background ya hao uliowataja utagundua wengi hawana misingi mizuri ya Kikristo, mathalani Drake huyu amezaliwa katika familia ya Kiyahudi hivyo Ukristo wake hauna misingi mizuri.
Mwanamichezo akibadili dini na kuwa Muislam inakuwa big issue wakati kuna kila Dele Ali hawaitaki hiyo imani and hakuna anayejali unaweza kujua ni kwanini?
Fanyia kazi ushauri wangu, maana hilo dogo limekuyumbisha ukipewa kubwa utapagawa na kurauka, wengine tuna jeruhi kwa maneno ya haki na elimu, mpaka unajiona umekosea kuingia ulipo ingia hapa.
Sasa, ukiingia vitani usimchagulie adui yako silaha, na uwe na adabu juu ya imani za watu, uache utoto.
Ukivunjia watu heshima na wao lazima wakuvunjie heshima, kisha kinaangaliwa ustahimilivu.
Kazi yangu nimemaliza kijana.
Huku kwetu "Tusi" huitwa "Jeneza" kwa umoja, na kwa wingi "Matusi" ni "Majeneza".unawashwawashwa tu? Au unatafuta bwana?
mkuu nitake radhi kabla sijala BAN ya maisha humu ndaniNikisema comment imanikwaza ujue naona suluhu kabla sijapigwa Ban. Uwe na weekend njema, huyo bi mkubwa mwenzio kakukubali yaishe.
unawashwawashwa tu? Au unatafuta bwana?
Anaujua ndio maana ameukataa mara nyingi tena kwenye media.Delle Alli amtaki baba yake kwa kuwa akumlea , hivyo yy anataka amufuate mama yake , na Yuko sahihi kwa kuwa haujui uislam Sasa atafuata kitu hasicho kijua
Hiko kitabu cha Al Jawabu As sahih kakiandika nani na kimeandikwa mwaka gani?Vilikuwepo hivyo nilivyo kutajia, ila mpaka mtume anakuwepo nakala halisi za vitabu hivyo zilikuwa hazipo kwani watu walikuwa wameshaanza kuingiza uchafu. Rejea kitabu kiitwacho "Al Jawabu As Sahih).
Mtume alifunuliwa habari za kale lakini hakuambiwa ziwe muongozo kwake, bali ulikuwa ushahidi kwa wale walio kuwa wanapinga utume wake.
Kimeandikwa na mwanachuoni aitwae Ibn Taymiyyah karne 13.Hiko kitabu cha Al Jawabu As sahih kakiandika nani na kimeandikwa mwaka gani?
Endelea kifikiria na kutafakari utaelewa.Umetaja Torati, Injili na Zaburi hivi vitabu umeandika nakala zake halisi mpaka mwaka 640 B.K vilikuwa havipo maana vilishaanza kuchafuliwa na watu hapa nimeshindwa kukuelewa najaribu akili inakataa.
Kwenye Biblia kuna vitabu vitano ambavyo vinaunda Torati ambayo Original yake iliandikwa Kiebrania maelfu ya miaka kabla ya ujio wa Kristo vivyo hivyo kwa Zaburi kuna vitabu ambavyo hukuvitaja vipo pia ndani ya Biblia vinaitwa vitabu vya manabii au ufunuo.
Ushahidi wa hilo tafadhali.Kabla Israel haijaharibiwa na kumpoteza kuhani Mkuu ambaye hadi leo hayupo hivi vitabu vyote vilishatafsiriwa kwa Kigiriki vyote maelfu kwa maelfu.
Mayahudi na Wajiitao wakristo, vingi havikuwepo, kama vile utatu,kusulubiwa kwa Yesu,uungu wa Yesu na mfano wake.Pengine uniambie ni kina nani waliochafua hivyo vitabu na kipi kipo hakikupaswa kuwepo na kinachopaswa kuwepo ni kipi?
Zipo ili kuzingatia na kujibu maswali ya wale walio kuwa wanapinga utume wake.1. sasa kwanini zipo ndani ya Koran?
Ushahidi wa hilo, lakini yawezekana vilikuwa salama kipindi hicho.2. Yesu alitumia habari na mafundisho ya manabii na mitume wa kale kama kielelezo na wala hakuyapinga iweje Muhammad asitumie kama muongozo?
Sio kweli, Imani ya mtume Muhammad haipingani na Imani ya mitume na manabii wowote katika walio mtangulia.3. Kwanini imani aliyoianzisha Muhammad inapinga imani ilizozozikuta?
Imani yake ni ipi?Kimeandikwa na mwanachuoni aitwae Ibn Taymiyyah karne 13.
Mwandishi wa Torati ni Musa mwenyewe na ndio maana kwenye kitabu chenu huwezi kuipata Torati tofauti na iliyoko kwenye Biblia.Endelea kifikiria na kutafakari utaelewa.
Viliandikwa na nani ?
In what language was the Bible first written? | Biblica - The International Bible SocietyUshahidi wa hilo tafadhali.
Unaweza kuthibitisha kuwa havikuwepo?Mayahudi na Wajiitao wakristo, vingi havikuwepo, kama vile utatu,kusulubiwa kwa Yesu,uungu wa Yesu na mfano wake.
Ndivyo Allah alivyoziwasilisha kwa mtindo ule?Zipo ili kuzingatia na kujibu maswali ya wale walio kuwa wanapinga utume wake.
Biblia inatuambia vyote vitapita ila neno la Mungu kamwe halitapita.Ushahidi wa hilo, lakini yawezekana vilikuwa salama kipindi hicho.
Muhammad hakutumia kama muongozo, sababu muda wa vitabu hivyo ulikuwa umeshapita.
Inapingana.Sio kweli, Imani ya mtume Muhammad haipingani na Imani ya mitume na manabii wowote katika walio mtangulia.