Performance ndio inaamua cut off.Maana mwenyewe nilishangaa, vyuo kibao wanachukua kwenda oral hadi wenye 50.
Basi huyo Dr alinilisha matango pori.Marks za kwenda Oral ni 50%,Ila kama watu wakifaulu wengi na nafasi zikiwa chache basi ufaulu unaongezwa.Ila kama nafasi ni nyingi na wafaualu wapo wachache basi huanzia 50%
Watu 1000 ni wachache sana Muraa tena ilitakiwa watoe baada ya masaa manne.Nje ya mada kidogo.
Hivi kwa ujobless uliopo kwa sasa, experience unaitoa wapi? Au kujitolea na intership unaiongeza kwenye experience?
Halafu kuna tetesi ya mitihani ya utumishi kuvuja!
Na pia kuna tetesi za watu kupitishwa! Inakuwaje mnapiga written watu 1000 mitihani inasahihishwa kwa siku moja na Matokeo yapostiwa fastafasta, sio kupanga watu wao?
Utumishi Wana hatari sana wale😂😂😂😂Kuna mwana tumepiga nae alikuwa anatukimbiza chuo ila walimla kichwa written
Haya mambo hayaeleweki maana mwenyewe naona walikosa mtu bora kabisa
Mkando unakata kote kote aisee.Kuna mwana tumepiga nae alikuwa anatukimbiza chuo ila walimla kichwa written
Haya mambo hayaeleweki maana mwenyewe naona walikosa mtu bora kabisa
Utumishi ukienda na idea za nilikua kipanga chuo ,asee hutoboi kabisaMkando unakata kote kote aisee.
Basi huyo Dr alinilisha matango pori.
Marks za kwenda Oral ni 50%,Ila kama watu wakifaulu wengi na nafasi zikiwa chache basi ufaulu unaongezwa.Ila kama nafasi ni nyingi na wafaualu wapo wachache basi huanzia 50%
Flexibility ni muhimu kwa sababu mtihani unaweza ukawa mgumu sana, wote mkaishia kupata marks chache(chini ya 70).Alikuwa sahihi wala hakukulisha tango pori. Kwa mujibu wa Kanuni no. 16 ya Kanuni Za Uendeshaji wa Shughuli za sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma za mwaka 2021, alama za ufaulu kwa kada za wahadhiri na wakufunzi ni 70 ila kwa kada nyengine kwa mujibu wa kanuni hiyo hiyo ni 50.
So kisheria alikuwa sahihi kabisa.
Ila naoma kwenye hizi sahili utumishi wamekuwa flexible kuangalia na ufaulu husika kwenye written.
Hii kusahisha pepa ya essay ya maswali matano iliyofanywa na watu zaidi ya 1000 kwa siki moja na kutoa majibu huwa inaniacha mdomo wazi...Nje ya mada kidogo.
Hivi kwa ujobless uliopo kwa sasa, experience unaitoa wapi? Au kujitolea na intership unaiongeza kwenye experience?
Halafu kuna tetesi ya mitihani ya utumishi kuvuja!
Na pia kuna tetesi za watu kupitishwa! Inakuwaje mnapiga written watu 1000 mitihani inasahihishwa kwa siku moja na Matokeo yapostiwa fastafasta, sio kupanga watu wao?
Huwa wanasahisha zile point tu mzeeHii kusahisha pepa ya essay ya maswali matano iliyofanywa na watu zaidi ya 1000 kwa siki moja na kutoa majibu huwa inaniacha mdomo wazi...
Ndio maaana naamini hzi pepa ni kama ku bet tu unaeza jaza vizuri na usifike pass mark
waite watu kwenye usaili kulingananna year of completion na siyo kuwachanganya pamoja..sio fair kabsaUnashauri nini kifanyike? Written isifanyike?
Kwamba ikifika interview yenu watu wa zamani muulizwe maswali mepesi 🤣🤣waite watu kwenye usaili kulingananna year of completion na siyo kuwachanganya pamoja..sio fair kabsa
Naona hata hujui criteria za usaili. Cha kwanza una-set sifa za waombaji. Kwenye kuchambua unajaribu kuangalia wale wenye viwango wa juu vya zile sifa ulizo-set. Huwezi kualika kwenye written interview watu 100 wakti unataka mtu mmoja tu. Hili ni kosa linalofanywa na wasomi vilaza wa nchi yetu ili ku-confuse waombaji na kuweza kupenyeza watu wao. Na siyo lazima kuwe na written interview. Kuna sehmu nyingi tu wanachambua wenye sifa na kuwaita kwa mahojiano ya ana kwa ana.Ifanyike tu hamna namna ni ngumu kuwafanyia oral interview watu zaidi ya 100.
Maswali yanayohusiana na uzoefu kulingana na job descriptions.Kwamba ikifika interview yenu watu wa zamani muulizwe maswali mepesi [emoji1787][emoji1787]
Sasa mkuu nan aitwe kwenye interview na Nan asiitwe kisa nafasi moja Kama wote wamefika sifa unazotaka wasiitweNaona hata hujui criteria za usaili. Cha kwanza una-set sifa za waombaji. Kwenye kuchambua unajaribu kuangalia wale wenye viwango wa juu vya zile sifa ulizo-set. Huwezi kualika kwenye written interview watu 100 wakti unataka mtu mmoja tu. Hili ni kosa linalofanywa na wasomi vilaza wa nchi yetu ili ku-confuse waombaji na kuweza kupenyeza watu wao. Na siyo lazima kuwe na written interview. Kuna sehmu nyingi tu wanachambua wenye sifa na kuwaita kwa mahojiano ya ana kwa ana.
Sasa wewe mkuu mtu wa afya tunataka TA Kweli tuangalie experience wakati sie tunataka mtu wakufundisha watu hapo chuo terminology zote umesahau utafundisha nn Sasa huyo mwanafunzi au utafundisha practical tuMaswali yanayohusiana na uzoefu kulingana na job descriptions.
Kama wewe ni Engineer bila shaka utakuwa unapiga vijiweni mbalimbali, sasa inabidi uulizwe maswali yanayolenga uzoefu.