Written Interview inavyopukutisha wataalamu

Marks za kwenda Oral ni 50%,Ila kama watu wakifaulu wengi na nafasi zikiwa chache basi ufaulu unaongezwa.Ila kama nafasi ni nyingi na wafaualu wapo wachache basi huanzia 50%
 
Nje ya mada kidogo.
Hivi kwa ujobless uliopo kwa sasa, experience unaitoa wapi? Au kujitolea na intership unaiongeza kwenye experience?

Halafu kuna tetesi ya mitihani ya utumishi kuvuja!
Na pia kuna tetesi za watu kupitishwa! Inakuwaje mnapiga written watu 1000 mitihani inasahihishwa kwa siku moja na Matokeo yapostiwa fastafasta, sio kupanga watu wao?
Watu 1000 ni wachache sana Muraa tena ilitakiwa watoe baada ya masaa manne.
 
Kuna mwana tumepiga nae alikuwa anatukimbiza chuo ila walimla kichwa written
Haya mambo hayaeleweki maana mwenyewe naona walikosa mtu bora kabisa
Utumishi Wana hatari sana wale😂😂😂😂
 
Kuna mwana tumepiga nae alikuwa anatukimbiza chuo ila walimla kichwa written
Haya mambo hayaeleweki maana mwenyewe naona walikosa mtu bora kabisa
Mkando unakata kote kote aisee.
 
Alikuwa sahihi wala hakukulisha tango pori. Kwa mujibu wa Kanuni no. 16 ya Kanuni Za Uendeshaji wa Shughuli za sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma za mwaka 2021, alama za ufaulu kwa kada za wahadhiri na wakufunzi ni 70 ila kwa kada nyengine kwa mujibu wa kanuni hiyo hiyo ni 50.
So kisheria alikuwa sahihi kabisa.
Ila naoma kwenye hizi sahili utumishi wamekuwa flexible kuangalia na ufaulu husika kwenye written.
Basi huyo Dr alinilisha matango pori.
 
Hii sio kwa kada zote, kwa wahadhiri na wakufunzi ni 70. Watendaji wa wakuu wa taasis (CEO) alama zao ni sitini, na watendaji wakuu wa vyuo nao alama zao ni 70. Hizo kada nyengine tofauti na hizo nilizotaja hapo ndo alama yao ni 50.

Nakusihi pitia Rule 16 of the Public Service Recruitment Secretariat Rules of Operation, 2021.
Marks za kwenda Oral ni 50%,Ila kama watu wakifaulu wengi na nafasi zikiwa chache basi ufaulu unaongezwa.Ila kama nafasi ni nyingi na wafaualu wapo wachache basi huanzia 50%
 
Alikuwa sahihi wala hakukulisha tango pori. Kwa mujibu wa Kanuni no. 16 ya Kanuni Za Uendeshaji wa Shughuli za sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma za mwaka 2021, alama za ufaulu kwa kada za wahadhiri na wakufunzi ni 70 ila kwa kada nyengine kwa mujibu wa kanuni hiyo hiyo ni 50.
So kisheria alikuwa sahihi kabisa.
Ila naoma kwenye hizi sahili utumishi wamekuwa flexible kuangalia na ufaulu husika kwenye written.
Flexibility ni muhimu kwa sababu mtihani unaweza ukawa mgumu sana, wote mkaishia kupata marks chache(chini ya 70).

Ikumbukwe written ni mchujo tu na wala sio tiketi ya moja kwa moja ya kupata kazi maana mkizingua kwenye oral mnakosa nafasi wote na nafasi inarudishwa hewani(re-advertise) tena.
 
If you want to make everyone happy you're not supposed to be a leader and sell ice cream instead chukua hyo nakupa
 
Nje ya mada kidogo.
Hivi kwa ujobless uliopo kwa sasa, experience unaitoa wapi? Au kujitolea na intership unaiongeza kwenye experience?

Halafu kuna tetesi ya mitihani ya utumishi kuvuja!
Na pia kuna tetesi za watu kupitishwa! Inakuwaje mnapiga written watu 1000 mitihani inasahihishwa kwa siku moja na Matokeo yapostiwa fastafasta, sio kupanga watu wao?
Hii kusahisha pepa ya essay ya maswali matano iliyofanywa na watu zaidi ya 1000 kwa siki moja na kutoa majibu huwa inaniacha mdomo wazi...

Ndio maaana naamini hzi pepa ni kama ku bet tu unaeza jaza vizuri na usifike pass mark
 
Huwa wanasahisha zile point tu mzee
 
Ifanyike tu hamna namna ni ngumu kuwafanyia oral interview watu zaidi ya 100.
Naona hata hujui criteria za usaili. Cha kwanza una-set sifa za waombaji. Kwenye kuchambua unajaribu kuangalia wale wenye viwango wa juu vya zile sifa ulizo-set. Huwezi kualika kwenye written interview watu 100 wakti unataka mtu mmoja tu. Hili ni kosa linalofanywa na wasomi vilaza wa nchi yetu ili ku-confuse waombaji na kuweza kupenyeza watu wao. Na siyo lazima kuwe na written interview. Kuna sehmu nyingi tu wanachambua wenye sifa na kuwaita kwa mahojiano ya ana kwa ana.
 
Kwamba ikifika interview yenu watu wa zamani muulizwe maswali mepesi [emoji1787][emoji1787]
Maswali yanayohusiana na uzoefu kulingana na job descriptions.

Kama wewe ni Engineer bila shaka utakuwa unapiga vijiweni mbalimbali, sasa inabidi uulizwe maswali yanayolenga uzoefu.
 
Naona hata hujui criteria za usaili. Cha kwanza una-set sifa za waombaji. Kwenye kuchambua unajaribu kuangalia wale wenye viwango wa juu vya zile sifa ulizo-set. Huwezi kualika kwenye written interview watu 100 wakti unataka mtu mmoja tu. Hili ni kosa linalofanywa na wasomi vilaza wa nchi yetu ili ku-confuse waombaji na kuweza kupenyeza watu wao. Na siyo lazima kuwe na written interview. Kuna sehmu nyingi tu wanachambua wenye sifa na kuwaita kwa mahojiano ya ana kwa ana.
Sasa mkuu nan aitwe kwenye interview na Nan asiitwe kisa nafasi moja Kama wote wamefika sifa unazotaka wasiitwe
 
Maswali yanayohusiana na uzoefu kulingana na job descriptions.

Kama wewe ni Engineer bila shaka utakuwa unapiga vijiweni mbalimbali, sasa inabidi uulizwe maswali yanayolenga uzoefu.
Sasa wewe mkuu mtu wa afya tunataka TA Kweli tuangalie experience wakati sie tunataka mtu wakufundisha watu hapo chuo terminology zote umesahau utafundisha nn Sasa huyo mwanafunzi au utafundisha practical tu
 
Back
Top Bottom