Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Performance ndio inaamua cut off.Maana mwenyewe nilishangaa, vyuo kibao wanachukua kwenda oral hadi wenye 50.
Marks kubwa ikiwa 60+ cut off inaenda hadi 50.
Mkipata wote chini ya 50 mnakuwa not selected wote, nimeona hii kwa baadhi ya Kada