Written Interview inavyopukutisha wataalamu

Utumishi kuna mambo meng mengine hayaelweki uhalisia wake na nini knapelekea wawe na maamuzi hayo...sisi tuliletewa pepa aihusiani na hiyo position lakn ndo hivyo hakuna namna tukafnya waliopita wakapita....lakni it's not fair na mambo kama haya ndio yanaibua hisia kwmba kuna hila nyingi utumishi ktk kuendesha mchakto wa ajira

Sasa mkuu nan aitwe kwenye interview na Nan asiitwe kisa nafasi moja Kama wote wamefika sifa unazotaka wasiitwe
Mkuu inategemea post inayotangazwa. Kwangu mimi naona ni ujinga wa hali ya juu kuita eg watu elfu tano kwenye written interview wakati lengo lako ni watu watano au kumi. Kwa nini usichambue wale best waitwe? Au kama unataka kuchanganya unachagua kwa mfano wenye A kumi, B watano na C watatu. Kinachotakiwa ni kuwa fair.
 
Ukifanya hivyo hakuna fair Tena kwamba wenye A Kumi Wenye B watano aiseee aliyepaya A ukikuliza why mie Nina A hujaniita ila mwenye B umemuita tena umeita watano na C watatu mie umeniacha utamjibu nn kwamba nimeamua tu? SURUHISHO HAPO ni ita wote walioomba na Wenye sifa mkuu hata Kama wapo 5900 atakeyefanya vizuri ndo huyo huyo kwa sababu mie usiponiita mkuu lazima nilalamike tu so kikubwa kama unaona nafasi ni moja na watu ni wengi usiende tu dodoma hata mie Kuna kazi nimeomba inataka mtu mmoja ikinikuta na Hela nitaenda kufanya Pepa ila wasiponiita hata nisipokua na Hela nitasikitika tu mkuu so tuitwe wote
 
Ukiomba nafasi ya kazi siyo lazima uitwe kwenye interview, hata kama una sifa. Mwenye maamuzi na vigezo vyote ni mtoa ajira. Nimeandika kitu kilichokwisha kuona. Mwajiri anaweza kabisa kuchanganya waombaji elite na moderate kwa sababu siyo kila mwenye score nzuri kimasomo anamaanisha kuwa na akili. Najua ni kweli kuna changamoto kuonyesha kuwa ume-treat kila mtu fair kwenye ajira za serikali, idara zake na mashirika, ila kuita watu elfu tano ili upate wapte kwangu mimi naona siyo sawa.
 
Ni sawa mkuu kuita watu wengi mtu Kama unaona nafasi ni moja acha tu kuomba itakua vizuri ila sio unaomba then unataka uitwe peke Yako hapa na wengine waachwe hiyo HAIWEZEKANI twende tu wote Wenye sifa then tukakandwe tulidi mie na uhakakika wewe ukiomba kazi usiitwe lazima ulalamike yaaan uombe kazi mfano Tano zote watu wawe Zaid ya buku then wachuje wabaki watu Saba mfano then kazi zote hizo Tano wawe wanakutema WASIKUITE then utaendelea kusema wapo fair
 
Sasa wewe mkuu mtu wa afya tunataka TA Kweli tuangalie experience wakati sie tunataka mtu wakufundisha watu hapo chuo terminology zote umesahau utafundisha nn Sasa huyo mwanafunzi au utafundisha practical tu
Huko kwenye TA waite tu hata waliomaliza shule jana, si kwingine ambapo watu wanahenyeka na ma-interships kibao na vijiwe lukuki ili wapate uzoefu mzuri
 
Kuna mdau nimesoma juu hapo amesema paper ilikuwa multiple choices, kwa hyo kama una panel kubwa ya wasahihishaji ni muda mfupi tu mkuu.
 
Hii kusahisha pepa ya essay ya maswali matano iliyofanywa na watu zaidi ya 1000 kwa siki moja na kutoa majibu huwa inaniacha mdomo wazi...

Ndio maaana naamini hzi pepa ni kama ku bet tu unaeza jaza vizuri na usifike pass mark
Hapo ukiwa na panel ya:-

watu 20 ni mitihani 50 kwa kla mmoja.
Watu 10 ni mitihan 100 kwa kla mmoja. Hiyo ni kazi ndogo sana kwa mwalimu. Kumbuka wale wana marking scheme na pia wanajua na kuelewa maswali yanapaswa kujibiwa vipi( wajuzi wa fani husika).

Mtihani mmoja hatumii zaidi ya dakika 5 kuanzia ku mark mpaka kuweka alama ya jumla uliopata (marks) kwa hyo kwa saa moja anauwezo wa ku mark mitihan 10-12. Kwa masaa 9 au 10 ni mitihani 100+,
Simple tu.
 
mimi niliwahi fannya interview moja nimepita kote niko na marks safi ila eti kwenye piki piki ikanishinda kuwasha na ninajua ku endesha simple tu.
 
😂😂😂😂Hahhhhh mkuu umefanya nicheke sana kwahiyo ikawaje sasa?
 
🤣🤣🤣 aisee acha tu hii kitu ni kizungumkuti
Kuna siku niliingia Interview nikaulizwa swali mzee baba nikaanza kutiririka kufika katikati nikasahau nilikua najibu swali gani na maelezo yalikua ya ishu gani? 😂😂😂😂

Mpaka leo nikikumbuka nabaki kucheka tu
 
😂😂😂😂hahhhh interview zinazinguaga sana aseeh
 
Kuna siku niliingia Interview nikaulizwa swali mzee baba nikaanza kutiririka kufika katikati nikasahau nilikua najibu swali gani na maelezo yalikua ya ishu gani? 😂😂😂😂

Mpaka leo nikikumbuka nabaki kucheka tu
Hahahaha
 
Back
Top Bottom