macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Utumishi kuna mambo meng mengine hayaelweki uhalisia wake na nini knapelekea wawe na maamuzi hayo...sisi tuliletewa pepa aihusiani na hiyo position lakn ndo hivyo hakuna namna tukafnya waliopita wakapita....lakni it's not fair na mambo kama haya ndio yanaibua hisia kwmba kuna hila nyingi utumishi ktk kuendesha mchakto wa ajira
Mkuu inategemea post inayotangazwa. Kwangu mimi naona ni ujinga wa hali ya juu kuita eg watu elfu tano kwenye written interview wakati lengo lako ni watu watano au kumi. Kwa nini usichambue wale best waitwe? Au kama unataka kuchanganya unachagua kwa mfano wenye A kumi, B watano na C watatu. Kinachotakiwa ni kuwa fair.Sasa mkuu nan aitwe kwenye interview na Nan asiitwe kisa nafasi moja Kama wote wamefika sifa unazotaka wasiitwe