WW1, WW2 na kinachoendelea sasa Middle east vilipangwa mwaka 1871 kama barua hii ni kweli

Mkuu [HASHTAG]#Eiyer[/HASHTAG] kuna jambo kubwa unalifahamu, fanya kutushirikisha ili ututoe kwenye hili giza.
Mkuu nakubaliana na wewe, huyu jamaa inaonekana kuna vitu vingi anavifahamu lakini inaoneakana hataki kuvisema, labda kwa sababu anaona kuwa hata akivisema haitasaidia chochote kwa hyo ameamua kukata tamaa na hii dunia, au anahisi watu hawatamuamini kwa hiyo ameamua tu kunyamaza na ukweli wake,

Ndo maana utakuta ni nadra sana kuanzisha thread pamoja na uelewa alio nao, (sidhani kama nimewahi kuona thread yake kwa miaka ya karibuni)
mkuu hebu tujuze unajaribu kutuambia nini,

by the way huwa nakuheshimu sana, na ninapoona post yako naisoma kwa umakini mkubwa
 
Asante sana MSEZA MKULU kwa kuleta mada ambayo imemtoa mkuu Eiyer mafichoni.
Eiyer una elimu muhimu sana kwetu, kama hautojari, nikuombe uanzishe darasa la maarifa haya, tumepumbazwa kwa muda mrefu sana. Nipo tayari wakati wowote kuwa mwanafunzi wako, natamani sana ufike wakati wa kujitoa kwenye minyororo hii.
Nimejaribu kufatilia mafundisho ya Dr. Ishakamisa Barashango lkn nimekutana na kikwazo cha kupata vitabu vyake.
 
Uko sahihi kwa sehemu,kwa mtazamo wangu,kwamba hawa watu waliiba haya maarifa mahali na kutaka kuaminisha dunia kuwa wao ndiyo walikuwa na akili zaidi.....

Nakubaliana na wewe kuwa wanachokisema au walichokijua ni sehemu ndogo sana ya maarifa yenyewe.Ni ujinga sana kudhani kuwa eti leo ndiyo tuna maendeleo makubwa kuliko wakati mwingine wowote ule.Ni ujinga mkubwa kudhani kuwa eti binadamu anaendelea kupata uekewa kubwa zaidi wa mazingira na yeye mwenyewe....

Nsema ni ujinga kwa sababu kama tuikiamini hivyo basi tutakuwa tunakubaliana na dhana ya hawa wazungu kuwa hao akina Plato ndiyo binadamu wenye akili zaidi kwasababu kila tunachokisoma shuleni leo kinakuwa na misingi yao.Lakini kama tukiamua kukataa na kuuona ukweli mkubwa kuwa binadamu waliwahi kuwa na maendeleo zaidi ya haya ambayo leo tunayo leo ni kwamba hawa watu wanaosemwa kuwa majiniaz ukweli ni kwamba hakuna kitu kabisa wanachokisea au walichoikifanya hakikuwa na wala siyo kitu kipya kabisa.....

Mada yako inahusiana kwa sehemu kubwa sana na hawa watu kwakuwa mbinu ya udanganyifu inayofabnyika leo na itakayoendelea kufanyika wao wana sehemu kubwa sana ya mbinu hiyo.Namna ya ku shape akili ya binadamu na namna yake ya kufikiri ambayo leo inatumika inawahusu sana hawa watu.Naomba niweke angalizo kuwa,kusema inawahusu kwa sehemu kubwa simaanishi kuwa wao ndiyo kila kitu bali wao wamechaguliwa tu kuwa front line wakati nyuma yao kuna wakubwa zaidi ya mara milioni ya hawa tunaowaona hapa....

Jambo hili linafanana na masuala mazima ya utajiri wa dunia na wale ambao wewe na mimi tunaambiwa kuwa ni matajiri wa dunia.Hawa unaowasoma kwenye forbes ni watu tu waliowekwa mbele.Utajiri wa dunia na dunia nzima iko kwenye mikono ya wengine ambao kamwe hutakuja kuwasikia,wako siku zote kuifanya dunia iwe kama watavyo wao na hata namna ya kufikiri uliyonayo ni wao wameishape ikawa hivyo....
Mtazamo mzuri
 
Ni wakina Nani hao. Hapo ndipo huwa unaishia. Siamini kama Kuna mtu au kiumbe external nje ya pambano la wema vs uovu linalofanyika kwenye akili huru ya kila mwanadamu atake au asitake ni lazima achague upande. Ninaamini kuwaza na kufikiri kwangu ni matokeo ya chaguzi zangu mwenyewe wala hakuna wa kulaumiwa. Ila ninajua Kuna movement global ya kuwalazimisha mabillion ya wakazi wa dunia kufikiri na kuwa na mtazamo wa kufanana. Kuwa muhanga wa hili ni uchaguzi wa unasikiliza nini, unaona nini na unasoma nini
 
Tangu niliposoma na kujua alichokuwa anakimaanisha Plato kwenye kitabu chake cha Republic hasa kwenye story yake ya Allegory of the Cave ndiyo nilianza kuelewa kabisa hasa tunaishi kwenye dunia ya namna ipi....

Kimsingi,watu wote ambao leo tunawachukulia kama "majiniaz" walipata ujuzi waliokuwa nao kutoka mahali fulani,Mesopotamia huko.Pythagoras,Socrates,Galileo,Alexander the Great,Plato na hadi hawa akina Sir Francis Beacon na John Dee ni watu ambao walipata elimu hizi tofauti kabisa na wanafunzi wengine waliikuwa kwenye madarasa ya watu hawa....

Socrates aliwahi kumueleza mwanafunzi wake mmoja aitwaye Plato kwenye madarasa yao kwamba,elimu anayowapa ni elimu iliyoko kwenye makundi mawili.Kunsi la kwanza ni lile la kawaida ambalo wanapewa elimu ya kawaida kuhusu mafuzo waliyokuwa wanapewa na kundi la pili ni lile ambalo linapewa elimu maalum na nyeti ambayo hakupaswa kupewa mtu yoyote na ni elimu maalum ambayo ndiyo lengo kuu la wao kufundishwa....

Kwenye darasa maalum ambalo walipewa elimu maalum ambayo Socrates alimueleza Plato,miongopni mwa wanafunzi waliokuwemo ni Plato mwenyewe.Utaratiobu huu ambao Plato alielezwa na mwalimu wake ulikuwepo tangu Socrates mwenyewe alipopata ujuzi huo kutoka kwa Pythagoras na Plato aliendelea kuwa nao na hata wanafunzi wake waliofuatioa kama akina Alexander The Great waliendelea nao....

Hapa sasa dipo tunakuja kupata maana mbili za hadithi ya Allegory of the Cave inayopatikana kwenye kitabu cha Plato kiitwacho The Republic.....

Hadithi ile inazungumzia watu waliokuwa kwenye pango ambao walikuwa wamefungwa kwa minyororo kwenye miguu yao wakati huo huo nyuma yao kukiwa kuna mto unaowaka.Watu hawa waliishi kwenye pango hili kwa miaka mingi sana,wakiwa wameelekezea nyuso zao kwenye ukuta wa pango lile wakitazama vivuli vyao ukutani na waliamini ule ndiyo ulikuwa uhalisia [the dancing shadow became their reality]....

Kwao maisha na dunia ilikuwa ni ile waliyokuwa wakiiona kwenye pango lile.vivuli ndiyo mazingira yaliyowazunguka na huo ulikuwa ni ukweli mkubwa sana kwao....

Uhalisia ule ambao ulikuwa wazi kabisa kwenye macho yao ndiyo ulikuwa ukweli.Haikuwa rahisi kabisa kuja kumueleza mmoja wao au wote kwamba ule hukuwa uhalisia kwakuwa walikuwa wakiona kwa macho yao.Waliamini kila walichokuwa wakikiangalia kilikuwa ndicho halisi...

Bahati mbaya kabisa ni kwamba hawakujua kwamba uhalisia ule ulikuwa umetengenezwa tu,haukuwa halisi.Waliamini kila walichokuwa wanakiona ni halisi.Waliamini hakuna anayeweza kutengeneza kitu halafu kikaonekana kuwa halisi hadi siku mmoja wao alipokata mnyororo na kutoka nje na kuuona uhalisia halisi na kurudi ndani kuwafungua wenzake minyororo ile na wao kuja kuuona uhalisia ambao hata kwa bunduki wasingekubali kuwa upo kama mtu angeenda kuwaeleza hili.....

Ukiangalia au ukitaka kujua maana ya hadithihii ndipo utakuja kuona kile ambacho kinaendelea duniani.Plato aliwaeleza maana halisi ya hadithi hii watu wachache sana wanaitwa "the elect ones",watu ambao walikuwa wakielezwa haya kwa sababu maalaum ili waje kutawala dunia....

Kinachoendelea duniani leo sicho kilichopo kwenye uhalisia,siyo uhalisia bali ni uhalisia uliotengenezwa tu.Wengi na nadhani hata wewe unaamini kuna ugonjwa unaosababishwa na kirusi fulani kinachoitwa HIV,unaamini kuna ugonjwa unoitwa EBOLA unaoua kikatili kabisa,unaamini kuna mafua ya ndege,unaamini kuna watu wanaotishia maisha ya watu wanaoitwa magaidi,unaamini rais wa Marekani anachaguliwa na wapiga kura kidemokrasia,unaamini kuna uadui kati ya Marekani,China na Urusi,unaamini dunia ina watu wengi sana hivyo inaweza kuja kuleta matatizo hapo baadaye hivyo tunapaswa kutumia uzazi wa mpango.Unaamini kuwa dunia ina mabilioni ya miaka,Unaamini kuwa viwanda vinaharibu hali ya hewa na kuzababisha mvua kutonyesha na kuongeza joto duniani,fake relity ziko nyingi sana....

Tunaishi kwenye pango,vivuli vilivyotengenezwa na moto ndiyo uhalisia wetu,giza lililoko ndani ya pango ndiyo ukweli wetu.Minyoror inatufanya tuamini hivyo kwakuwa hatuwezi kutoka humo....

Sasa basi pango ni nini,minyororo ni nini?Moto na vivuli ni nini? Maana za haya yote utaweza kupata angalau clue kama utanisoma hapo juu kwa makini.Hapa ndipo tunapokuja kuamini kwamba vita vinasababishwa kwasababu tunazoambiwa,lakini kuna sababu za kweli ambazo hatuambiwi....

Tunaishi kwenye dunia ambayo ukipata hata nukta kidogo ya ukweli utaogopa....

Nimesema haya ili kukufanya mkuu MSEZA MKULU uangalie tena mara mbili sababu za vita ulivyovisema hapo kwenye mada yako ili uone kama hazina chumvi au uongo.....

Ashante......

Well said,,

Japo umetoa mifano ya mataifa ya mbali sana wakati ukweli wa mambo uko hapa hapa nchini,,

Nakumbuka mwalimu Nyerere wakati tunaanzisha vyama vingi vya siasa mwaka 1992 aliwahi kusema,,

"mnataka vyama vingi mkidhani wingi wa vyama ndio kuwa na demokrasia?!"

"Pale Zaire (DRC) kuna vyama zaidi ya 14, lakini vyama vyote ni vya Mobutu!"

Nimekumbuka kauli hiyo ya baba wa taifa na hali halisi ya kisiasa hapa nchini kuanzia wakina mrema, mapalala, Mtikila, Lipumba, Mbatia, Slaa, Mbowe, Lowassa, nk

Sijaona wapinzani wakweli au chama cha siasa cha kweli naona kama vyote ni vivuli vya CCM na vinachezwa na Usalama wa taifa,,,

Tunaishi kwenye dunia inayoongozwa na wenye akili sana!
 
Suluhu ya amani au kupatikana kwa amani duniani siyo demokrasia wala siasa ni sisi kuamua kila mmoja kuishi wa niaba ya mtu mwingine na hapo tutaweza kuona amani ya kweli.....

Kwasababu hili linakosekana tunaingi kwenye kuitafuta kwa njia ambazo sizo kabisa....

Siasa na yote yanayofanana na hayo ni tool ya "watu fulani" kutimiza malengo yao....
 
Ni wakina Nani hao. Hapo ndipo huwa unaishia. Siamini kama Kuna mtu au kiumbe external nje ya pambano la wema vs uovu linalofanyika kwenye akili huru ya kila mwanadamu atake au asitake ni lazima achague upande. Ninaamini kuwaza na kufikiri kwangu ni matokeo ya chaguzi zangu mwenyewe wala hakuna wa kulaumiwa. Ila ninajua Kuna movement global ya kuwalazimisha mabillion ya wakazi wa dunia kufikiri na kuwa na mtazamo wa kufanana. Kuwa muhanga wa hili ni uchaguzi wa unasikiliza nini, unaona nini na unasoma nini
Matatizo yote ya hii dunia kimsingi yameletwa na kiumbe mwenye "busara" unaweza kumuita nyoka au Lucifer ukitaka,hapa panahitajika somo refu lenye kuweza kukuelewesha ni kwa maana ipi ambayo mimi namaanisha kinyume na unayoona wewe.Mtu yoyote ukimueleza kuwa tatizo ni Shetani ataelewa na mawazo yake yatakwenda kwenye kile alichoeleweshwa kumhusu ambacho naona kama kinapungua,hatujui ipaswavyo,nitakueleza kwa ufupi na kwa namna fulani ambayo utaweza kupata picha angalau kidogo....

Kama ujuavyo ni kwamba Lucifer alikuwa ni malaika kule mbinguni na alianzisha harakati za kudai "haki" kutoka kwa Mungu.Yeye kwa tafsiri yake aliona hakuna haki hivyo alianzisha kampeni ambayo ilipelekea kufanikiwa kuwadanganya robo ya malaika wa mbinguni ambapo inakadiriwa ni malaika zaidi ya 300.......

Harakati hizi za Shetani zilisababisha kutokea kwa mvurugano huko mbinguni na kulazimika Shetani kuondolewa huko na kutupwa hapa duniani ambapo nako alidhamiria kuendeleza kampeni ya "kukomboa" viumbe wengine kutoka kwenye "udikteta" wa Mungu.Shetani hakuwa akikubaliana na Mungu namna ambayo aliamua kuwahudumia viumbe wote pamoja na kanuni zote alizoweka hivyo akaamua kuanzisha movement yake ambayo mwanzo alidhani angeweza kushinda....

Ukweli ni kwamba alishindwa,baada ya kushindwa na kujua kuwa hataweza kutimiza malengo yake aliamua kuendeleza harakati zile kwenye viumbe wengine lakini akitaka kumtumia kiumbe mmoja maalum...

Aliamua kumtumia kiumbe ambaye Mungu alimuumba kwa unadhifu na kwa malengo maalum kutimiza malengo yake.Malengo ya Shetani ni kutaka kuzuia malengo ya Mungu kutimia kwa kiumbe huyu na kwa kufanya hivyo atakuwa ametimiza angalau lengo moja ambalo ni kuvuruga mipango ya Mungu kwa kiumbe huyu aliyempenda kabisa.....

Kiumbe huyu ni binadamu.Shetani anajua kabisa kuwa kiumbe huyu ndiye kiumbe pekee ambaye Mungu alimpenda na kuchagua yeye [Mungu] kuwa sehemu yake,hivyo akaamua kufanya harakati zote ili amdhalilishe Mungu kupitia kiumbe huyu....

Aliamua kuanzisha harakati nyingi sana ili aweze kutimiza lengo lake hili.Harakati ya kwanza kabisa ni tukio la pale Eden ambapo alimtumia mwanamke kumuangusha mwanadamu huyu na alifanikiwa.Tool kubwa sana anayotumia Shetani ni uongo maana akisema ukweli hataweza kufanikiwa kabisa....

Baada ya kufanikiwa kwenye tukio hili Shetani aliamua au niseme alipanga kuvuruga kabisa uumbaji wa Mungu kwa kiumbe huyu,kwakuwa Mungu alimfukuza Shetani kule mbunguni na huyo huyo Mungu akaamua kuwa sehemu ya kuimbe ambaye Shetani anamuona kama dhaifu,aliamua na yeye kutengeneza harakati za yeye naye kuingia ndani ya binadamu na kuwa sehemu yake....

Aliamua kutengeneza mahusiano ya karibu na binadamu na hatimaye alifanikiwa kuanza kuvuruga DNA ya binadamu kwa kumuingilia kingono na kufanikiwa kutengeneza kizazi au blood line ambayo haikuwa pure human,blood line hii inafahamika kama hybrid leo lakini miongoni mwa matokeo ya jambo hili ni kuzaliwa Wanefili [Nephilims]....

Hawa hybrid ndiyo binadamu wanaojulikana kuwa na akili sana na hapa ndipo tunakuja kwenye yote tunayojifunza duniani na historia kwa ujumla wake.

Mungu alijua hili kuwa Shetani naye ataanzisha race yake na ndiyo maana Mungu alimuambia pale Eden kuwa "nitaweka uadui kati ya kizazi chako na cha mwanamke",hapa alikuwa anazungumzia kizazi hiki kiovu kabisa cha Shetani au "the brothherhood of the snake"....

Shetani alitaka ku wipe out kabisa mwanadamu wa asili ili zweze kutengeneza ufalme wake hapa duniani lakini Mungu hakuruhusu hili na ndiyo maana unaona matukio kama gharika.....

Pamoja na lengo hili la Shetani la kutaka kuvuruga kizazi cha mwanadamu ili kuvuruga lengo la Mungu kumuumba mwanadamu,pia alifanikiwa kuingia ndani ya mwanadamu kama alivyo Mungu kwa namna niliyoielezea hapo juu.Hakuishia hapo,aliendelea na harakati zake za kutaka kumdhalilisha Mungu kupitia kiumbe huyu ambaye Mungu alimuumba kwa gharama kubwa kabisa.....

Alitengeneza mbinu za kumfanya binadamu huyu amuabudu kama vile ambavypo Mungu anaabudiwa na mwanadamu,ikumbukwe kwamba ni binadamu pekee anayemuabudu Mungu katika viumbe vyote.Kwa kutimiza hilo,kwa udanganyifu mkubwa na kwa kubadili majina yake alifanikiwa kutengeneza dini tofauti tofauti ambazo kwa binadamu kutokuelewa wanazifuata wakidhani wanamuabudu Mungu kumbe wanamuabudu Shetani,hapa akawa amefanikiwa kumrubuni tena kumbe huyu ambaye Mungu alimuumba kwa gharama kubwa kabisa.....

Hakuishia hapo,aliendelea na harakati zake za kuhakikisha anavuruga kabisa malengo ya Mungu kwa kiumbe huyu kwa namna yoyote ile na kuhakikisha anamuweka kiumbe huyu mbali kabisa na Mungu.Harakati yake nyingine aliyoileta ni elimu na falsafa.Shetani ni kiumbe ambaye ameumbwa kwa ubora zaidi ya binadamu kwa maana ya mwili na uwezo wake,ana uwezo mkubwa sana wa kiakili.Lakini kikubwa na cha hatari kabisa ni kwamba wakati Mungu anaiumba dunia hii kiumbe huyu alikuwepo,hivyo ni kiumbe anayeielewa physics kwa kiwango cha kutisha....

Ni kiumbe ambaye wakati Mungu anamuumba binadamu alikuwepo na alijua Mungu anafanya nini au alifanya nini,anajua namna mwili wako unafanya kazi kwa kiwango cha kutisha kabisa.Shetani,kama siyo Mungu kuingilia kati leo binadamu tungekuwa hatupo kabisa.....

Shetani akaamua kuleta elimu na falsafa ambazo zitamfanya binadamu kuwa mbali kabisa na Mungu.Mambo kama uwezo wa kutoka nje ya mwili [Ashtral projection] matukio ya NDE [Near death experiance] masuala ya tahajudi [Meditation] ambayo yanakufanya unakutana na viumbe wa anga za mbali huko,sayansi na maendeleo yake yote ambayo yanamfanya binadamu kujua asiyostahili kujua,elimu za anga na nyota ambapo malaika waliowafundisha wanadamu yote haya wanajulikana majina, waliwafanya binadamu kuwa na access na mambo ambayo hakupaswa kuyajua na kumfanya binadamu kumuona Mungu kama ni hadithi,hayupo....

Kitendo cha binadamu kujua mambo mengi ya ulimwengu kukamfanya akawa mbali kabisa na Mungu wake.Shetani na jeshi lake wakawafundisha wanadamu kufanya abortion na uchafu mwingine mwingi kabisa,taratibu mwanadamu akaanza kuona Mungu ni jambo la kijinga kabisa,Shetani akawa amefanikiwa tena....

Kwakuwa yote haya Shetani aliyafanya ili amdanganye mwanadamu na amuache Mungu wake,Shetani hakuwa mkweli kwa binadamu huyu kuwa alitaka amdhalilishe yeye [mwanadamu] na muumba wake.Shetani akaendelea na harakati zake za kutimiza hili.Akawaagiza wale binadamu ambao ni kizazi chake kuanza kuwafundisha wanadamu kufanya mapenzi kinyume na maumbile,wakaendesha harakati kuwa ni haki yao kufanya hivyo kwakuwa wanaweza kujiamulia watakayo....

To cut the story maana matukio ya mfululizo ni mengi ni kwamba,katika harakati hizi hadi kufikia kutengeneza kizazi kiovu cha Shetani kutokana na wao kuingilia wanadamu na kuzaa,wamekuwa ndiyo wanaoiendesha dunia hii na wanapanga vita ili kuua wanadamu kwasababu nyingi sana lakini kubwa ni hiyo hizo nilizozieleza hapo juu....

Wanatengeneza vyakula ambavyo vitamfanya binadamu ashindwe kabisa kufikiri.Wanatengeneza madawa ya kumdhoofisha mwanadamu huyu ashindwe kabisa kuwa na mwili imara ili aweze kumtawala atakavyo na kutimiza malengo yake....

Vita na yote unayoona yanaendelea ni vita kati ya Mungu na huyu kumbe muovu.Nimeelezea kiduchu kwa upande huu mdogo sana lakini yapo mengi sana tena sana na ya kutisha kabisa.Binadamu anayeonekana juu ya uso wa dunia leo ni binadamu dhaifu kabisa kuliko ambavyo tunaelezwa kuwa anaendelea kupanuka kifikra....

Hili limetokea kwasababu hizo nilizozieleza hapo juu na nyingine nyingi kabisa ambazo kuziangika zote zinahitaji kitabu....

Nadhani nimejibu swali lako kuwa "ni akina nani hao" angalau kwa sehemu mkuu....
 
Asante sana MSEZA MKULU kwa kuleta mada ambayo imemtoa mkuu Eiyer mafichoni.
Eiyer una elimu muhimu sana kwetu, kama hautojari, nikuombe uanzishe darasa la maarifa haya, tumepumbazwa kwa muda mrefu sana. Nipo tayari wakati wowote kuwa mwanafunzi wako, natamani sana ufike wakati wa kujitoa kwenye minyororo hii.
Nimejaribu kufatilia mafundisho ya Dr. Ishakamisa Barashango lkn nimekutana na kikwazo cha kupata vitabu vyake.
Nimefanya utafiti wangu kwa kiasi nilichoweza na bado naendelea kufanya utafiti huu.Kuna mengi nisiyoyajua na machache sana nayajua....

Nina miaka zaidi ya 8 ninafanya utafiti huu,ni miaka michache sana ukilinganisha na wale ambao nawaona na nimewakuta humo kwenye utafiti wa haya mambo ambao wana zaidi ya miaka 30 hivyo najiona kama katoto kachanga kwao.....

Ninachoweza kuwahimiza nyote hapa ni kupenda kusoma na kutafiti.Kuna watu wanadhani ishu kama za UFO's ni hadithi wakati zipo kabisa na kuna watu wamepoteza maisha yao kwa kusema hadharani....

Mambo ambayo tunatamani kuyajua yana gharama yake.Tupo na tunaendelea kufanya utafiti,unaweza kudhani najua mengi kumbe ninachokijua ni kama punje ya mchanga kwenye fukwe ya bahari....
 
Mkuu nakubaliana na wewe, huyu jamaa inaonekana kuna vitu vingi anavifahamu lakini inaoneakana hataki kuvisema, labda kwa sababu anaona kuwa hata akivisema haitasaidia chochote kwa hyo ameamua kukata tamaa na hii dunia, au anahisi watu hawatamuamini kwa hiyo ameamua tu kunyamaza na ukweli wake,

Ndo maana utakuta ni nadra sana kuanzisha thread pamoja na uelewa alio nao, (sidhani kama nimewahi kuona thread yake kwa miaka ya karibuni)
mkuu hebu tujuze unajaribu kutuambia nini,

by the way huwa nakuheshimu sana, na ninapoona post yako naisoma kwa umakini mkubwa
Niupo hapa JF tangu mwaka 2011,tumejadili mengi sana.Kuna mtu anaitwa juve2012 huyu jamaa namheshimu sana tena sana na anajua mengi sana na wala sihitaji kulegeza kamba za viatu vyake maana ni hatari....

Kuna mwingine anaitwa Deception huyu naye ni kiboko na ni hatari maana ana vitu adimu sana.Hawa ni watu ambao wapo hapa JF na ni watu ambao wanafabnya utafiti sana wa haya mambo.....

Kuna ukweli wa kutisha ambao wengi hawaujui au wanaujua lakini hawataki kabisa kuukubali,ukweli huu ni kwamba mambo yote haya yanahusiana na mambo ya kiroho,ni vita ya kiroho.Sasa wengine wakiona hivi wanakimbia au kudharau wakidhani mambo yakishaingia kwenye mambo ya kiroho basi ni mambo ya watu wasiojielewa.....

Kwao mambo ya kiroho ni mambo ya wajinga,wanashindwa tu kujua kuwa waliowafanya waamini hivyo wamefanya hivyo kwasababu tu wanataka wasijue mambo mazuri na yenye manufaa kwao.Watu hawajui tu kuwa watu wanaodhania hawafuati imani hao ndio watu wa imani hatari....

Huwezi kuamini,lakini ukweli ni kwamba sayansi na wanasayansi ni watu wa imani sana tu.Ni wafuasi wa dini tena dini za ajabu kabisa.Jiulize sababu ya wanasayansi kuwa watu wa imani wakati wao ni watu wa evidence....

Ukweli utakuweka huru,soma kuna bango hapo juu huenda ukapata mwanga kidogo....
 
Matatizo yote ya hii dunia kimsingi yameletwa na kiumbe mwenye "busara" unaweza kumuita nyoka au Lucifer ukitaka,hapa panahitajika somo refu lenye kuweza kukuelewesha ni kwa maana ipi ambayo mimi namaanisha kinyume na unayoona wewe.Mtu yoyote ukimueleza kuwa tatizo ni Shetani ataelewa na mawazo yake yatakwenda kwenye kile alichoeleweshwa kumhusu ambacho naona kama kinapungua,hatujui ipaswavyo,nitakueleza kwa ufupi na kwa namna fulani ambayo utaweza kupata picha angalau kidogo....

Kama ujuavyo ni kwamba Lucifer alikuwa ni malaika kule mbinguni na alianzisha harakati za kudai "haki" kutoka kwa Mungu.Yeye kwa tafsiri yake aliona hakuna haki hivyo alianzisha kampeni ambayo ilipelekea kufanikiwa kuwadanganya robo ya malaika wa mbinguni ambapo inakadiriwa ni malaika zaidi ya 300.......

Harakati hizi za Shetani zilisababisha kutokea kwa mvurugano huko mbinguni na kulazimika Shetani kuondolewa huko na kutupwa hapa duniani ambapo nako alidhamiria kuendeleza kampeni ya "kukomboa" viumbe wengine kutoka kwenye "udikteta" wa Mungu.Shetani hakuwa akikubaliana na Mungu namna ambayo aliamua kuwahudumia viumbe wote pamoja na kanuni zote alizoweka hivyo akaamua kuanzisha movement yake ambayo mwanzo alidhani angeweza kushinda....

Ukweli ni kwamba alishindwa,baada ya kushindwa na kujua kuwa hataweza kutimiza malengo yake aliamua kuendeleza harakati zile kwenye viumbe wengine lakini akitaka kumtumia kiumbe mmoja maalum...

Aliamua kumtumia kiumbe ambaye Mungu alimuumba kwa unadhifu na kwa malengo maalum kutimiza malengo yake.Malengo ya Shetani ni kutaka kuzuia malengo ya Mungu kutimia kwa kiumbe huyu na kwa kufanya hivyo atakuwa ametimiza angalau lengo moja ambalo ni kuvuruga mipango ya Mungu kwa kiumbe huyu aliyempenda kabisa.....

Kiumbe huyu ni binadamu.Shetani anajua kabisa kuwa kiumbe huyu ndiye kiumbe pekee ambaye Mungu alimpenda na kuchagua yeye [Mungu] kuwa sehemu yake,hivyo akaamua kufanya harakati zote ili amdhalilishe Mungu kupitia kiumbe huyu....

Aliamua kuanzisha harakati nyingi sana ili aweze kutimiza lengo lake hili.Harakati ya kwanza kabisa ni tukio la pale Eden ambapo alimtumia mwanamke kumuangusha mwanadamu huyu na alifanikiwa.Tool kubwa sana anayotumia Shetani ni uongo maana akisema ukweli hataweza kufanikiwa kabisa....

Baada ya kufanikiwa kwenye tukio hili Shetani aliamua au niseme alipanga kuvuruga kabisa uumbaji wa Mungu kwa kiumbe huyu,kwakuwa Mungu alimfukuza Shetani kule mbunguni na huyo huyo Mungu akaamua kuwa sehemu ya kuimbe ambaye Shetani anamuona kama dhaifu,aliamua na yeye kutengeneza harakati za yeye naye kuingia ndani ya binadamu na kuwa sehemu yake....

Aliamua kutengeneza mahusiano ya karibu na binadamu na hatimaye alifanikiwa kuanza kuvuruga DNA ya binadamu kwa kumuingilia kingono na kufanikiwa kutengeneza kizazi au blood line ambayo haikuwa pure human,blood line hii inafahamika kama hybrid leo lakini miongoni mwa matokeo ya jambo hili ni kuzaliwa Wanefili [Nephilims]....

Hawa hybrid ndiyo binadamu wanaojulikana kuwa na akili sana na hapa ndipo tunakuja kwenye yote tunayojifunza duniani na historia kwa ujumla wake.

Mungu alijua hili kuwa Shetani naye ataanzisha race yake na ndiyo maana Mungu alimuambia pale Eden kuwa "nitaweka uadui kati ya kizazi chako na cha mwanamke",hapa alikuwa anazungumzia kizazi hiki kiovu kabisa cha Shetani au "the brothherhood of the snake"....

Shetani alitaka ku wipe out kabisa mwanadamu wa asili ili zweze kutengeneza ufalme wake hapa duniani lakini Mungu hakuruhusu hili na ndiyo maana unaona matukio kama gharika.....

Pamoja na lengo hili la Shetani la kutaka kuvuruga kizazi cha mwanadamu ili kuvuruga lengo la Mungu kumuumba mwanadamu,pia alifanikiwa kuingia ndani ya mwanadamu kama alivyo Mungu kwa namna niliyoielezea hapo juu.Hakuishia hapo,aliendelea na harakati zake za kutaka kumdhalilisha Mungu kupitia kiumbe huyu ambaye Mungu alimuumba kwa gharama kubwa kabisa.....

Alitengeneza mbinu za kumfanya binadamu huyu amuabudu kama vile ambavypo Mungu anaabudiwa na mwanadamu,ikumbukwe kwamba ni binadamu pekee anayemuabudu Mungu katika viumbe vyote.Kwa kutimiza hilo,kwa udanganyifu mkubwa na kwa kubadili majina yake alifanikiwa kutengeneza dini tofauti tofauti ambazo kwa binadamu kutokuelewa wanazifuata wakidhani wanamuabudu Mungu kumbe wanamuabudu Shetani,hapa akawa amefanikiwa kumrubuni tena kumbe huyu ambaye Mungu alimuumba kwa gharama kubwa kabisa.....

Hakuishia hapo,aliendelea na harakati zake za kuhakikisha anavuruga kabisa malengo ya Mungu kwa kiumbe huyu kwa namna yoyote ile na kuhakikisha anamuweka kiumbe huyu mbali kabisa na Mungu.Harakati yake nyingine aliyoileta ni elimu na falsafa.Shetani ni kiumbe ambaye ameumbwa kwa ubora zaidi ya binadamu kwa maana ya mwili na uwezo wake,ana uwezo mkubwa sana wa kiakili.Lakini kikubwa na cha hatari kabisa ni kwamba wakati Mungu anaiumba dunia hii kiumbe huyu alikuwepo,hivyo ni kiumbe anayeielewa physics kwa kiwango cha kutisha....

Ni kiumbe ambaye wakati Mungu anamuumba binadamu alikuwepo na alijua Mungu anafanya nini au alifanya nini,anajua namna mwili wako unafanya kazi kwa kiwango cha kutisha kabisa.Shetani,kama siyo Mungu kuingilia kati leo binadamu tungekuwa hatupo kabisa.....

Shetani akaamua kuleta elimu na falsafa ambazo zitamfanya binadamu kuwa mbali kabisa na Mungu.Mambo kama uwezo wa kutoka nje ya mwili [Ashtral projection] matukio ya NDE [Near death experiance] masuala ya tahajudi [Meditation] ambayo yanakufanya unakutana na viumbe wa anga za mbali huko,sayansi na maendeleo yake yote ambayo yanamfanya binadamu kujua asiyostahili kujua,elimu za anga na nyota ambapo malaika waliowafundisha wanadamu yote haya wanajulikana majina, waliwafanya binadamu kuwa na access na mambo ambayo hakupaswa kuyajua na kumfanya binadamu kumuona Mungu kama ni hadithi,hayupo....

Kitendo cha binadamu kujua mambo mengi ya ulimwengu kukamfanya akawa mbali kabisa na Mungu wake.Shetani na jeshi lake wakawafundisha wanadamu kufanya abortion na uchafu mwingine mwingi kabisa,taratibu mwanadamu akaanza kuona Mungu ni jambo la kijinga kabisa,Shetani akawa amefanikiwa tena....

Kwakuwa yote haya Shetani aliyafanya ili amdanganye mwanadamu na amuache Mungu wake,Shetani hakuwa mkweli kwa binadamu huyu kuwa alitaka amdhalilishe yeye [mwanadamu] na muumba wake.Shetani akaendelea na harakati zake za kutimiza hili.Akawaagiza wale binadamu ambao ni kizazi chake kuanza kuwafundisha wanadamu kufanya mapenzi kinyume na maumbile,wakaendesha harakati kuwa ni haki yao kufanya hivyo kwakuwa wanaweza kujiamulia watakayo....

To cut the story maana matukio ya mfululizo ni mengi ni kwamba,katika harakati hizi hadi kufikia kutengeneza kizazi kiovu cha Shetani kutokana na wao kuingilia wanadamu na kuzaa,wamekuwa ndiyo wanaoiendesha dunia hii na wanapanga vita ili kuua wanadamu kwasababu nyingi sana lakini kubwa ni hiyo hizo nilizozieleza hapo juu....

Wanatengeneza vyakula ambavyo vitamfanya binadamu ashindwe kabisa kufikiri.Wanatengeneza madawa ya kumdhoofisha mwanadamu huyu ashindwe kabisa kuwa na mwili imara ili aweze kumtawala atakavyo na kutimiza malengo yake....

Vita na yote unayoona yanaendelea ni vita kati ya Mungu na huyu kumbe muovu.Nimeelezea kiduchu kwa upande huu mdogo sana lakini yapo mengi sana tena sana na ya kutisha kabisa.Binadamu anayeonekana juu ya uso wa dunia leo ni binadamu dhaifu kabisa kuliko ambavyo tunaelezwa kuwa anaendelea kupanuka kifikra....

Hili limetokea kwasababu hizo nilizozieleza hapo juu na nyingine nyingi kabisa ambazo kuziangika zote zinahitaji kitabu....

Nadhani nimejibu swali lako kuwa "ni akina nani hao" angalau kwa sehemu mkuu....

SHETANI yupo ila mchananuo wako mkuu unahitaji uuambatanishe na RELIABLE SOURCE
1: Source ya wanefili kuwa uzao au matokeo ya Shetani (kaumbwa kwa Moto) Kufanya ngono na Binadamu (Kaumbwa kwa udongo), Creation inasemaje je kuna uwezekano wa interbreed kati ya watu na maraika au mashetani?. Tuanzie hapo. Kama sio Bibilia pia iweke.

2:Je Maraika wa shetani walioasi WANAJINSIA. Yaani Kuna maraika majike na madume.
Mwanadamu waliwekewa sexual organs ili wainterbreed kama ilivyo kwa wanyama wote. Vipi kuhusu hao maraika kwani huko mbinguni walikuwa wanajifungua hadi walipohasi waweze kufanya mapenzi na Mwanadamu. Nini lengo la Mungu kuruhusu inerpreed ya viumbe wasiohusiana kama ni kweli?

3:Baada ya Gharika walipona watu wanane dunia nzima. Unaushahidi gani kuwa watu hawa walikuwa na satanic genetic make up. Je gene za mwanadamu na shetani zinaweza kucross each other kuexchange genetic information. DOES DEMONS HAVE GENES as Humanbeing? Source.

4:Hii ngono kati ya shetani na wanadamu bado inatokea hadi leo. Kwa nini tunaambiwa Mungu atamuhukumu Kila mwandamu kwa maamuzi aliyofanya kwa akili yake timamu zio matokeo ya Kuwa Shetani/mtu. Hii concept inadistort maana nzima ya HUKUMU YA KWELI NA HAKI.

5:Maelezo yote hayajaweka wazi nafasi ya Mungu na Maraika wake ktk Pambano hilo. Ila imemkuza shetani na maraika zake.

Kwa mtazamo wangu Unayosema ni mchanganyiko wa FACTS NA ASSUMPTIONS. Ni kweli kuna wanadamu wachache wenye akili wenda kwa kukubali kwa maagents wa shetani na sio kuwa product ya mchanayiko wa shetani na mwanadamu. Hii mipango mikubwa duniani inapangwa na pure wanadamuw alioamua kushirikiana na Shetani kudanganya watu ili siku ya hukumu ajiongezee washirika. Kuna watu

ndio maana naomba source za research yako pia kukuza uelewa.
 
Source ya wanefili kuwa uzao au matokeo ya Shetani Kufanya ndono na Binadamu, Creation inasemaje je kuna uwezekano wa interbreed kati ya watu na maraika au mashetani?. Tuanzie hapo. Kama sio Bibilia pia iweke.
Kuhusu Wanefili ni kwamba nina vyanzo tofauti tofauti ikiwemo Biblia.Kuna findings nyingi zana za kiutafiti ambazo zimepatikana na zinazoendelea kupatikana ambazo zinaonesha kwamba ni kweli wanefili walikuwepo.Vyanzo ambavyo ni baadhi ni The Book of Enock,The book of Giants,The book of the Dead n.k....

Ni kweli na nina uhakika kuwa Wanefili na masuala yote ya interbreed ni matokeo ya malaika waasi kukutana na wanadamu kimwili.Hili limeelezwa kwa upana wa ajabu kabisa na Henoko [Enoch] kwenye kitabu chake,ngoja nikuambie kitu....

Wakati wa kihistoria wa kule Qumran wa vitabu vya kale kabisa kugunduliwa karne ya 20,miongoni mwa vitabu vilivyogunduliwa huko ni The Book of Enoch,baada ya ugunduzi huu kutokea taarifa zilipofika UN,haraka sana jeshi la umoja huo lilifika eneo lile na kuzuia kile kilichokuwa kikiendelea eneo lile na baadaye eneo lile lilikabidhiwa kwa Vatican na baadaye hakuna kilichosikika tena kuhusu kitabu cha Enoch lakini ikasikika kuhusu mambo mengine ambayo yanaendana sawia kabisa na historia yetu.....

The book of Enoch ni kitabu ambacho kinaelezea mengi yasiyotakiwa kujulikana katika ulimwengu huu ikiwemo na rangi halisi ya Yesu,Waisraeli na ukweli juu ya yote haya ambayo yanaendelea leo.Yesu alikuwa mweusi kama wewe pamoja na Waisraeli,pia kwa namna ya ajabu ya ambayo unaweza kuona ni kama kichaa hivi ni kwamba kuna uwezekano mkubwa kabisa kuwa Wabantu ni Waisraeli,hili tuliache kwa sasa maana unaweza kuniona kichaa,lakini hayo ndiyo ambayo yalisababisha kitabu cha Enock kupigwa ban....

Kwa bahati mbaya sana copy ya kitabu hiki ilikuja kugunduliwa tena Ethiopia na walishindwa kuthibiti kusambaa kwake.kwa maana hii kitabu hiki kinatoa details za kutisha juu ya haya mambo....

Kinawataja malaika hao kwa majina,kazi walizofanya kudanganya wanadamu na chanzo cha yote haya.Kitabu cha ufunuo nacho kilitakiwa kisiwepo kwenye maandiko matakatifu ya Biblia lakini kilisalimika kutokana na lugha yake kuwa ngumu na kushindwa kueleweka na watu wengi.Lakini pamoja na hayo Shetani ameleta walimu wa uongo ili kupotosha kile ambacho kimeandikwa humo japokuwa kwa lugha ngumu kabisa,tuwe makini sana na hawa watu.....

Uwezekano wa jambo hili upo na linawezekana kabisa malaika hao waasi kuingiliana na binadamu.Kuna watu wanapinga hili lakini ushahidi uliopo unaonesha kinyuime na madai yao.Mfano kwenye Biblia agano la kale,waana wa Mungu wamekuwa wakisemwa kuwa ni malaika,ushahidi wa hili ni kwenye kitabu cha Ayubu nimesahau kidogo ni mstari upi lakini ipo na siyo mara moja,nikikumbuka nitakueleza maana hapa sipo kwenye utulivu mzuri kiasi,pia ushahidi kutoka kwenye vitabu vingine nilivyovitaja hapo juu....

Naomba niweke wazi kuwa,vitabu hivi,ukiacha kitabu cha Enoch,vingine vinbazungumzia mambo mengine ambayo siyo ya kweli.Kitabu cha Enech ni kitabu ambacho kwangu ni muhimu sana kwasababu ni kitabu ambacho hata baadhi ya wanafunzi wa Yesu walikirejea hasa Yuda aliyeandika barua ambayo ni miongoni mwa barua zilizopo kwenye Biblia,hivyo watu wanapovitafuta vitabu hivyo na kuvisoma wawe makini kweli kweli.....

Kuna kitabu ambacho wanaweza wasikipate,kitabu hicho ni The book of Jasher,hiki ni kitabu kilichosemekana kilitoweka na kilichopo ni copy ambayo siyo halisi hivyo pia wawe makini.Vitabu hivi ni source nzuri ya mambo haya pamoja na kutafuta makala ambazo watafiti wamefanya na kupata ushahidi wa uwepo wa viumbe hawa....

Kwa maana rahisi kabisa ni kwamba inawezekana na ilifanyika na inafanyika hadi leo kwamba kuna binadamu tunawaona kuwa ni binadamu lakini kiuhalisia siyo binadamu kwa silimia 100 na hawa ni matokeo ya wanadamu kukutana kimwili na wale malaika waovu....

Fuatilia kitu kinachoendelea kule Geneva kwenye mitambo ya baraza la Nyuklia la Ulaya lijulikanalo kama CERN kwenye mitambo ya LHC kisha uanzie hapo.Kama ni mchunguzi kuna mengi utayajua kupitia project hiyo.....
 
MSEZA MKULU, hapo kwa wanefili umegusa penyewe hasa, inaaminika kipindi cha hao viumbe dunia ilifikia kiwango cha juu sana cha maarifa. Je kuna mabaki yao baada ya gharika?
 
Mabaki yao yapo sana tu na kama unataka kuyaona utayapata,just keep searching mkuu....

Wanefili waliishi kwenye nchi ya Kanaan kwa wingi sana.Watu hawajui ni kwanini Mungu alimwambia Joshua kuwa wawaue wanaume wote wa Kanaan pamoja na wanawake walioingiliwa kingono lakini wawaache wale ambao ni bikra....

Mungu alikuwa na maana kubwa sana hapa.Lakini pia watu hawajui sababu ya Mungu kuagiza Waisraeli wasioe nje yao kwa kipindi kile....

Wanefili pamoja na malaika waasi ambao kwenye dunia ya kale walijulikana kama "the gods" waliishi kwenye bara la Atlantis lililokuwa katikati ya bara la Ulaya na bara la America ya kaskazini.Bara hili liliangamizwa na Mungu mwenyewe wakati wa gharika....

Nina picha ya ramani ya dunia ya kipindi hicho ikionesha mabara yote ikiwepo bara hili na ningeiweka hapa tatizo sinayo hapa nilipo.Ni wakati ambao dunia ilikuwa na maendeleo ya kutisha mbali kabisa na haya ya sasa ambayo tunadanganywa kuwa ni makubwa.....
 
Kuhusu Wanefili ni kwamba nina vyanzo tofauti tofauti ikiwemo Biblia.Kuna findings nyingi zana za kiutafiti ambazo zimepatikana na zinazoendelea kupatikana ambazo zinaonesha kwamba ni kweli wanefili walikuwepo.Vyanzo ambavyo ni baadhi ni The Book of Enock,The book of Giants,The book of the Dead n.k....

Ni kweli na nina uhakika kuwa Wanefili na masuala yote ya interbreed ni matokeo ya malaika waasi kukutana na wanadamu kimwili.Hili limeelezwa kwa upana wa ajabu kabisa na Henoko [Enoch] kwenye kitabu chake,ngoja nikuambie kitu....

Wakati wa kihistoria wa kule Qumran wa vitabu vya kale kabisa kugunduliwa karne ya 20,miongoni mwa vitabu vilivyogunduliwa huko ni The Book of Enoch,baada ya ugunduzi huu kutokea taarifa zilipofika UN,haraka sana jeshi la umoja huo lilifika eneo lile na kuzuia kile kilichokuwa kikiendelea eneo lile na baadaye eneo lile lilikabidhiwa kwa Vatican na baadaye hakuna kilichosikika tena kuhusu kitabu cha Enoch lakini ikasikika kuhusu mambo mengine ambayo yanaendana sawia kabisa na historia yetu.....

The book of Enoch ni kitabu ambacho kinaelezea mengi yasiyotakiwa kujulikana katika ulimwengu huu ikiwemo na rangi halisi ya Yesu,Waisraeli na ukweli juu ya yote haya ambayo yanaendelea leo.Yesu alikuwa mweusi kama wewe pamoja na Waisraeli,pia kwa namna ya ajabu ya ambayo unaweza kuona ni kama kichaa hivi ni kwamba kuna uwezekano mkubwa kabisa kuwa Wabantu ni Waisraeli,hili tuliache kwa sasa maana unaweza kuniona kichaa,lakini hayo ndiyo ambayo yalisababisha kitabu cha Enock kupigwa ban....

Kwa bahati mbaya sana copy ya kitabu hiki ilikuja kugunduliwa tena Ethiopia na walishindwa kuthibiti kusambaa kwake.kwa maana hii kitabu hiki kinatoa details za kutisha juu ya haya mambo....

Kinawataja malaika hao kwa majina,kazi walizofanya kudanganya wanadamu na chanzo cha yote haya.Kitabu cha ufunuo nacho kilitakiwa kisiwepo kwenye maandiko matakatifu ya Biblia lakini kilisalimika kutokana na lugha yake kuwa ngumu na kushindwa kueleweka na watu wengi.Lakini pamoja na hayo Shetani ameleta walimu wa uongo ili kupotosha kile ambacho kimeandikwa humo japokuwa kwa lugha ngumu kabisa,tuwe makini sana na hawa watu.....

Uwezekano wa jambo hili upo na linawezekana kabisa malaika hao waasi kuingiliana na binadamu.Kuna watu wanapinga hili lakini ushahidi uliopo unaonesha kinyuime na madai yao.Mfano kwenye Biblia agano la kale,waana wa Mungu wamekuwa wakisemwa kuwa ni malaika,ushahidi wa hili ni kwenye kitabu cha Ayubu nimesahau kidogo ni mstari upi lakini ipo na siyo mara moja,nikikumbuka nitakueleza maana hapa sipo kwenye utulivu mzuri kiasi,pia ushahidi kutoka kwenye vitabu vingine nilivyovitaja hapo juu....

Naomba niweke wazi kuwa,vitabu hivi,ukiacha kitabu cha Enoch,vingine vinbazungumzia mambo mengine ambayo siyo ya kweli.Kitabu cha Enech ni kitabu ambacho kwangu ni muhimu sana kwasababu ni kitabu ambacho hata baadhi ya wanafunzi wa Yesu walikirejea hasa Yuda aliyeandika barua ambayo ni miongoni mwa barua zilizopo kwenye Biblia,hivyo watu wanapovitafuta vitabu hivyo na kuvisoma wawe makini kweli kweli.....

Kuna kitabu ambacho wanaweza wasikipate,kitabu hicho ni The book of Jasher,hiki ni kitabu kilichosemekana kilitoweka na kilichopo ni copy ambayo siyo halisi hivyo pia wawe makini.Vitabu hivi ni source nzuri ya mambo haya pamoja na kutafuta makala ambazo watafiti wamefanya na kupata ushahidi wa uwepo wa viumbe hawa....

Kwa maana rahisi kabisa ni kwamba inawezekana na ilifanyika na inafanyika hadi leo kwamba kuna binadamu tunawaona kuwa ni binadamu lakini kiuhalisia siyo binadamu kwa silimia 100 na hawa ni matokeo ya wanadamu kukutana kimwili na wale malaika waovu....

Fuatilia kitu kinachoendelea kule Geneva kwenye mitambo ya baraza la Nyuklia la Ulaya lijulikanalo kama CERN kwenye mitambo ya LHC kisha uanzie hapo.Kama ni mchunguzi kuna mengi utayajua kupitia project hiyo.....
SHETANI yupo ila mchananuo wako mkuu unahitaji uuambatanishe na RELIABLE SOURCE
1: Source ya wanefili kuwa uzao au matokeo ya Shetani (kaumbwa kwa Moto) Kufanya ngono na Binadamu (Kaumbwa kwa udongo), Creation inasemaje je kuna uwezekano wa interbreed kati ya watu na maraika au mashetani?. Tuanzie hapo. Kama sio Bibilia pia iweke.

2:Je Maraika wa shetani walioasi WANAJINSIA. Yaani Kuna maraika majike na madume.
Mwanadamu waliwekewa sexual organs ili wainterbreed kama ilivyo kwa wanyama wote. Vipi kuhusu hao maraika kwani huko mbinguni walikuwa wanajifungua hadi walipohasi waweze kufanya mapenzi na Mwanadamu. Nini lengo la Mungu kuruhusu inerpreed ya viumbe wasiohusiana kama ni kweli?

3:Baada ya Gharika walipona watu wanane dunia nzima. Unaushahidi gani kuwa watu hawa walikuwa na satanic genetic make up. Je gene za mwanadamu na shetani zinaweza kucross each other kuexchange genetic information. DOES DEMONS HAVE GENES as Humanbeing? Source.

4:Hii ngono kati ya shetani na wanadamu bado inatokea hadi leo. Kwa nini tunaambiwa Mungu atamuhukumu Kila mwandamu kwa maamuzi aliyofanya kwa akili yake timamu zio matokeo ya Kuwa Shetani/mtu. Hii concept inadistort maana nzima ya HUKUMU YA KWELI NA HAKI.

5:Maelezo yote hayajaweka wazi nafasi ya Mungu na Maraika wake ktk Pambano hilo. Ila imemkuza shetani na maraika zake.

Kwa mtazamo wangu Unayosema ni mchanganyiko wa FACTS NA ASSUMPTIONS. Ni kweli kuna wanadamu wachache wenye akili wenda kwa kukubali kwa maagents wa shetani na sio kuwa product ya mchanayiko wa shetani na mwanadamu. Hii mipango mikubwa duniani inapangwa na pure wanadamuw alioamua kushirikiana na Shetani kudanganya watu ili siku ya hukumu ajiongezee washirika. Kuna watu

ndio maana naomba source za research yako pia kukuza uelewa.
sorry nilikuwa sijamaliza kucompile maswali yangu
 
Napiga kambi ya kudumu hapa, Eiyer hapo kwa wabantu umeniongea kitu, kuna mtafiti mmoja alieleza namna zile kabila 12 za Israel zilivyotawanyika, akasema kwamba kabila la Yuda walihamia magharibi mwa Afrika, nikifuatilia historia ya wabantu naona walitokea huko magharibi mwa Afrika na kufika ukanda huu. Hapo kuna muunganiko flani
 
Back
Top Bottom