WW3: Diamond Platnumz Vs Diva

WW3: Diamond Platnumz Vs Diva

Diamond nae ana tabia kama ndugu zake wa kike, kwa nini asinyamaze?! Huyu Diva anasumbuliwa na upweke maana hakuna mwanaume anatulia kwake sijui aliharibu wapi?! Diamond kumjibu huyu mwanamke anajidhalilisha huyu ni wa kujibizana na dudu baya.
Nasikia ana harufu... kwenye p..pu.c

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diamond hajawahi kuongea sehemu yoyote analipwa hiyo hela Wala kiasi chochote anacholipwa kwenye show ni vizuri wewe ungetueleza hiyo source ya kulipwa mil 168 imetoka wapi?

IMG_4125.JPG
 
Vipi diva hajarusha za kutumia ngada?maana story zinasikika yule mkenya ndie partner wake katika kula ngada...
 
Diamond nae ana tabia kama ndugu zake wa kike, kwa nini asinyamaze?! Huyu Diva anasumbuliwa na upweke maana hakuna mwanaume anatulia kwake sijui aliharibu wapi?! Diamond kumjibu huyu mwanamke anajidhalilisha huyu ni wa kujibizana na dudu baya.
Kumvumilia mtu kama Diva unatakiwa sijui uwe na moyo wa aina gani manake, wakati Diva huwa anamuandama Diamond mwaka hadi mwaka, ni nadra sana ukute Diamond kamjibu! Kwa kumbukumbu zangu, ingawaje back in the days mara kwa mara Diva alikuwa anamshambulia Diamond Instagram, Diamond kwa upande wake alimpa kubwa mara moja tu tena studio za Mawingu alipomwambia live kwamba ni hadi "nikukaze"! Tena ile siku ni B12 ndie alianzisha baada ya kumuuliza Diva kwani ana tatizo gani na Diamond!!

Hii ya sasa kwa Diamond sijafuatilia lakini kama kamjibu, basi itakuwa ni mara ya pili! Sasa uliza ni mara ngapi Diva amekuwa akimwandama Diamond! Na hii ya sasa Diva alifika mbali zaidi kwa kuingilia hadi mahusiano ya Diamond!!!

Chifu, ni rahisi sana kwako kusema hivyo but trust me kwa mtu kama Diva labda uwe na moyo wa Yesu ndo utaweza kumvumilia kwa 100%! Ajabu ni kwamba, sijui tatizo lake ni nini!! Yule ingekuwa ndo wengine, dawa yake unamweka mtu kati, unamlamba makofi barabara halafu unamwambia aende polisi.
 
Back
Top Bottom