WW3: Diamond Platnumz Vs Diva

WW3: Diamond Platnumz Vs Diva

Wasanii kuongopa ni jadi yao mbona kwa sisi tunaokaa nao mitaani tunawajua ful maisha yao mbona we cha msingi msanii akikwambia kafanya jambo flani we jiongeze tu akili yako kwa sababu Mond kuongopa tumeshamzoea ila kwa sababu haituathiri kwa namna moja sio mbaya
inatuathiri man...kuna mapresenter kibao na waandaa matamasha wanaogopa hata kumuita Kwenye mashoo saiv...ndomana saiv haitwi Kwenye shoo anafanya zakwakekwake
 
Diva anapata wapi nguvu ya kumsema diamond kuhusu pesa..
Huyu malaya si juzi tu alikua anaomba omba pesa mil 7 ya akupandikiza mimba ... yaani mtu anayekosa mil 7 ya kupandikiza mimba ndio wa kumsema diamond anayemhonga dem wake v8..
 
20200104_093537.jpg
20200104_093453.jpg

20200104_093623.jpg
 
Diva anapata wapi nguvu ya kumsema diamond kuhusu pesa..
Huyu malaya si juzi tu alikua anaomba omba pesa mil 7 ya akupandikiza mimba ... yaani mtu anayekosa mil 7 ya kupandikiza mimba ndio wa kumsema diamond anayemhonga dem wake v8..

Umewahi muona Tanasha anaendesha ile V8 au Mama Dangote?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasanii kuongopa ni jadi yao mbona kwa sisi tunaokaa nao mitaani tunawajua ful maisha yao mbona we cha msingi msanii akikwambia kafanya jambo flani we jiongeze tu akili yako kwa sababu Mond kuongopa tumeshamzoea ila kwa sababu haituathiri kwa namna moja sio mbaya
Na ndiyo maana ukimdanganya mtu unaambiwa acha Usanii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom