Umslopagazi
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 1,675
- 903
Nasikia ana harufu... kwenye p..pu.cDiamond nae ana tabia kama ndugu zake wa kike, kwa nini asinyamaze?! Huyu Diva anasumbuliwa na upweke maana hakuna mwanaume anatulia kwake sijui aliharibu wapi?! Diamond kumjibu huyu mwanamke anajidhalilisha huyu ni wa kujibizana na dudu baya.
Diamond unapenda kik jamani,diva kajua kukunyoosha πππHuyu demu alikuwa anamtafuta mondi na mondi kampa kubwa kuliko nimeona sasa hiv kafyata sometime Hawa mademu ukiwaacha watakuzoea Bora umpe dawa moja atulie
Diamond hajawahi kuongea sehemu yoyote analipwa hiyo hela Wala kiasi chochote anacholipwa kwenye show ni vizuri wewe ungetueleza hiyo source ya kulipwa mil 168 imetoka wapi?
Mkuu mimi sikai dar
hata kama analipwa milioni 7 wewe haunazo.Lakini si ni kweli mzee baba mondi alitushika...kumbe halipwi 168M??
Duuh hatar fayaaa mzee baba sufuria ya makande kabsaaMwanaume gani atatulia kwa mwanamke anaejiona mzuri/mzungu koko wakati K yake ipo kama sufuria ya makande.
πππMkuu mimi sikai dar
Kama bikra Ndiyo Chakula BoraMkuu kwa nini unafananisha chakula pendwa na vitu vya ajabu
Kumvumilia mtu kama Diva unatakiwa sijui uwe na moyo wa aina gani manake, wakati Diva huwa anamuandama Diamond mwaka hadi mwaka, ni nadra sana ukute Diamond kamjibu! Kwa kumbukumbu zangu, ingawaje back in the days mara kwa mara Diva alikuwa anamshambulia Diamond Instagram, Diamond kwa upande wake alimpa kubwa mara moja tu tena studio za Mawingu alipomwambia live kwamba ni hadi "nikukaze"! Tena ile siku ni B12 ndie alianzisha baada ya kumuuliza Diva kwani ana tatizo gani na Diamond!!Diamond nae ana tabia kama ndugu zake wa kike, kwa nini asinyamaze?! Huyu Diva anasumbuliwa na upweke maana hakuna mwanaume anatulia kwake sijui aliharibu wapi?! Diamond kumjibu huyu mwanamke anajidhalilisha huyu ni wa kujibizana na dudu baya.
Acha umbea fanya kazHaya sasa tangia jana ni missile after missile...
Inavyoonekana huyu Diva alikuwa na hamu sana Platnumz amjibu , maana tangia amejibiwa anarukaruka tuuu mara aseme hivi mara vileee, sahizi anaanza kusema Platnumz anamcheat tanasha as if hilo linamhusu..
Kapigwa moja tuu kaja na majibu kibao,,,, yetu machoView attachment 1311780View attachment 1311782
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejuaje sina???
Aliyaongea hayo wasafi TV chek YouTubeDiamond hajawahi kuongea sehemu yoyote analipwa hiyo hela Wala kiasi chochote anacholipwa kwenye show ni vizuri wewe ungetueleza hiyo source ya kulipwa mil 168 imetoka wapi?