WW3: Diamond Platnumz Vs Diva

Umewahi muona Tanasha anaendesha ile V8 au Mama Dangote?


Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndiyo maana ukimdanganya mtu unaambiwa acha Usanii

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuulize sisi tunaoishi Dar!....ile ilikua kiki kama kiki zingine!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]wakuu mmenifurahisha sana jitahidini muagize hata oksijeni ntalipia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diva anapata wapi nguvu ya kumsema diamond kuhusu pesa..
Huyu malaya si juzi tu alikua anaomba omba pesa mil 7 ya akupandikiza mimba ... yaani mtu anayekosa mil 7 ya kupandikiza mimba ndio wa kumsema diamond anayemhonga dem wake v8..
Duu! Dem gani kahongwa v8 na mond?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwa nini unafananisha chakula pendwa na vitu vya ajabu
sio chakula mkuu angeringa sana,hafiki hata kwenye zile punje kabla hazijawa chakula

ni sufuria ile yakupikia mkuu sio kile kinachopikwa,acha nirekebishe kwenye sufuria weka "chungu"
 
Bora hata huo ushahidi wake angeficha, Pound 25k ni sawa na Milioni 75 za kiTZ, sasa sijui yeye aliyekuwa anaomba mchango wa Mil. 7 kupandikiza mimba anaiona hiyo Mil. 75 ni ndogo

1Pound = 3007.37 Tsh

Sent using Jamii Forums mobile app


Pound 25k ni mshahara wa mwaka mzima England. Tena hiyo unafanya kazi 40 hours a week.
 
Mkuu hili nalo neno [emoji1][emoji1]

Unajua Diamond namkumbali ila tatizo ana kiki za kindezi. Kwa sasa kiki naona zimeisha, nona anajifanya kurudisha urafiki na Mwarabu Fighter, Kifesi na Qboy. Lakini hii kiki haijavuma sana. Kwahiyo mwaka huu atajitahidi kwenda kuwaona Tiffa na Nillan
 
Ningekua Mondi naomba game na Diva kisha siku ya game namchojoa nguo zote kisha natemea mate K then namuacha nasepa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…