WW3: Diamond Platnumz Vs Diva

hili dada nipunga kweli , wamemchukua konde ili wamshinde domo bt bado anawaburuza tu.....
sasa walichobakiza nikubwabwaja tu kama mazezeta
 
Pound 25k ni mshahara wa mwaka mzima England. Tena hiyo unafakazi 40 hours a week.
Mbona pesa ndogo....unafanya kazi gani na unalipwa shingapi kwa week/mwezi?

Nieleweke nimeandika ndogo kulinganisha na gharama za maisha.
 
Mbona pesa ndogo....unafanya kazi gani na unalipwa shingapi kwa week/mwezi?

Nieleweke nimeandika ndogo kulinganisha na gharama za maisha.


Ndio maisha ya kibepari mkuu, hapo unapiga box 40 hours a week ukishakatwa kodi ndio unapewa paundi 2100 kwa mwezi. Sasa akili kichwani, inabidi upige overtime za kufa mtu ikiwezekana uchapike hata Saturday mbili kwa mwezi. Vilevile ikiwezekana muwe wawili ili msaidiane kulipa nyumba. Pesa ndogo lakini kama una malengo inatosha kufanya mambo
 
Ni ukweli analipwa hivyo...ukisoma hiyo email utaona hiyo ni bargain coz alikuwa uk so promoter alimbeba juu kwa juu so cost inapungua..hata wasanii wa mbele mara nyingi deals za hivi huwa wanazikubali..by the way pound alizoonwsha Diva hapo ni almost 75millions za madafu,ni ndogo?
 
Sasa ndugu yangu unataka kusema kuwa hiyo anayosema diva ni ndogo au unataka kusemaje kuwa Mond alilipwa zaidi ya hiyo inawezekana ww wasanij huwajui au Mond humjui vizuri sie wengine tulishakubali kulishwa matango pori madhari hayatudhuru ndio mana hatutaki kumkosoa kwa sababu haina faida kwetu
 
Zima drama za wasanii ili ionekane hip hop
 
Kwa mfano Dudubaya kila akiamka huwa anawasema clouds au B12 lakin hakuna siku utasikia wamemjibu maana wanajua ukibishana na mtu ambae unajua mko level tofauti utadhalilika so Diamond atulie tu kama vile haoni hadi atakapochoka mwenyewe
 
mkuu kiukwel dai kazingua Tena sana moja ya bad move alizowaifanya dai ni kuropoka na kumuongelea uyo bitch Sasa uko Instagram demu muda wote anatuma makombola dai nae asivyo sivyo na akil timamu atamjibu kama alivyo jirekodi anaimba wimbo wa alikiba wakat ashaambiwa UNIKOME lakn bado anajipendekeza Kuna muda jamaa anaboa kinouma
 
Kwa mfano Dudubaya kila akiamka huwa anawasema clouds au B12 lakin hakuna siku utasikia wamemjibu maana wanajua ukibishana na mtu ambae unajua mko level tofauti utadhalilika so Diamond atulie tu kama vile haoni hadi atakapochoka mwenyewe
mkuu umeongea bonge LA point Sema dai sijui kama anaweza vumilia maana kasha jirekodi anaimba wimbo wa alikiba wakat ashaambiwa UNIKOME
 
hahahaaaaa unakaa na akina manfongo unasema unakaa na wawasanii
 
Nadhani umeninukuu vibaya na sioni kama nimemanisha brand ni uongo ila nimemanisha kila mtu anajua jinsi ya kujionyesha yy ni wa thamani iwe kiuongo au kiukweli
Unachosema ni sawa,nachotaka kusema ni kwamba BRAND is based on all lies.

Dont trust what celebrity says......are all lies!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…