Katika world cup ya wanawake 2011, japan imefanikiwa kutwaa ubingwa dhidi ya marekani, mchezo uliochezwa huko ujerumani
mchezo ulikuwa mkali sana,
japan haukuonyesha nafasi ya ushindi kipindi cha kwanza
usa ilionesha ina uwezo mkubwa wa kukitwaa kikombe hasa kwa mashambulizi mengi kwenye lango la japan
walianza kufunga usa then japan wakasawazisha.
Mchezo ulienda sare hadi dakika za kawaida 90 zikaisha
kwenye nyongeza ya dakika 30, usa ilianza kufunga, na japan ilisawazisha dakika za majeruhi kabisa,
ngoma ikaenda penati
usa walikosa penati tatu za mwanzo,
japan ilikosa penati moja tu, na wakatwaa ubingwa
huu ni ubingwa wa kimiujiza hasa ukizingatia hali waliyonayo wajapan nyumbani