Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamieni kule kwa Copa America sasa maana nako kunaelekea kutakuwa na matuta
Hamieni kule kwa Copa America sasa maana nako kunaelekea kutakuwa na matuta
I called for Japan to win it kwenye ile thread nyingine, ila baada ya Wambach kufunga nilikata tamaa lakini kumbe duh akina Geisha walikuwa bado hawajamaliza.
Naona Brazil nao wameenda kwenye penalties.Nyani, Copa uchovu mtupu.. hakuna cha Neema au Macaroni, heri wamlete Marta!
Uliona goli la Sawa lilivyokukwa tamu? hata kulionyesha tena ESPN wanaogopa kulionyesha, achilia mbali Aswile na Kabunda waliopiga penati za kwanza za Marekani!
Hahahah mchungaji umeniacha hoi lol...!! Rapinoe anasukuma ngozi lakini.Miye nampenda Rapinoe.. mwanamke wa shoka...imahine kwenye Chagulaga.. lazima jasho likutoke...
Mkuu safi sana, post maridhawa.USA Penalty 1 Japan Penalty 3
Japan Bingwa World CUP 2011![]()