WWC Final: Japan vs USA

WWC Final: Japan vs USA

Hahahah nilisema ukimchekea Wambach lazima akuchape... Sidhani kama Japan watachomoka hapa sasa...!!


Hahahahah Japan wamechomoa tena 2-2 naona hii mechi itaamuliwa kwa maguu 12 ya mtu mzima mwenye akili timamu. 🙂
 
USA 2 Japan 2
Mpira ume kwisha
Na sasa ni maguu 12 ya mtu mzima.
 
Dk. 120 all 2 sasa matuta kuamua. Japan wako pungufu, hata hivyo hawataarithika kwa matuta matano ya kwanza yataamua bingwa.
 
USA 2 Japan 2
Mpira ume kwisha
Na sasa ni maguu 12 ya mtu mzima.

.....lazima umalizie Mkuu ya mtu mzima mwenye akili timamu maana ya taahira ni kama ya mtoto
🙂
 
kipa wa japan noma, mfupi lakini tishio. usa wamekosa 2, moja kipa katoa nyingine imeota mbawa
 
mjapani kaokoa ya 3. usa bado hawana penalti
 
USA Penalty 1 Japan Penalty 3

Japan-120-animated-flag-gifs.gif
Champions Football Gif.gif

Japan Bingwa World CUP 2011

 
Back
Top Bottom