WWF waponda na kupinga mradi wa umeme wa Stiegler’s Gorge

Watuambiue njia mbadala za kuondokana na tatizo la nishati ni zipi na sio kupinga tu.
Uko sahihi mkuu. Kwao wameharibu uoto wa asili kwa kigezo cha maendeleo halafu kwetu haifai. Wakitaka watupe mihela tukajenge kinu cha nyuklia Mbinga au makaa ya mawe Nchuchuma(Ludewa). Hawataki tutajenga Hydropower, 'affordable project' kwetu
 
Patriot na Tindo mpisheni pepo mbaya apite wajameni, sisi wote ni ndugu amani iwe nanyi
 
Huu mjadala ni mzito. Unahitaji Wataalamu wa Mazingira na Wachumi kuuchambua.
Kama kuna nchi zingine zimewahi kuwa na situation kama hii na wakafanyaje na outcome ikawaje na sasa kuna impact gani; hiyo taarifa ingetufaa zaidi.

Mjadala huu haupaswi kubebwa kisiasa wala kiushabiki.
Kuna sintofahamu ya Priorities kwa kila awamu ya Utawala inapokuja na pia tusipuuze sana athari za mazingira kama kweli zipo.
Wataalamu husika watoe hoja zenye mashiko watusaidie.
 
Unapotaka kufanya kitu chenye faida maishani lazima tu ufanyesacrification ya kitu fulani for the future benefit.
 
Naunga mkono hoja 100%
 
hao WWF ndio nani???.......sisi tunashida ya umeme kwa ajili ya maendeleo ya watu wetu.....wakae kimya sasa
 
Halafu bado wanabomoa nchi za watu na mabomu wala hawasemi wanaharibu nchi. Libya, Iraq nk magofu matupu.
 
Kafue chupi ukimaliza uoshe mbunye, umeulizwa kiungwana jibu kiungwana, hujisikii kujibu potezea, ukijifanya unajibu kwa kuleta mapozi lazima tukukatie shanga. Kafie mbele changu wewe.
Kwa hiyo sasa hivi umegundua mimi mwanamke. Jitahidi sana kuvalisha akili yako. Unahangaika kugundua matusi, yakigoma unagundua mengine. Umeanza kutamani mdogo wako wa form 4 akuelimishe, binafsi nikaamini uko chini ya form 4 ukagoma kukubali. Ukatukana kwa kuamini mimi mwanaume, nikaomba ushahidi wako ukastuka sasa unaamini mimi mwanamke. Mpaka lini dogo? Maana kama ni mtu mzima basi jitahidi kuongeza elimu.

Uko darassa gani? naogopa nisijikute nahangaika na kijana wa kindergarten.
 
Nilidhani kupitia gesi ya Mtwara tungeuza umeme nje ya nchi kama waziri alivyo semaga!
 

Niambie ni mzungu yupi aliye designate 38% ya ardhi yetu kuwa hifadhi? Na alifanya hivyo kwa kupitia sheria ipi? Ni dhana potovu kuamini kuwa hizi hifadhi ni kwa ajili ya wazungu tu wakati serikali inafanya juhudi kubwa kuwashawishi raia wake kutitembelea ili waone mwenyezi Mungu alivyowapendelea kuwapa utajiri huu ambao ni nadra sana kuuona sehemu nyingine duniani. Hawa wanyama, ndege, samaki, vyura, miti, majani ni utajiri tuliourithi na ni wajibu wetu kuhakikisha vizazi vinavyokuja vitaufaidi.

Pamoja na athari za kimazingira, hydro power sio sustainable sana katika mazingira yetu. Kwanza, mvua haziaminiki. Pili, mito yetu inabeba sana udongo ktokana na "soil erosion" na hivyo kupelekea mabwaya yetu kujaa udongo na hivyo kupunguza kiasi cha umeme unaoweza kuzalishwa. Haya tunayaona katika mabwawa tuliyonayo lakini bado tunadhani hali itakuwa tofauti kwenye bwawa hili.

Uharibifu utakaotokea kwenye Rufiji Delta tunapuuzia lakini tutakuja kujuta kama vile tulivyoonywa dhidi ya kukata miti kwenye milima yetu na sasa tunavuna matokeo ya ubishi wetu.

Amandla..........
 
Waache ujinga wao. Kwa nini wasimlaumu kwanza D. Trump kwa kitendo cha kujitoa katika mkataba wa KIOTO?
Aliyekwambia nani Donald Trump halaumiwi? Huyu anapingwa hata na serikali za majimbo yake ambao baadhi wamesema kujitoa huko hakuwahusu. Na ni Kyoto sio KIOTO.

Amandla........
 
Mzungu huwezi bishana nae utabisha tuu ila majibu utayapata. Sisi bado Sana ila tumejaliwa kuwa naubishi usiyo na tija.
Acha kasumba ya kubabaikia wazungu
Mradi utajengwa na umeme utatoka
Walituchelewesha kuanzisha shamba la miwa miaka nenda rudi,mwanaume Magufuli kampa Bakhresa ameanza kupanda na kiwanda kinajengwa
 
Mi Mashauri wawekeze kwenye gas maana tutatumia Hela kidogo kuliko kujenga Mpya. Shida ya kutegemea mvua ni yamkini.
 
Vipi Mkuu! jana nilikuona kwenye tv yako ukipiga chabo, Si ulipata Majibu?
 
Dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…