DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Timu ya Azam FC imekamilisha Michezo ya Hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho kwa kufungwa Magoli 2-0 dhidi ya Wydad AC ya Morocco na hivyo kukwama kuingia Hatua ya Robo Fainali kwa kuwa imeshika nafasi ya 3 katika Kundi B.
Matokeo mengine ya Kundi hilo, Maniema Union ya DRC nayo imeingia Robo Fainali baada ya kuifunga Nairobi United ya Kenya Magoli 3-0.
Matokeo mengine ya Kundi hilo, Maniema Union ya DRC nayo imeingia Robo Fainali baada ya kuifunga Nairobi United ya Kenya Magoli 3-0.