Wydad Casablanca Fans Tukutane hapa

 
Mapaka FC, wazee wa NGADA, Makolokocho FC wapigwe wapotee kabisaa wachawi hawa
 
Ama kweli usiku wa deni haukawiii kukucha.

Dj waleteeee waleteeeee. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]

Cc. Mtani cocastic.
Mtanii nna pressure mwenzio
Yaan leo naumwa km siumwi, siumwi km naumwa
Niombee kwa kweliii,

Watu wamenipaniaa leo, tukitolewa sijui nitakua na hali ganiii uwiiiih

Nataman kulia, natamani kuchekaa. Tafrani tupuu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sema hizi Nyuzi huwa zinatuumbua Sana pande zote mbili , tunachofikiliaga huwa kinakuja tofauti Sana, tuweke na akiba ya maneno.

Liwalo na liwe miaka mia siwezi mtakika mema SIMBA AFUNGWE TU, wakishinda kejeli kibao wapigweee mikia.
 
Mnyama hatishiki kihivyo... Tunasubiri ushindi tena sio maajabu.
 
Hahahaa! Pole sana Mtani.

Huo ndio mwanzo wa kesho kujifungia ndani. 🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…