Wydad ipo kwenye ratiba ya kushiriki michuano mikubwa ya world cup.
Inatazamiwa kukutana na vilabu vikubwa zaidi duniani kama Madrid, Barcelona, Chelsea, Man U nk.
Mamelody, Al Ahly wao wanafikia hatua ya kwenda hadi huko huko Ulaya kuchukua wachezaji wakubwa ili kupata Quality ya ku-challenge hizo Clubs.
Then Wydad wenye ambitions hizo hizo za kuonesha challenge dhidi ya hao vigogo aje amsajili Mzize??
Huyu huyu Mzize ambaye kacheza msimu mzima lakini kafunga goli 3 kazidiwa na Fredy aliyekuja dirisha dogo?