Tetesi: Wydad Casablanca wamrudia Clement Mzize, Ofa ya zaidi ya Tsh. Bilioni 2, na Masharti Magumu

Huu uchungu ulio nao uwaweza kuzaa muda wowote, alf alie toa taarifa si huyo Mick Jr kipenzi chenu makolo sasa lawama za nini
 
umemaliza kila kitu, thread closed

wenzetu wanaupeo wa kuiona kesho mapema sanaaa
 
yani yanga kutaka mchezaji wenye malengo nae abaki klabuni ni kumbania!!!
maajabu ya wataifa starz haya
 
Yaan Huyu Mzize nileomwona anacheza na Ethiopia Bilioni 2, au kuna mwingine?
 
Mzize anatuvitu vitu. Wamuuze kama kuna faida kwa club. Sasa wakimuuza . Dirisha dogo tutapata mchezaji bora sasa kuziba pengo???? Kama vipi tuwape baleke kwa hiyoo nusu ya bei.
 
Umekaa unamuelewesha kolo ukidhani haelewi? Anajua vizuri basi kiroho mdundiko inauma na kuwasha
 
Yanga na hili wanataka mpaka mama kizimkazi aingilie kati.

Wamruhusu aende kwa faida ya mchezaji na taia kiujumla.
 
Yanga na hili wanataka mpaka mama kizimkazi aingilie kati.

Wamruhusu aende kwa faida ya mchezaji na taia kiujumla.
Kwani wao Yanga hawahitaji huduma ya Mzize kwasasa? Yaani Yanga iamue kuharibu malengo yao kisa utaifa. Je hao Wydad wangekuwa wao wangekubali ujinga wa kumuuza key player wao huku dirisha likiwa limefungwa?
 
Achana na mbumbumbu hawezi kuelewa yaani uko vitani uuze silaha muhimu Kwa adui
Kwanza hao wydad ni team ndogo Kwa Sasa bila kujali historia hata shirikisho haichezi
 
Kwani wao Yanga hawahitaji huduma ya Mzize kwasasa? Yaani Yanga iamue kuharibu malengo yao kisa utaifa. Je hao Wydad wangekuwa wao wangekubali ujinga wa kumuuza key player wao huku dirisha likiwa limefungwa?
Elewa neno kwa faida ya mchezaji.. Unadhani mzize kati ya yanga na wydad wapi anatengeneza cv nzuri zaidi,
Wydad ni timu kubwa kwa yanga, mchezaji anapaswa kwenda kujikuza zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…