Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Kwani wewe kinachokuumiza ni nini? Au umetumwa ili tuumiziwe wachezaji na MakanjanjaWydad anacheza na Simba jmoc saa 4 usiku lakn leo jumatano ana kibarua cha ligi kuu, nimejiuliza sana kwann haya mambo hayafanyiki hapa bongo, wiki nzima Simba na Yanga zimekaa bila kucheza, Shall we make it?
DahhhhAcha wapate match fitness Jumamosi watuchakazie mtu.
Kwa upeo mdogo tu ungeweza kujua kuwa Simba inasafiri wakati Wydad haisafiri. Hata hilo ulishindwa kuliona?Wydad anacheza na Simba jmoc saa 4 usiku lakn leo jumatano ana kibarua cha ligi kuu, nimejiuliza sana kwann haya mambo hayafanyiki hapa bongo, wiki nzima Simba na Yanga zimekaa bila kucheza, Shall we make it?
Uzalendo umenishinda, kuna mtu nataka kumlipizia kisasi.Dahhhh
Unajua kutoka Tanganyika mpaka Morroco kwa ndege ya kibiashara ni siku 3?Wydad anacheza na Simba jmoc saa 4 usiku lakn leo jumatano ana kibarua cha ligi kuu, nimejiuliza sana kwann haya mambo hayafanyiki hapa bongo, wiki nzima Simba na Yanga zimekaa bila kucheza, Shall we make it?
Sisi tunaopanda mabasi tu kwenda Karteshi (Hanang) tutajuaje mambo hayo! 😂Unajua kutoka Tanganyika mpaka Morroco kwa ndege ya kibiashara ni siku 3?
Unatoka Dar mpaka Doha, pale Doha unachukua ndege mpaka Algeria, Algeria ndio siku inayofuata unapata connection ya Morroco...
Swali fikirishi ulisha wahi kujiuliza umbali uliopo toka Tanzania hadi Morocco?Wydad anacheza na Simba jmoc saa 4 usiku lakn leo jumatano ana kibarua cha ligi kuu, nimejiuliza sana kwann haya mambo hayafanyiki hapa bongo, wiki nzima Simba na Yanga zimekaa bila kucheza, Shall we make it?
Hata Mamelodi yupo uwanjani muda huu....Wydad anacheza na Simba jmoc saa 4 usiku lakn leo jumatano ana kibarua cha ligi kuu, nimejiuliza sana kwann haya mambo hayafanyiki hapa bongo, wiki nzima Simba na Yanga zimekaa bila kucheza, Shall we make it?
Na Mapacha wa Kariakoo....Hawachezi mchana saa 8 jua Kali.... Why!??Kuna msimu Simba alikua na viporo 8... Kisa anacheza caf cl.... Huu ni upuuzi tu kama upuuzi mwingine, sa ivi Simba kacheza mechi 8 yanga 9 wakati Kuna timu wamepiga mbungi mara 12
Hata wiki iliyopita jumatano kama ya Leo walicheza mechi ya Ligi(Botola pro) Tena mechi ngumu kwelii kwelii dhidi ya ASFAR Rabat na wakati huo jumamosi walikuwa wanaenda kukutana na Asec mimosas ugenini huko Ivory coast.Kwa upeo mdogo tu ungeweza kujua kuwa Simba inasafiri wakati Wydad haisafiri. Hata hilo ulishindwa kuliona?
Kakimbilia kupost tuKwa upeo mdogo tu ungeweza kujua kuwa Simba inasafiri wakati Wydad haisafiri. Hata hilo ulishindwa kuliona?
Kuwa na congested fixtures kama hivi ni ishara ya udumavu wa Ligi pamoja na mismanagement iliyopo kwenye vilabu vyetu mapacha.Kuna msimu Simba alikua na viporo 8... Kisa anacheza caf cl.... Huu ni upuuzi tu kama upuuzi mwingine, sa ivi Simba kacheza mechi 8 yanga 9 wakati Kuna timu wamepiga mbungi mara 12