Wydad wanacheza ligi kwao leo usiku, sisi huku Bongo tunazipa muda wa kurelax Simba na Yanga

Wydad wanacheza ligi kwao leo usiku, sisi huku Bongo tunazipa muda wa kurelax Simba na Yanga

Kuna msimu Simba alikua na viporo 8... Kisa anacheza caf cl.... Huu ni upuuzi tu kama upuuzi mwingine, sa ivi Simba kacheza mechi 8 yanga 9 wakati Kuna timu wamepiga mbungi mara 12
 
Wydad anacheza na Simba jmoc saa 4 usiku lakn leo jumatano ana kibarua cha ligi kuu, nimejiuliza sana kwann haya mambo hayafanyiki hapa bongo, wiki nzima Simba na Yanga zimekaa bila kucheza, Shall we make it?
Unajua kutoka Tanganyika mpaka Morroco kwa ndege ya kibiashara ni siku 3?

Unatoka Dar mpaka DOHA, pale DOHA unachukua ndege mpaka ALGERIA, Algeria ndio siku inayofuata unapata connection ya MORROCO?

Na ukifika CASABLANCA mechi inachzwa mkoani huko MARAKESH- yaani kilometa 200 lazma upate connection ya local flights ama basi ni masaa 4, , natumai sasa akili zako kama si za maandazi umeelewa.

Unajua hata hapo ANGOLA ukitaka kwenda kucheza unakwenda DUBAI, Dubai ndio unapata ndege ya kwenda hapo angola?
 
Wydad anacheza na Simba jmoc saa 4 usiku lakn leo jumatano ana kibarua cha ligi kuu, nimejiuliza sana kwann haya mambo hayafanyiki hapa bongo, wiki nzima Simba na Yanga zimekaa bila kucheza, Shall we make it?
Swali fikirishi ulisha wahi kujiuliza umbali uliopo toka Tanzania hadi Morocco?
 
Kwa upeo mdogo tu ungeweza kujua kuwa Simba inasafiri wakati Wydad haisafiri. Hata hilo ulishindwa kuliona?
Hata wiki iliyopita jumatano kama ya Leo walicheza mechi ya Ligi(Botola pro) Tena mechi ngumu kwelii kwelii dhidi ya ASFAR Rabat na wakati huo jumamosi walikuwa wanaenda kukutana na Asec mimosas ugenini huko Ivory coast.

Pia kwa Mamelod sundowns alicheza na supersport kwenye PSL katikati ya wiki Kisha ndio akasafiri kwenda kumenyana na Mazembe.

Anachokisema mleta kina mantiki sana, inashangazo kuona mpaka Leo pamoja na kuwepo kwa huduma za haraka za usafiri lakini bado Kuna watu wanaendesha mambo utafikiri Bado Yuko mwaka 1975 ambako ndege ilikuwa ni moja tu unafanya booking wiki tatu kabla ya safari.

hivyo acha kutetea uzamani na uvivu unaofanywa na vilabu vyenu vya hapa bongo ambavyo vinashindwa kwenda na wakati miaka nenda miaka Rudi Bado vinaendesha mambo kiswahili.
 
Kuna msimu Simba alikua na viporo 8... Kisa anacheza caf cl.... Huu ni upuuzi tu kama upuuzi mwingine, sa ivi Simba kacheza mechi 8 yanga 9 wakati Kuna timu wamepiga mbungi mara 12
Kuwa na congested fixtures kama hivi ni ishara ya udumavu wa Ligi pamoja na mismanagement iliyopo kwenye vilabu vyetu mapacha.

Haya wanarundika mamechi kama hivyo halafu mwisho wa siku hata nusu fainali tu hawafiki, matokeo yake wakisharudi kwenye Ligi wananza kushindana kununua mechi kwa vilabu vilivyojichokea vinaelekea kushuka daraja.
 
Back
Top Bottom