Hekimatele, bei ni ndogo sana na haijapata tokea wewe gonga tu 0787459850 kwa design zilizopo na order pia
weka bei hapa ili na wengine waweke za kwao, wachoraji wako kibao bwana acha kutaka giza kama mende, weka bei kwa kila item
bei ndo ikoje sasa mkuu?
Bei za michoro ya architectural design inafahamika. Na gharama zake huwa ni kwa square meter, lakini mimi sina viwango hivo. Kinachofanyika hapa ni kukupa wewe design kwa price ambayo iko sawia na aina ya design husika.