Software inayotumika kudesign ni ya wazungu na objects zilizopo ni sura zao tu, waafrica tunatumia tu hii technologia mkuu Kwa hiyo hao unaowaona usiogope
Tahadhari kutokana na sheria namba 4 ya mwaka 2010 mtu yeyote haruhusiwi kufanya biashara ya fani ya ubunifu majengo na ukadiriaji majenzi kama hajasajiliwa na bodi husika.