X mwanamke na x mwanaume huwa wapi mna tatizo?

X mwanamke na x mwanaume huwa wapi mna tatizo?

babukijana

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2009
Posts
14,478
Reaction score
18,341
Nilitandika vibinti enzi hizo,na vikazaa hovyo tu,.
Mi nikaendelea tu kibabubabu na kibibibibi.
Mi ndoa nilishakataa.
Sasa X zaidi ya saba wanataka kurudi ntawapeleka wapi?
Huku nna x wa mwisho nae anandai hela nyingi tu.
Kwenda mahakamani kujitetea ni kila siku,ni mke wa ndoa kabisa.
Sikulazimishwa ilikua tulipendana haswa.
Tukaachana kwa mashinikizo ukoo wake na kwangu hawakuelewana.
Ndoa ikafa.
Hapo tuna mtoto mdogo.
Yule mtoto mtoto,aliwai kuniuliza swali akiwa na miaka mi3 tu.
Kwanini baba huelewani na mama?
Huku akikuna kichwa
Nakumbuka niliingia chooni nikalia sana.
Niliporudi jibu langu ilikua kamuulize mama kwanini haelewani na mimi?
Badae mama kaja kuomba msamaha nikamtosa.
Somo ni kwamba nilisamehe yote nikaendelea na mambo mengine.
By the way i can meet my son and x even her streethusband sometime.
Im so cold on that,and yes she met a lot of my womans and kids..
The lesson is you people if you dont understand each other dont get involved.
Theres cry in the end of the road.
And dont blame anyone on that.
Na kama mtaongelea ujinga wa kula kimasihara.
Baba zenu tulipita navyo muda tu kimyakimya.
 
Hakika wewe ni babu kijana. Ulivyochanganya kimalkia tu nikapoteana.
Picha inaeleza mengi
IMG_20241023_233612.JPG
 
Back
Top Bottom