Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Ametoa povu baada ya kuona Nina mpenzi mpya....! Comment ziwe fupi fupi.
mwambie yatapita tu. ana maumivu mazitoAmetoa povu baada ya kuona Nina mpenzi mpya....!
Comment ziwe fupi fupi
Tupiamo kapicha ka wote wawili, tuamue ugomvi!