Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kati ya hizi overall ipi bora kwa kila kitu?Redmi Note 11 Pro ni bora kwenye kila kitu kuliko Redmi 12C, kuanzia kamera, display, performance, software, design, call quality na kila kitu tena kwa gap kubwa sana kwa sababu Redmi Note 11 Pro ni midrange na Redmi 12C ni low end phone
Kwa Tanzania naona Redmi Note 11 Pro inauzwa kwa 600,000/= halafu Redmi 12C inauzwa kwa 240,000/=. Hata bei zinaonesha utofauti uliopo baina ya hizi simu mbili
Redmi Note 11 Pro ni simu ya muda, sasa hivi Note 12 series zimeshatoka na Note 13 series zimetoka pia kwa hiyo kama unataka Redmi Note series ni heri ununue Redmi Note 12 series au Note 13 series au baadhi ya midrange za Poco na A-series za Samsung
Ni vyema kutaja bei ya simu unayoitaka ili tuangalie ipi itafaa zaidi kwa bei hiyo
Sijaelewa pro 12 na pro 8, ziandike vizuri mkuu.Mkuu kati ya hizi overall ipi bora kwa kila kitu?
Redmi note 13 pro 12 plus (512) vs redmi note 13 pro 8 plus 5g (256)
cc Chief-Mkwawa
Asante mkuu Kwa ushauri wako.Kwa nilivyoelewa hapo kama Kuna translation mbaya, hiyo 8 plus, 6 plus na 12 plus zitakuja ni ram na kwenye Mabano ni storage.
Bei zote hizo ni Ghali mkuu, Tena ghali sana,
Mfano
Redmi note 13 ya 4G inakuja na Snapdragon 685 (sawa na Redmi 10C ambayo ilikua ikiuzwa 300,000)
Redmi note 13 pro inakuja na Helio G99 sawa na Samsung A24 ambayo inauzwa kama laki 4.
Yenye 5G inakuja na Snapdragon 7s gen 2 ambayo ni equivalent ya Snapdragon 778G ambayo unaipata kwenye simu nyingi laki 6 ama 7.
Subiria mkuu kama Tigoshop wataanza kuunza ama supplier anaejielewa hapo unapigwa.
Mkuu kama hawa Xiaomi shop wameweka bei elekezi hizo, sidhani hawa tigo wanaweza uza pungufu ya laki 3 Kutoka bei elekezi.Kwa nilivyoelewa hapo kama Kuna translation mbaya, hiyo 8 plus, 6 plus na 12 plus zitakuja ni ram na kwenye Mabano ni storage.
Bei zote hizo ni Ghali mkuu, Tena ghali sana,
Mfano
Redmi note 13 ya 4G inakuja na Snapdragon 685 (sawa na Redmi 10C ambayo ilikua ikiuzwa 300,000)
Redmi note 13 pro inakuja na Helio G99 sawa na Samsung A24 ambayo inauzwa kama laki 4.
Yenye 5G inakuja na Snapdragon 7s gen 2 ambayo ni equivalent ya Snapdragon 778G ambayo unaipata kwenye simu nyingi laki 6 ama 7.
Subiria mkuu kama Tigoshop wataanza kuunza ama supplier anaejielewa hapo unapigwa.
Then mkuu achana nayo.Mkuu kama hawa Xiaomi shop wameweka bei elekezi hizo, sidhani hawa tigo wanaweza uza pungufu ya laki 3 Kutoka bei elekezi.
Asante Mkuu prof Chief-MkwawaThen mkuu achana nayo.
Laki 8 mpaka milioni moja hio ni Bei ya upper Midrange ama flagship za mwaka Jana. Max hio 13 pro maybe laki 7 hivi. Kama unayo hiyo milioni na unataka Xiaomi nzuri tafuta ambazo sio Redmi kama Xiaomi 13 plain.
Xiaomi flagship zao zote ambazo ni plain bila neno pro ama ultra kwa mbele ni portable na size ndogo, Xiaomi 13, 14 etc.Natamani kuona Xiaomi wanatoa simu ambazo ni mid sized and portable and slim kama Samsung. Watanikonga nyoyo kwelikweli
Binafsi natumia Redmi 10 lakini kila ninapoishika mkononi kitu cha kwanza nakitamanigi ni kama ingepungua kidogo urefu wakeXiaomi flagship zao zote ambazo ni plain bila neno pro ama ultra kwa mbele ni portable na size ndogo, Xiaomi 13, 14 etc.
Kwa urefu mkuu hakuna Tena simu fupi, Compact za Sasa zote ni ndefu, unakuta simu nyembamba then ndefu. Aspect ratio imebadilika toka 16:9 kwenda 19 ama 21:9.Binafsi natumia Redmi 10 lakini kila ninapoishika mkononi kitu cha kwanza nakitamanigi ni kama ingepungua kidogo urefu wake
Mi 14 ultra is the modification of Mi 13 ultraView attachment 2847909
Mwaka huu zimetoka simu nyingi sana ila Mchina kanifurahisha zaidi.
Kampuni ya Xiaomi imetoa flagship zao mpya October mwaka huu ambazo ni Xiaomi 14 na Xiaomi 14 Pro.View attachment 2847911
Nadhani zinastahili kuwa flagship bora zaidi kwa mwaka huu.
Xiaomi 14 Pro imefikia level ambayo inaweza kushindanishwa na iPhone 15 Pro Max na kuizidi Samsung Galaxy S23 Ultra.View attachment 2847913
Xiaomi 14 Pro inakuja na Qualcomm Snapdragon 8 Gen 3, na inafikia hadi 16GB RAM 1TB ROM, Inakuja na 1440p display, kamera ya mbele sasa inaweza kurekodi video za 4K@60fps na pia inakuja na USB Type C 3.2View attachment 2847916
Kitu kingine chema ni kwamba Xiaomi 14 na 14 Pro sasahivi hazijaja na software ya MIUI, Sasahivi ziatumia software mpya ya Xiaomi inayoitwa "Xiaomi HyperOS"View attachment 2847917
Xiaomi HyperOS inafanana na MIUI kimwonekano ila wamebadilisha mwonekano kidogo sana. Xiaomi HyperOS iko more optimised kushinda MIUI 14 na imekuwa very stable kuliko MIUI ilivyokuwa hapo awali mpaka baadhi ya phone reviewers wameshangaaView attachment 2847915
View attachment 2847920
Kwenye upande wa kamera Xiaomi anaendelea kushirikiana na Mjerumani "LEICA" na kamera ya Xiaomi 14 Pro imekuwa very improved, kama ulifuatilia vizuri kamera ya nyuma ya Xiaomi 13 Ultra ilikuwa ni nzuri kushinda iPhone 14 Pro Max. Sasahivi kamera ya nyuma ya Xiaomi 14 Pro iko vizuri kiasi cha kushindana na iPhone 15 Pro Max View attachment 2847921
Kwa sasa hii simu ipo official kwa China tu ila Global version inaweza kuachiwa February 2024. Nadhani na Samsung Galaxy S24 Ultra itaachiwa kipindi hichohichoView attachment 2847922
Nchini China, Xiaomi 14 na 14 Pro zilipoachiwa tu, waliuza takribani simu milioni 1.45 (Xiaomi 14 series) ndani ya siku 10 tu na kufanya Xiaomi 14 series kuongoza kwa mauzo nchini China katika wiki ya 44 ya mauzo ya simu huku Huawei na Honor ndio wanafuatia.View attachment 2847929
Xiaomi 14 Pro version ya 16GB RAM 1TB ROM imetengenezwa na titanium kwa nje kama tu iPhone 15 Pro Max. Mfano angalia hii picha, hiyo ya kushoto ni Xiaomi 14 Pro (titanium) na kulia ni iPhone 15 Pro Max. Zote ni titaniumView attachment 2847930
Kadri siku zinavyoenda Mchina anazidi kuionesha dunia kuwa na yeye anaweza
Just like how S24 Ultra is the modification of S23 Ultra, iPhone 15 Pro Max is the modification of iPhone 14 Pro Max or like how almost any new phone is the modification of the previous modelMi 14 ultra is the modification of Mi 13 ultra
Sio kupunguza share, tunaongelea kuleta competition kwenye ubora wa bidhaaXiami hawezi kua kuleta iyo competition na wala hawezi punguza share za apple na samsung
One plus alikua nakuja vzr sana na one plus alkua ndo anaweza kua competitor wa apple na samsung ila saiv kapunguza kasi na kashinda kupunguza domination ya apple na samsung
Kuna google pixel anamiliki simu na anamiliki operation system (android) ila kashindwa kumpa ushindani samsung
SUPPORTEDJust like how S24 Ultra is the modification of S23 Ultra, iPhone 15 Pro Max is the modification of iPhone 14 Pro Max or like how almost any new phone is the modification of the previous model
Mwambie XIAOMI huyo 14 amepewa tenda ya kutengeneza movie kama mbili hivi na nadhani zimeshatoka... japo sina uhakika kama tayariSio kupunguza share, tunaongelea kuleta competition kwenye ubora wa bidhaa
Nimefuatilia tweets nyingi sana karibia kila comparison ya picha Xiaomi 14 Ultra na Oppo Find X7 Ultra na Vivo X100 Pro zinapiga picha vizuri kuliko Samsung Galaxy S24 Ultra. Pia kasome review ya gsmarena ya Xiaomi 14 Ultra kwenye part ya camera then uniambie Xiaomi haleti competition
Nimeona mojawapo muda si mrefu. Ni kamuvi kafupi. Ukiangalia inaweza sema imerekodiwa na expensive camera kumbe ni Xiaomi 14 Ultra.Mwambie XIAOMI huyo 14 amepewa tenda ya kutengeneza movie kama mbili hivi na nadhani zimeshatoka... japo sina uhakika kama tayari
Ni katika mkakati wa kuitanua Brand yake zaidi hasa kwenye hii industry, cha ajabu utashangaa wengine wanaigaNimeona mojawapo muda si mrefu. Ni kamuvi kafupi. Ukiangalia inaweza sema imerekodiwa na expensive camera kumbe ni Xiaomi 14 Ultra.
Xiaomi wamepost full movie kwenye account yao ya YouTube
Xiaomi wanajitahidi aiseeNi katika mkakati wa kuitanua Brand yake zaidi hasa kwenye hii industry, cha ajabu utashangaa wengine wanaiga