Reuben Challe
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 2,940
- 5,511
- Thread starter
- #61
SanaXiaomi wanajitahidi aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SanaXiaomi wanajitahidi aisee
Apple wanakuwa wa mwisho kwenye kuadapt features mpya ila wanapokuja na hizo features wanazifanya ziwe bora 10 times. Mfano anagalia Face ID imekuja around 2018 wakati android ipo muda mrefu, sasa linganisha efficiency yake.Apple wako nyuma inapokuja suala la features mpya kwenye simu. Kila mwaka wakiongeza features tatu au nne imeisha hiyo
Moja ya sababu inawafanya iphone users kuendelea kununua iphones ni ecosystem( kumbuka hapa simaanishi hawa wanaonunua iphone for showoffs). Ukiwa na Macbook, iphone na buds ni vigumu kuacha kununua iphone. Hizo device zinafanya kazi pamoja kwa ufanisi zaidi. Tofauti na simu kama samsung unahitaji mara google services, mara window plus samsungs wakati for iphone yoh just need the apple IDs24 itakayo achiwa izo iphone watatupa[emoji28]
10 times better???? Ooh ReallyApple wanakuwa wa mwisho kwenye kuadapt features mpya ila wanapokuja na hizo features wanazifanya ziwe bora 10 times. Mfano anagalia Face ID imekuja around 2018 wakati android ipo muda mrefu, sasa linganisha efficiency yake.
Xiaomi 14 tayari imefika Bongo ?! Bei gani Mkuu ?10 times better???? Ooh Really
Apple ameleta Face ID akaondoa Fingerprint scanner. Sasahivi Android zipo na Under Display Fingerprint scanner. Unadhani Face ID ni secure kufikia fingerprint scanners? Kilichofanya Apple a improve hiyo Face ID ni kwa sababu aliondoa fingerprint scanner na simu za Android zina fingerprint scanner ambayo ni 10 times better than your average Face ID
Apple kwenye new features bado sana
Kama kawaida yao Apple, wanamfunga mtumiaji kwenye products zao kijanja sana na watumiaji hawaelewi hili wao wanachukulia kama advantage tuMoja ya sababu inawafanya iphone users kuendelea kununua iphones ni ecosystem( kumbuka hapa simaanishi hawa wanaonunua iphone for showoffs). Ukiwa na Macbook, iphone na buds ni vigumu kuacha kununua iphone. Hizo device zinafanya kazi pamoja kwa ufanisi zaidi. Tofauti na simu kama samsung unahitaji mara google services, mara window plus samsungs wakati for iphone yoh just need the apple ID
Xiaomi 14 agiza tu ChinaXiaomi 14 tayari imefika Bongo ?! Bei gani Mkuu ?
Mmi 14 tuu inatosha, tamu sana ile simu Mkuu.Xiaomi 14 agiza tu China
Nimeingia Jiji nimeona Xiaomi 14 Ultra 512GB inauzwa TSh 3.7Millions
Hayo ndio mahitaji ya watu wanayoyataka ,na sio kuongeza tu. Apple watazidi kuwa juu maana wanaangalia mahitaji yangu wananiwekea nacho takaApple wako nyuma inapokuja suala la features mpya kwenye simu. Kila mwaka wakiongeza features tatu au nne imeisha hiyo
Hayo makamera ya kuongezea lenz mbele sio mahitaji ya watumiaji ndio maana watu hawawezi kununua.Creativity? Kwa sasa Xiaomi ni very creative kuliko hizo iPhone unazosemea. Kucopy design ya iOS sio issue hata Huawei, Honor na wenzake wamefanya
Xiaomi ni creative kwa sababu software yake ina features nyingi kushinda iOS na tunaona wanaendelea kuongeza features nyingi mpya kila mwaka
Xiaomi ana design nyingi sana tofauti sio kama Apple ambao wamestick kwenye design za kufanana-fanana tangu 2019 hadi leo, macho matatu yaleyale. Xiaomi anabadili design kila mwaka.
Creativity nyingine ninayoijua ni kwamba kwenye Xiaomi 12S Ultra unaweza kuweka lens za camera ya LEICA juu ya camera bump yake kama hivi. Ona hapaView attachment 2848263
Unasemaje kuhusu photography kit kwenye Xiaomi 13 Ultra?View attachment 2848264View attachment 2848265
Vipi kuhusu Xiaomi Hyper charging technology?
Xiaomi kwenye upande wa simu ni very creative kushinda hata Apple
iPhone wanaangalia watu wanataka nini???????Hayo makamera ya kuongezea lenz mbele sio mahitaji ya watumiaji ndio maana watu hawawezi kununua.
iphone hatazidi kuwa kimbiza wajingawajinga.
Issue iko clear sana,watu wanataka nini,wape wanachokitaka sio tu unakurupuka huko unavyojisikia wewe tu eti ndio tufurahi,malenz ya nini kupeana mizigo .
iphone kawekeza kwenye research watu wanataka nini? Ndio maana kuna muda kunakuwa na maboresho machache lakini ndio mahitaji yetu ndio tuliokuwa tuna lala mika,iphone haifanyi hivi. Wanatupa.
Sio unajifungia chumbani unasema chukua hiyo hapo.