Xiaomi 14 na Xiaomi 14 Pro: Mchina anaendelea kuleta competition

Mkuu kati ya hizi overall ipi bora kwa kila kitu?
Redmi note 13 pro 12 plus (512) vs redmi note 13 pro 8 plus 5g (256)

cc Chief-Mkwawa
 
Asante mkuu Kwa ushauri wako.
 
Mkuu kama hawa Xiaomi shop wameweka bei elekezi hizo, sidhani hawa tigo wanaweza uza pungufu ya laki 3 Kutoka bei elekezi.
 
Mkuu kama hawa Xiaomi shop wameweka bei elekezi hizo, sidhani hawa tigo wanaweza uza pungufu ya laki 3 Kutoka bei elekezi.
Then mkuu achana nayo.

Laki 8 mpaka milioni moja hio ni Bei ya upper Midrange ama flagship za mwaka Jana. Max hio 13 pro maybe laki 7 hivi. Kama unayo hiyo milioni na unataka Xiaomi nzuri tafuta ambazo sio Redmi kama Xiaomi 13 plain.
 
Xiami hawezi kua kuleta iyo competition na wala hawezi punguza share za apple na samsung

One plus alikua nakuja vzr sana na one plus alkua ndo anaweza kua competitor wa apple na samsung ila saiv kapunguza kasi na kashinda kupunguza domination ya apple na samsung

Kuna google pixel anamiliki simu na anamiliki operation system (android) ila kashindwa kumpa ushindani samsung
 
Mi 14 ultra is the modification of Mi 13 ultra
 
Sio kupunguza share, tunaongelea kuleta competition kwenye ubora wa bidhaa
Nimefuatilia tweets nyingi sana karibia kila comparison ya picha Xiaomi 14 Ultra na Oppo Find X7 Ultra na Vivo X100 Pro zinapiga picha vizuri kuliko Samsung Galaxy S24 Ultra. Pia kasome review ya gsmarena ya Xiaomi 14 Ultra kwenye part ya camera then uniambie Xiaomi haleti competition
 
Mwambie XIAOMI huyo 14 amepewa tenda ya kutengeneza movie kama mbili hivi na nadhani zimeshatoka... japo sina uhakika kama tayari
 
Mwambie XIAOMI huyo 14 amepewa tenda ya kutengeneza movie kama mbili hivi na nadhani zimeshatoka... japo sina uhakika kama tayari
Nimeona mojawapo muda si mrefu. Ni kamuvi kafupi. Ukiangalia inaweza sema imerekodiwa na expensive camera kumbe ni Xiaomi 14 Ultra.
Xiaomi wamepost full movie kwenye account yao ya YouTube
 
Nimeona mojawapo muda si mrefu. Ni kamuvi kafupi. Ukiangalia inaweza sema imerekodiwa na expensive camera kumbe ni Xiaomi 14 Ultra.
Xiaomi wamepost full movie kwenye account yao ya YouTube
Ni katika mkakati wa kuitanua Brand yake zaidi hasa kwenye hii industry, cha ajabu utashangaa wengine wanaiga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…