Xiaomi 14 na Xiaomi 14 Pro: Mchina anaendelea kuleta competition

Apple wako nyuma inapokuja suala la features mpya kwenye simu. Kila mwaka wakiongeza features tatu au nne imeisha hiyo
Apple wanakuwa wa mwisho kwenye kuadapt features mpya ila wanapokuja na hizo features wanazifanya ziwe bora 10 times. Mfano anagalia Face ID imekuja around 2018 wakati android ipo muda mrefu, sasa linganisha efficiency yake.
 
s24 itakayo achiwa izo iphone watatupa[emoji28]
Moja ya sababu inawafanya iphone users kuendelea kununua iphones ni ecosystem( kumbuka hapa simaanishi hawa wanaonunua iphone for showoffs). Ukiwa na Macbook, iphone na buds ni vigumu kuacha kununua iphone. Hizo device zinafanya kazi pamoja kwa ufanisi zaidi. Tofauti na simu kama samsung unahitaji mara google services, mara window plus samsungs wakati for iphone yoh just need the apple ID
 
Apple wanakuwa wa mwisho kwenye kuadapt features mpya ila wanapokuja na hizo features wanazifanya ziwe bora 10 times. Mfano anagalia Face ID imekuja around 2018 wakati android ipo muda mrefu, sasa linganisha efficiency yake.
10 times better???? Ooh Really
Apple ameleta Face ID akaondoa Fingerprint scanner. Sasahivi Android zipo na Under Display Fingerprint scanner. Unadhani Face ID ni secure kufikia fingerprint scanners? Kilichofanya Apple a improve hiyo Face ID ni kwa sababu aliondoa fingerprint scanner na simu za Android zina fingerprint scanner ambayo ni 10 times better than your average Face ID
Apple kwenye new features bado sana
 
Xiaomi 14 tayari imefika Bongo ?! Bei gani Mkuu ?
 
Kama kawaida yao Apple, wanamfunga mtumiaji kwenye products zao kijanja sana na watumiaji hawaelewi hili wao wanachukulia kama advantage tu
Ukiwa na iPhone itakulazimu hata laptop utumie MacBook ambazo zinatumia MacOS. MacOS iko nyuma sana kwenye flexibility kuliko Windows
Xiaomi phone+ Vivo earbuds+ Samsung tablet+ Google Pixel watch+ DELL laptop ni better combination kuliko iPhone+ Apple's earbuds+ iPad+ Apple watch+ MacBook kwa sababu ni more flexible than Apple's ecosystem
 
Apple wako nyuma inapokuja suala la features mpya kwenye simu. Kila mwaka wakiongeza features tatu au nne imeisha hiyo
Hayo ndio mahitaji ya watu wanayoyataka ,na sio kuongeza tu. Apple watazidi kuwa juu maana wanaangalia mahitaji yangu wananiwekea nacho taka
.
 
Hayo makamera ya kuongezea lenz mbele sio mahitaji ya watumiaji ndio maana watu hawawezi kununua.
iphone hatazidi kuwa kimbiza wajingawajinga.
Issue iko clear sana,watu wanataka nini,wape wanachokitaka sio tu unakurupuka huko unavyojisikia wewe tu eti ndio tufurahi,malenz ya nini kupeana mizigo .
iphone kawekeza kwenye research watu wanataka nini? Ndio maana kuna muda kunakuwa na maboresho machache lakini ndio mahitaji yetu ndio tuliokuwa tuna lala mika,iphone haifanyi hivi. Wanatupa.
Sio unajifungia chumbani unasema chukua hiyo hapo.
 
iPhone wanaangalia watu wanataka nini???????
Kwa hiyo watu wanataka restriction na features chache kwenye simu zao? Basi itabidi nifuatilie zaidi kuhusu "watu" inaonekana ni viumbe vya ajabu sana
 
Watu wanajali simu za bei mbaya wakati kuna Xiaomi Redmi 14C camera uwezo mkubwa kwa bei poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…