Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Haya macamera mi sivutiwi nayo kabisa.
Haya macamera mi sivutiwi nayo kabisa.
Acha kabisa, sijui simu gani zile, ni Acquas sijui chuma imejaa nyuma.😅😅😅 huwa jau sana design ya camera zao
😅😅 nilishawai kupewa Acquas, mbona nilitumia siku moja niligawa, simu kwa nyuma imejaa cameraAcha kabisa, sijui simu gani zile, ni Acquas sijui chuma imejaa nyuma.
Ama kweli yale ni macho matatu.
Hicho cha nyuma ni kioo na kinawaka kabisa (ni second screen), kamera zake sio kubwa kama jikocamera kama jiko
Angalia video ya Xiaomi 17 Pro Max ya Mr Whosetheboss hapa, kisha soma comments. Watu wameisifia sana hiyo simu. Imagine video ya 17hrs ago lakini tayari ina 3.6 Million views
View: https://youtu.be/0jHtyF_rCqU?si=UgYr6yBzyYP-atMz
At least Xiaomi ni kampuni ambayo bado inaendelea kuleta innovation. Makampuni mengine yametulia tu
Yeah hapa wanazingua, inaonesha low self esteemAdmins wa Samsung jau sana.
Yeah ni kweli, jamaa ni Apple fanboy. Mimi naangalia video zake kupata taarifa tu. Content zake ni nzuriHuyu jamaa ni big fan wa iPhone
Akiwa anazifanyia reviews simu za android huwa anazinanga vibaya mno, ila kama kuna eneo ambalo anataka kusifia atajaribu kusifia lakini mbeleni ataongeza neno "but"
Pixel 10 pro aliiponda mno
Tatizo hivi vitu ni kama ushabiki wa mpira. Mpenzi wa Samsung ata uisifie vipi iPhone hakuelewi, na kinyume chake.Yeah hapa wanazingua, inaonesha low self esteem
Samsung ni simu nzuri tayari, hawana haja ya kuanza kudiss Apple kishamba hivi
MKBHD kinyume chake. Sena anajitahidi kua nyutro.Huyu jamaa ni big fan wa iPhone
Akiwa anazifanyia reviews simu za android huwa anazinanga vibaya mno, ila kama kuna eneo ambalo anataka kusifia atajaribu kusifia lakini mbeleni ataongeza neno "but"
Pixel 10 pro aliiponda mno
Hawa majamaa nadhani makampuni huwa yanawatumia hata kufanya attack kwa wapinzani wao ili kuipa promo bidhaa yao.MKBHD kinyume chake. Sena anajitahidi kua nyutro.
Mchuchu Joanah subiri 2040 ishuke bei, maana niki kununulia chama cha ma jobless pro max wata niroga 😁😝
Tecno ipi?😃Ngoja ikulipukie ndio uache kuitumia
Kabisa sipendi hiyo design kwakweli😅😅😅 huwa jau sana design ya camera zao
😃😃😃camera kama jiko
Yoyote ile sio salama.Tecno ipi?😃
Mnyamwezi Sana, uki mzingua ana kuonyesha kuzimu ikojeAdmins wa Samsung jau sana.
dear what 😂😂, mchuchu hata kama tume chokana si mapema hivyo.
Mmh hapana nite ziko poaYoyote ile sio salama.
Salama kwa vile haijakulipukia.Mmh hapana nite ziko poa