Xiaomi bwana! Wameiruka Xiaomi 16 wametoa Xiaomi 17, 17 Pro na 17 Pro Max!

Xiaomi bwana! Wameiruka Xiaomi 16 wametoa Xiaomi 17, 17 Pro na 17 Pro Max!

Mkuu sikuwahi kutumia Xiaomi before ila sasa natumia note 10 pro, ndio mwanamke niliyefunga nae ndoa sasa

Kuna kampuni huwa ni underated lakini ukijia kwenye uwezo na features zake wako vizuri...

Nitaangalia hiyo note 17 features
Hii sio Redmi Note 17
Ni "Xiaomi 17" na "Xiaomi 17 Pro". Series ya Note ni nyingine kabisa, na huwa ni midrange, na zinatengenezwa na subbrand ya Xiaomi iitwayo "Redmi"

Kwa Redmi zimefika mpaka "Redmi Note 15 Pro" bado hawajafika kwenye Note 17
 
Leo ndio naelewa kuwa redmi na Xiaomi utofauti wao .... Asante
 
Hii sio Redmi Note 17
Ni "Xiaomi 17" na "Xiaomi 17 Pro". Series ya Note ni nyingine kabisa, na huwa ni midrange, na zinatengenezwa na subbrand ya Xiaomi iitwayo "Redmi"

Kwa Redmi zimefika mpaka "Redmi Note 15 Pro" bado hawajafika kwenye Note 17
Hapa huwa wanatuchanganya sana xiaomi vs xiaomi redmi!!!.... Na sijui kwanini kkoo nyingi ni xiaomi redmi nimejaribu kutafuta xiaomi 13 pro ulizia kote hamna
 
Mdogo mdogo watatoa simu zenye dual screen nyuma na mbele
IMG_8423.jpeg
 
Tatizo hivi vitu ni kama ushabiki wa mpira. Mpenzi wa Samsung ata uisifie vipi iPhone hakuelewi, na kinyume chake.

Ila ukweli kila mtu anaujua. Android flagship nyingi (mfano Samsung, Xiaomi, Pixel, Huawei, Oppo, Vivo nk) ni bora kuliko iPhone.
Kwahiyo ungeitaja na tecno ungepungukiwa nini😮‍💨
 
Tatizo hivi vitu ni kama ushabiki wa mpira. Mpenzi wa Samsung ata uisifie vipi iPhone hakuelewi, na kinyume chake.

Ila ukweli kila mtu anaujua. Android flagship nyingi (mfano Samsung, Xiaomi, Pixel, Huawei, Oppo, Vivo nk) ni bora kuliko iPhone.
Kabisa yani. Simu za Android zipo mbali sana kuliko Apple
Ila Huawei wameacha kutumia Android na processor zao za Kirin bado sio strong kama Apple A series. Kwa Google Pixel pia Google Tensor zipo behind competition

Ila hao wengine uliowataja simu zao zimetimia kila kona 🔥🔥
 
😃😃😃Niogope nini...

Bora hata hiyo Shem shem imenipa chill kuwa everything is fine 😃😃😃

Ile dr Ex nilstuka nikahisi penzi limevuja tena😃😃😃
We kijana kumbe hujui dear ex ni nini 😂

Sasa ngoja nikufungulie code, huwezi kuufanya muwa kuwa fimbo ya kutembelea jangwani 😂😂

Khalas 😂
 
Back
Top Bottom