Xiaomi bwana! Wameiruka Xiaomi 16 wametoa Xiaomi 17, 17 Pro na 17 Pro Max!

Xiaomi bwana! Wameiruka Xiaomi 16 wametoa Xiaomi 17, 17 Pro na 17 Pro Max!

Zamani simu zilikua na identity kila kampuni linakuja na swaga zake. Sahivi unaweza kuta mtu kashika iTel ukajua iPhone. View attachment 3479537

Siku hizi kwenye design ata hawaumizi vichwa. View attachment 3479540
Kabisa mkuu, simu zinafanana mno.

Kampuni ni eidha zinaiga toleo lililopita au kwa kampuni pinzani.

Macho matatu ni kila simu, muonekano wa iphone ndio usiseme, hao iphone wenyewe wanaongeza vitu vichache tu jina linawabeba.
 
Naona balaa jingine la mchina, Xiaomi huwa anatoa vyuma pande zote...

Last week nilikuwa Xiaomi store moja Shanghai, jamaa wana products kibao nikachukua zangu suitecase, powerbank na vigadgets vingine...

Hiyo simu ingekuwepo nayo ningesepa nayo...

20250927_132132.jpg


20250927_132232.jpg
 
Sipendi simu size kubwa na nzito,na zenye Camera kubwa kama jipu.ndio maana mie nina uwezo wa kununua Samsung S25 but siwezi kwa kuwa naona ni kubwa mfukoni na nzito..
But ki simu kama Samsung A series ndio nazipenda vipo ndogo ki size na nyepesi kubebeka.
Samsung Galaxy S25 (plain) ni ndogo
Kubwa ni S25 Ultra
 
Sipendi simu size kubwa na nzito,na zenye Camera kubwa kama jipu.ndio maana mie nina uwezo wa kununua Samsung S25 but siwezi kwa kuwa naona ni kubwa mfukoni na nzito..
But ki simu kama Samsung A series ndio nazipenda vipo ndogo ki size na nyepesi kubebeka.
Galaxy S25 siyo kubwa
Display ni 6.2" na uzito ni 162g
 
Binafsi haya makamera yao makubwa makubwa siyakubali, kama lile macho matatu.

Sasa na tecno wana macho matatu yao aloo ni hatari na nusu.
Kabisa, simplicity is beautiful. Hii trend ya kuweka makamera na mpangilio wake haivitutii sana.

Ubunifu umepungua sana siku hizi, design nyingi zinafanana mfano hii Xiaomi 17 inafanana na Iphone 17 Pro,
 
Mkuu sikuwahi kutumia Xiaomi before ila sasa natumia note 10 pro, ndio mwanamke niliyefunga nae ndoa sasa

Kuna kampuni huwa ni underated lakini ukijia kwenye uwezo na features zake wako vizuri...

Nitaangalia hiyo note 17 features
 
Back
Top Bottom