Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Labda kibiashara imewakalia vyema wakiweka kwa namna hiyoKabisa, simplicity is beautiful. Hii trend ya kuweka makamera na mpangilio wake haivitutii sana.
Ubunifu umepungua sana siku hizi, design nyingi zinafanana mfano hii Xiaomi 17 inafanana na Iphone 17 Pro,
Hana hela huyo ila hajasema tu 😂😂Samsung Galaxy S25 (plain) ni ndogo
Kubwa ni S25 Ultra
Hii sio Redmi Note 17Mkuu sikuwahi kutumia Xiaomi before ila sasa natumia note 10 pro, ndio mwanamke niliyefunga nae ndoa sasa
Kuna kampuni huwa ni underated lakini ukijia kwenye uwezo na features zake wako vizuri...
Nitaangalia hiyo note 17 features
Leo ndio naelewa kuwa redmi na Xiaomi utofauti wao .... AsanteHii sio Redmi Note 17
Ni "Xiaomi 17" na "Xiaomi 17 Pro". Series ya Note ni nyingine kabisa, na huwa ni midrange, na zinatengenezwa na subbrand ya Xiaomi iitwayo "Redmi"
Kwa Redmi zimefika mpaka "Redmi Note 15 Pro" bado hawajafika kwenye Note 17
Hapa huwa wanatuchanganya sana xiaomi vs xiaomi redmi!!!.... Na sijui kwanini kkoo nyingi ni xiaomi redmi nimejaribu kutafuta xiaomi 13 pro ulizia kote hamnaHii sio Redmi Note 17
Ni "Xiaomi 17" na "Xiaomi 17 Pro". Series ya Note ni nyingine kabisa, na huwa ni midrange, na zinatengenezwa na subbrand ya Xiaomi iitwayo "Redmi"
Kwa Redmi zimefika mpaka "Redmi Note 15 Pro" bado hawajafika kwenye Note 17
Sijui nimekosea kuanza na uzi wa wakorea maana mafile yashakuwa mixed hapa 🤣🤣
Sijui nimekosea kuanza na uzi wa wakorea maana mafile yashakuwa mixed hapa 🤣🤣
Kwahiyo ungeitaja na tecno ungepungukiwa nini😮💨Tatizo hivi vitu ni kama ushabiki wa mpira. Mpenzi wa Samsung ata uisifie vipi iPhone hakuelewi, na kinyume chake.
Ila ukweli kila mtu anaujua. Android flagship nyingi (mfano Samsung, Xiaomi, Pixel, Huawei, Oppo, Vivo nk) ni bora kuliko iPhone.
Kabisa yani. Simu za Android zipo mbali sana kuliko AppleTatizo hivi vitu ni kama ushabiki wa mpira. Mpenzi wa Samsung ata uisifie vipi iPhone hakuelewi, na kinyume chake.
Ila ukweli kila mtu anaujua. Android flagship nyingi (mfano Samsung, Xiaomi, Pixel, Huawei, Oppo, Vivo nk) ni bora kuliko iPhone.
😃😃😃Niogope nini...Acha uoga shem 😆
😃😃😃Niogope nini...
Bora hata hiyo Shem shem imenipa chill kuwa everything is fine 😃😃😃
Ile dr Ex nilstuka nikahisi penzi limevuja tena😃😃😃
babe taratibu utakuja kunipa presha bure 😅😂Mie na Intelligent businessman ni maex
Hayo mengine ni chai 😆
Ukiwa na ex ukishaweka dear tu basi... Nilichowaza sijui 😂
We kijana kumbe hujui dear ex ni nini 😂😃😃😃Niogope nini...
Bora hata hiyo Shem shem imenipa chill kuwa everything is fine 😃😃😃
Ile dr Ex nilstuka nikahisi penzi limevuja tena😃😃😃
Umeanza 😂😂Ukiwa na ex ukishaweka dear tu basi... Nilichowaza sijui 😂
Khalas 😂
Wapasha viporo sio😃😃😃siwaelewi kabisaMie na Intelligent businessman ni maex
Hayo mengine ni chai 😆