Both team to scoreπ€£babe taratibu utakuja kunipa presha bure π π
Razor atamfunga Negan lin, Razorblade, adriz The Consigliere
View attachment 3481208
Me sielewi kaka zangu ni efootball tuuπ€£We kijana kumbe hujui dear ex ni nini π
Sasa ngoja nikufungulie code, huwezi kuufanya muwa kuwa fimbo ya kutembelea jangwani ππ
Khalas π
Mbona ni kama fast food flan hivi sasaKiporo hakihitaji moto mwingi hata π
Mbona ni kama fast food flan hivi sasa
Usharudi tukuagize huo mzigoo
Mmeniiispire sanaπππWallah nimecheka!!
Tatizo VPN ππUmeanza ππ
Nishakwambia muwa siyo fimbo πππ
Food preservation mkuu ila sijui walitumia method gani πMe sielewi kaka zangu ni efootball tuuπ€£
Shenziπ π
dah π πFood preservation mkuu ila sijui walitumia method gani π
Khalas π
Tatizo VPN ππ
Tunafanana aise,, lisimu likubwa kama compass siwezani nayo.. Nilikuwa na redmi note 12s mtu akachukua kwa sasa sijui nihamie wapiSipendi simu size kubwa na nzito,na zenye Camera kubwa kama jipu.ndio maana mie nina uwezo wa kununua Samsung S25 but siwezi kwa kuwa naona ni kubwa mfukoni na nzito..
But ki simu kama Samsung A series ndio nazipenda vipo ndogo ki size na nyepesi kubebeka.
Huo ndo ukweli ππVPN unaisingizia tu π€£
Khalas πdah π π