Ya Adani na Wachina: Hii ndiyo sababu kuu inayofanya Wanasiasa wetu wawachukie Wazungu

Hakuna paliposemwa Wazungu hawatoi Rushwa, wanatoa ila kutokana na nchi zao kuwa na mifumo imara ya checks and balance wanaogopa sana kutoa Rushwa na ndo mana Viongozi wa Kitanzania na Afrika kwa ujumla hawawapendi
Hii ndio maana halisi ya ujinga
 
Uzi hauongelei ufanisi wa Bandari.. Uzi unaongelea Rushwa kwa Viongozi wetu.

Hakuna asiyejua kuwa saivi Bandarini kuna ufanisi sana na kwa hilo hata mimi naliunga mkono.


Shida ni Rushwa na Ufisadi.
Unafkiri hawajui basi, ni vile wameamua kujitoa ufahamu.
 
Hakuna paliposemwa Wazungu hawatoi Rushwa, wanatoa ila kutokana na nchi zao kuwa na mifumo imara ya checks and balance wanaogopa sana kutoa Rushwa na ndo mana Viongozi wa Kitanzania na Afrika kwa ujumla hawawapendi
Angalia upigaji unaofanywa Marekani kwa mwaka

U.S. is the most corrupt nation in the world, but parades itself as a democracy, open society, blah blah


Zibadili hizo $233 billion katika TZS
 
Wakipiga vizuri hizo hesabu kwa. Tanzania tu inaweza kuwa zaidi ya hicho kiwango
Wewe tokea ulivyoshadadia na kuunga mkono dp world kupewa bandari na ukijua kabisa kulikua hakuna uwazi Katika mkataba huo basi huna budi kukaa kimya wahindi na wachina nao wakipewa chochote. Labda uje na ushahidi kuonyesha utawala bora wa waarabu kama wazungu. Na kama ni kulalamikiwa dp world inaogoza kulalamikiwa kote ilikowekeza hasa nchi za Africa kuliko adani. Au kwa kua upo Qatar basi unaona hao ndugu zao Dubai ni wa maana sana
 
Kwa hiyo mama abdul amelambishwa asali ya kihindi ?
 
Hapo unaposifia wazungu kwamba hawahongi ndio unakosea kabisa.
 
Hapo unaposifia wazungu kwamba hawahongi ndio unakosea kabisa.
Wapi imesemwa wazungu hawahongi wakati kwenye uzi umetolewa kabisa mfano wa namna tulivyorudishiwa chenji yetu ya Rada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…