KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,159
- 5,070
Tumekuelewa. Tutafuatilia.Wazungu hatuwataki. Kwanza wabishi na wengi wana mkono mfupi. Wachina huwa wanatoa bakshishi na wahindi halafu hawatupangii siasa zetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumekuelewa. Tutafuatilia.Wazungu hatuwataki. Kwanza wabishi na wengi wana mkono mfupi. Wachina huwa wanatoa bakshishi na wahindi halafu hawatupangii siasa zetu.
Hii ndio maana halisi ya ujingaHakuna paliposemwa Wazungu hawatoi Rushwa, wanatoa ila kutokana na nchi zao kuwa na mifumo imara ya checks and balance wanaogopa sana kutoa Rushwa na ndo mana Viongozi wa Kitanzania na Afrika kwa ujumla hawawapendi
Unafkiri hawajui basi, ni vile wameamua kujitoa ufahamu.Uzi hauongelei ufanisi wa Bandari.. Uzi unaongelea Rushwa kwa Viongozi wetu.
Hakuna asiyejua kuwa saivi Bandarini kuna ufanisi sana na kwa hilo hata mimi naliunga mkono.
Shida ni Rushwa na Ufisadi.
Angalia upigaji unaofanywa Marekani kwa mwakaHakuna paliposemwa Wazungu hawatoi Rushwa, wanatoa ila kutokana na nchi zao kuwa na mifumo imara ya checks and balance wanaogopa sana kutoa Rushwa na ndo mana Viongozi wa Kitanzania na Afrika kwa ujumla hawawapendi
Huu uzi umejaa chuki tupu.Kwa hiyo wazungu hawatoi rushwa na hawali rushwa?
Kwa hiyo nani anaipenda Afrika?Bora niwe mpumbavu nisiye na akili kuliko kuwa mwelevu na mwenye akili na kuamini kwamba China inaipenda afrika na itaisaidi kupata maendeleo kupitia uwekezaji.
Wewe kwa hio hutaki nini mbona hueleweki?Mwarabu wa ulaya. Mturuki
Hilo swali jiulize mwenyeweKwa hiyo nani anaipenda Afrika?
Wakipiga vizuri hizo hesabu kwa. Tanzania tu inaweza kuwa zaidi ya hicho kiwangoAngalia upigaji unaofanywa Marekani kwa mwaka
U.S. is the most corrupt nation in the world, but parades itself as a democracy, open society, blah blah
View attachment 3159514
Zibadili hizo $233 billion katika TZS
Wewe tokea ulivyoshadadia na kuunga mkono dp world kupewa bandari na ukijua kabisa kulikua hakuna uwazi Katika mkataba huo basi huna budi kukaa kimya wahindi na wachina nao wakipewa chochote. Labda uje na ushahidi kuonyesha utawala bora wa waarabu kama wazungu. Na kama ni kulalamikiwa dp world inaogoza kulalamikiwa kote ilikowekeza hasa nchi za Africa kuliko adani. Au kwa kua upo Qatar basi unaona hao ndugu zao Dubai ni wa maana sanaWakipiga vizuri hizo hesabu kwa. Tanzania tu inaweza kuwa zaidi ya hicho kiwango
Kwa hiyo mama abdul amelambishwa asali ya kihindi ?Pamoja na yote Mzungu ni mtu aliyenyooka sana!
Mzungu kawekeza sana kwenye suala la utawala bora ambapo kupitia utawala bora amejenga Taasisi na mifumo imara sana zinazosimamia mambo na kuhakikisha yanaenda bila shida.
Kunyooka huku kwa Mzungu ndiko kumefanya sasa aanze kupoteza sana Africa. Hii ni kwa sababu Viongozi wa Afrika wanapenda sana Rushwa. Kupenda Rushwa kwa Viongozi wa Afrika ndiko kumefanya kwa sasa bara la Africa kuongoza kwa uwekezaji wa Wachina na Wahindi.
Mchina na Mhindi ni watu wanaoamini kuwa ili jambo lake liende lazima atoe Rushwa. Endapo siku ikitokea ukafanyika uchunguzi huru wa namna kandarasi za Wachina na Wahindi zinavyopatikana hapa Tanzania na Afrika nawaambia wananchi wetu wanaweza choma nyumba zote za Viongozi wetu sio tu Tanzania bali Afrika nzima.
Waendesha Mashtaka wa Marekani kufungua Mashtaka dhidi ya tajiri wa kihindi Adani ni funzo kubwa kwetu kuwekeza kwenye katiba bora inayojenga na inayosimamia mifumo imara. Mifumo isiyotoa nafasi kwa rushwa na kuhakikisha fedha zote za walipakodi zinatumika kwa maendeleo ya wananchi tu na sio kuwanufaisha wachache.
Hapa Tanzania Adani kapewa sehemu ya Bandari yetu. Huwezi sikia hata siku moja PCCB wakifanya uchunguzi. Na kamwe hatutosikia. Hii ni kwa sababu Adani ameingia Tanzania kupitia Ofisi namba moja.
Sio mara ya kwanza kwa mzungu kuonyesha umuhimu wa Mifumo na Taasisi imara kwenye utawala bora. Tanzania tulishawahi rudishiwa chenji yetu ya Rada baada ya Wazungu kugundua kuwa kampuni zao zilitupiga na wakazibana zikarudisha kweli.
Kuna kipindi Bandarini Wazungu waligundua kuna kampuni zao zilitoa Rushwa kupata tenda za kufunga mifumo ya tehama kwenye Bandari yetu. Ila pamoja na Ile kampuni kubanwa nchini mwao hapa kwetu hatujasikia hadi leo wahusika wakifikishwa Mahakamani.
Kusema kweli ili tuendelee tunawahitaji sana Wazungu kuliko hawa wachina na wahindi wanaojenga miradi ya hovyo iliyo chini ya kiwango tena kwa pesa nyingi ambazo zinaenda kutumika kama Rushwa kuwanufaisha wachache.
Najua huu uzi hautapata wachangiaji wengi kwa sababu Watanzania wengi ni mazuzu. Hawaelewi unyeti wa kodi zao na wanawaona wanasiasa kama miungu ambao wanaweza fanya chochote na hela zao bila kuhojiwa au kufanywa chochote.
View attachment 3158628
Ipo siku
Lord denning
Qatar
We unaonaje?Kwa hiyo mama abdul amelambishwa asali ya kihindi ?
Hiyo USD 233 billion ukiibadilisha kwenye pesa ya Tanzania unajua unapata kiasi gani au unaongea tuWakipiga vizuri hizo hesabu kwa. Tanzania tu inaweza kuwa zaidi ya hicho kiwango
Hapo unaposifia wazungu kwamba hawahongi ndio unakosea kabisa.Pamoja na yote Mzungu ni mtu aliyenyooka sana!
Mzungu kawekeza sana kwenye suala la utawala bora ambapo kupitia utawala bora amejenga Taasisi na mifumo imara sana zinazosimamia mambo na kuhakikisha yanaenda bila shida.
Kunyooka huku kwa Mzungu ndiko kumefanya sasa aanze kupoteza sana Africa. Hii ni kwa sababu Viongozi wa Afrika wanapenda sana Rushwa. Kupenda Rushwa kwa Viongozi wa Afrika ndiko kumefanya kwa sasa bara la Africa kuongoza kwa uwekezaji wa Wachina na Wahindi.
Mchina na Mhindi ni watu wanaoamini kuwa ili jambo lake liende lazima atoe Rushwa. Endapo siku ikitokea ukafanyika uchunguzi huru wa namna kandarasi za Wachina na Wahindi zinavyopatikana hapa Tanzania na Afrika nawaambia wananchi wetu wanaweza choma nyumba zote za Viongozi wetu sio tu Tanzania bali Afrika nzima.
Waendesha Mashtaka wa Marekani kufungua Mashtaka dhidi ya tajiri wa kihindi Adani ni funzo kubwa kwetu kuwekeza kwenye katiba bora inayojenga na inayosimamia mifumo imara. Mifumo isiyotoa nafasi kwa rushwa na kuhakikisha fedha zote za walipakodi zinatumika kwa maendeleo ya wananchi tu na sio kuwanufaisha wachache.
Hapa Tanzania Adani kapewa sehemu ya Bandari yetu. Huwezi sikia hata siku moja PCCB wakifanya uchunguzi. Na kamwe hatutosikia. Hii ni kwa sababu Adani ameingia Tanzania kupitia Ofisi namba moja.
Sio mara ya kwanza kwa mzungu kuonyesha umuhimu wa Mifumo na Taasisi imara kwenye utawala bora. Tanzania tulishawahi rudishiwa chenji yetu ya Rada baada ya Wazungu kugundua kuwa kampuni zao zilitupiga na wakazibana zikarudisha kweli.
Kuna kipindi Bandarini Wazungu waligundua kuna kampuni zao zilitoa Rushwa kupata tenda za kufunga mifumo ya tehama kwenye Bandari yetu. Ila pamoja na Ile kampuni kubanwa nchini mwao hapa kwetu hatujasikia hadi leo wahusika wakifikishwa Mahakamani.
Kusema kweli ili tuendelee tunawahitaji sana Wazungu kuliko hawa wachina na wahindi wanaojenga miradi ya hovyo iliyo chini ya kiwango tena kwa pesa nyingi ambazo zinaenda kutumika kama Rushwa kuwanufaisha wachache.
Najua huu uzi hautapata wachangiaji wengi kwa sababu Watanzania wengi ni mazuzu. Hawaelewi unyeti wa kodi zao na wanawaona wanasiasa kama miungu ambao wanaweza fanya chochote na hela zao bila kuhojiwa au kufanywa chochote.
View attachment 3158628
Ipo siku
Lord denning
Qatar
Wapi imesemwa wazungu hawahongi wakati kwenye uzi umetolewa kabisa mfano wa namna tulivyorudishiwa chenji yetu ya Rada?Hapo unaposifia wazungu kwamba hawahongi ndio unakosea kabisa.
Namuonaga kama hajielewi elewi au hauelewi ukubwa wa madaraka yake.We unaonaje?
Anaweza asiwe yeye ila dili linaweza wahusisha watu wa familia yake au wasaidizi wake!
Sina WAKILI kaka, for my safety I won't answer your questionYap Makenzi ni Mchina au Muhindi?
Ngoja nikojoe nakuja kushughulikia hilo sualaSina WAKILI kaka, for my safety I won't answer your question