M Makwizi Band JF-Expert Member Joined Aug 19, 2024 Posts 1,535 Reaction score 2,565 Nov 24, 2024 #141 zerominus10 said: Ngoja nikojoe nakuja kushughulikia hilo suala Click to expand... La uwakili au owner of that company?
zerominus10 said: Ngoja nikojoe nakuja kushughulikia hilo suala Click to expand... La uwakili au owner of that company?
zerominus10 JF-Expert Member Joined Aug 25, 2022 Posts 8,142 Reaction score 13,721 Nov 24, 2024 #142 Makwizi Band said: La uwakili au owner of that company? Click to expand... Vyote viwili
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 32,639 Reaction score 42,908 Nov 24, 2024 #143 Lord denning said: Najua huu uzi hautapata wachangiaji wengi kwa sababu Watanzania wengi ni mazuzu. Hawaelewi unyeti wa kodi zao na wanawaona wanasiasa kama miungu ambao wanaweza fanya chochote na hela zao bila kuhojiwa au kufanywa chochote. Click to expand... Ccm imewafunga ufahamu
Lord denning said: Najua huu uzi hautapata wachangiaji wengi kwa sababu Watanzania wengi ni mazuzu. Hawaelewi unyeti wa kodi zao na wanawaona wanasiasa kama miungu ambao wanaweza fanya chochote na hela zao bila kuhojiwa au kufanywa chochote. Click to expand... Ccm imewafunga ufahamu
N Nanye Go JF-Expert Member Joined Oct 29, 2018 Posts 10,856 Reaction score 14,607 Nov 24, 2024 #144 CCM hamuwafahamu nyie, Watakwambieni bado wanafanya UCHUNGUZI, na hwataleta majibu kamwe, na mtakubali na maisha yatasong mbele. Wanafahamu wadanganyika mnavyoogopa maji ya kuwasha.
CCM hamuwafahamu nyie, Watakwambieni bado wanafanya UCHUNGUZI, na hwataleta majibu kamwe, na mtakubali na maisha yatasong mbele. Wanafahamu wadanganyika mnavyoogopa maji ya kuwasha.