Ya Adani na Wachina: Hii ndiyo sababu kuu inayofanya Wanasiasa wetu wawachukie Wazungu

Ya Adani na Wachina: Hii ndiyo sababu kuu inayofanya Wanasiasa wetu wawachukie Wazungu

Najua huu uzi hautapata wachangiaji wengi kwa sababu Watanzania wengi ni mazuzu. Hawaelewi unyeti wa kodi zao na wanawaona wanasiasa kama miungu ambao wanaweza fanya chochote na hela zao bila kuhojiwa au kufanywa chochote.
Ccm imewafunga ufahamu
 
CCM hamuwafahamu nyie, Watakwambieni bado wanafanya UCHUNGUZI, na hwataleta majibu kamwe, na mtakubali na maisha yatasong mbele.

Wanafahamu wadanganyika mnavyoogopa maji ya kuwasha.
 
Back
Top Bottom