Ya Francis Nanai na ukachero bobevu wa maslahi ya chama uliopo na utakaoendelea kuwepo ndani ya CCM

Ina maanisha TAZAMA na magazeti mengine ya aina hiyo hawategemei mauzo ya moja kwa moja kwenda kwa mtanzania wa kawaida!!!
 
Akina Francis wapo wengi tu, kuna mdau hapa JF alienda mbele zaidi na kuhoji kuhusu hukumu ya Zitto! Wenye akili wanajua kinachoendelea.
 
Ina maanisha TAZAMA na magazeti mengine ya aina hiyo hawategemei mauzo ya moja kwa moja kwenda kwa mtanzania wa kawaida!!!
Hayo ni yakufungia maandazi, hata pale Lumumba hawauanunui.
 
Nimejisikia uchungu sana ulipotaja hivyo vepeperushi hapo juu! Halafu hao Mtanzania ndo nilishawasahau kabisa! Hivi Majira na lenyewe bado lipo, au?!
 
Nimejisikia uchungu sana ulipotaja hivyo vepeperushi hapo juu! Halafu hao Mtanzania ndo nilishawasahau kabisa! Hivi Majira na lenyewe bado lipo, au?!
Majira lipo, lakini Business Times (wamiliki wa awali) waliuza kwa kampuni nyingine!
 
CCM hakina agenda tena kitu pekee walichobakiza ni bunduki za polisi.
 
Watu wengi kabisa.... tena wengi tu.... walio CCM na wanaosifia CCM na wanajiita makada wa CCM na wanaogombea nafasi mbalimbali kupitia CCM na wanaoifadhili CCM wanafanya hivyo kwa sababu ya maslahi binafsi. Kumbuka hilo na pigia mstari, ikiwezekana kwa wino mzito. Hawaamini itikikadi ya CCM, wala hawaipendi CCM kama wanavyosema wala hawafanyi wanayofanya kwa ajili ya CCM na wala hawajatumwa na CCM!
 
Wana CCM ni kama vile akili zao zimerogwa
Kila mtu ni kachero...upuuzi sana ..
Mfano Leo Nyalandu au Lisu wahamie CCM utasikia walienda kufanya kaz maalum wamemaliza sasa wamerudi.
Tenganishe huo upumbafu wa kila mtu kuwa ni Afisa usalama ..
 
Hv kumpiga risasi hadharani Lisu ni ukachero?kumweka Lema miezi minne sero kisa kaota ndoto ni ukachero???Kumvunja mbowe mguu ni ukachero??roma,ben saanane,azory gwanda ni ukachero??kamdanganye mama yako mkuu!!!TULITARAJIA SIASA ZA KISAYANSI ZAIDI KUTOKA KWA CHAMA KINACHOJIITA KIKONGWE NA SIO UJINGA KAMA HUU TULIOSHUHUDIA AWAMU HII!!!
 
State apparatus is saving on their favour.
 
Hao ccm mnawapa sifa wasizostahili.Hiki chama kinabebwa kwa kiasi kikubwa na ujinga wa watanzania unaochagizwa na umasikini wa watanzania and nothing ease
 

Mkuu watu wakuangalia na kelele zako, mfumo unaanza tangu "O" Level, ukifanikiwa kupata Div. "I", kuanzia hapo unapigwa jicho la mbali, na ukapata Div "I" au "II" unapofika 'A' level, si ajabu ukifika chuo wewe tayari umekuwa wao tuu, hapa CCM na Dola ni wamoja au itokee unakipaji cha uongozi hawakuachi. Katika hili wapo wachache walio fanikiwa kucholopoka, lakini ni wachache sana.

Hata ikatokea wamefahamu wewe ni Big brain na upo kwenye chama cha upinzani utachukuliwa tuu, hata kwa fitna. Na wasipo fanikiwa basi lazima upambane na mizengwe udhoofishwe.

Uongozi wa vyama vya Upinzani ni vigumu sana kupata akili kubwa na wakadumu nayo. Hio ndio hali halisi, wataweza kupata watu wazuri lakini uzuri wao ukianza kuchipuka basi wataondoka na upinzani ukibaki nao hao wasomi, basi ujue wasomi hao hawana madhara.

Tafuta mtu yeyote aliyepata First Class University ambaye hajasumbuliwa na lazima watamchukua tuu. Hii sera ya Serikali karibu zote duniani ama Africa au Ulaya au Marekani.

Wenzetu watu hao wanakua katika mfumo mkuu wa utumishi sisi wanatumika kote. Ndio maana Chadema wanaposema ni Chama cha wasomi, wabobezi hucheka sanaa, sababu wanakuwa na wasomi makapi lakini prime talents zote wanachukua.
Na hivyo ndio nchi inavyoendeshwa.

Jee wajua Makatibu wakuu au Wajumbe, viongozi wote wasomi wa vyama vya upinzani kuna siku wanarudi CCM.

ELIMIKA HIYO NDIO DUNIA INAVYO ENDESHWA; NATAWALA HALAFU SILAHA ZA MAAGAMIZI NIKUACHIE WEWE MPINZANI ILI IWE NINI?
 
Hakuna cha kuelimika hapo... ni porojo tupu tu hizo za kutaka kuonesha Lumumba ni great mind wakati hamna kitu! Nasema ni porojo kwa sababu maelezo yako ni ya jumla jumla tu yakitawaliwa zaidi na hisia huku ukishindwa kutaja sababu hata moja ya ku-defend hoja yako!!

Mleta mada amejaribu kuonesha ni kwanini anaamini hivyo, huku hoja yake ikijikita kwenye kufanya vibaya kwa Mwananchi na kudai eti Nanai alipenyezwa pale kwenda kuiua Mwananchi!

Anatoa madai kama hayo wakati kila mwenye macho na masikio anaona na kusikia jinsi media karibu zote zinavyopumilia mashine tangu JPM aingie madarakani!! Hakuna cha Mwananchi, Mtanzania wala Majira... na hata tv stations na zenyewe zipo hoi!

Na kama nilivyosema hapo awali, watu wengi kutoka media zetu ni CCM kwa sababu ni wafuata maslahi! Na kwa upande mwingine, CCM ni Maharamia... wakitaka kukubomoa wanakubomoa tu na wala hawana haja ya kukufanyia eti espionage!!
 

Bila shaka hii ni nchi ya wanausalama wa taifa/makachero. Manake miaka ya karibuni nimekuwa nikishtuliwa kila mara kuhusu watu kadhaa ninaowafahamu kuwa maafisa usalama wa taifa. Sio ndugu, marafiki, mashemeji, washirika kazini, n.k. Hata mke wangu nina wasiwasi huenda akawa mmoja wao!

Yaani tumekuwa kama North Korea. Hata watoto wako huna budi kuwa na tahadhari nao!
 
Neno.
 
Labda kwa Kukusaidia tu Ndugu hakuna sehemu yoyote au mahala popote unapopajua hakuna Makachero. Sera yao Kuu ni ulipo nasi tupo tele tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…