Ya Francis Nanai na ukachero bobevu wa maslahi ya chama uliopo na utakaoendelea kuwepo ndani ya CCM

Naunga mkono hoja! Hivi ni nani asiyejua kuwa utawala huu umeangamiza media zote zenye kufikiri sawa sawa, halafu ukabumba media za kijinga zenye kuwafukarisha wananchi-Tanzanite, Fahari Yetu, Jamvi la Habari; na mengine ya kufanaan na hayo? kwa mtu mwenye akili timamu anajua kuwa magazeti hayo ambayo hayawezi kuuza hata nakala 30 nchi nzima kuchapwa kila siku bila mkono wa serikali ni jambo lisilowezekana!

Mdororo wa magazeti hauanzii kwa Mwananchi, tena Mwananchi ni afadhali. Mtanzania gazeti linalomilikiwa na Bashe, kada wa CCM na waziri katika serikali ya Magufuli lina hali mbaya kuliko kawaida, ukiona liko mtaani wanakuwa wamechapa nakala zisizofika 3,000 na wanaenda mikoa isiyofika mitano. Nani amesababisha hiyo?

Salama ya Mtanzania labda Bashe afanikiwa kuwabembeleza washashi ili Mtanzania liwekwe kwenye group moja na magazeti hayo ya Tanzanite na mengine kama TAZAMA! Mleta post hashangai gazeti kama TAZAMA kila Jumanne lipo mitaani licha ya ukweli kwamba halina mauzo, na usishangae ukafika linakochapiwa ukakuta limelipiwa matoleo ya mbele hata manne matano....

Print media imekuwa katika hali mbaya kufuatiwa ujio wa digital, lakini hata hivyo, awamu ya Tano imekuja kulazimisha kifo cha magazeti yenye akili ya kulisaidia Taifa!
Ina maanisha TAZAMA na magazeti mengine ya aina hiyo hawategemei mauzo ya moja kwa moja kwenda kwa mtanzania wa kawaida!!!
 
Akina Francis wapo wengi tu, kuna mdau hapa JF alienda mbele zaidi na kuhoji kuhusu hukumu ya Zitto! Wenye akili wanajua kinachoendelea.
 
Ina maanisha TAZAMA na magazeti mengine ya aina hiyo hawategemei mauzo ya moja kwa moja kwenda kwa mtanzania wa kawaida!!!
Hayo ni yakufungia maandazi, hata pale Lumumba hawauanunui.
 
Naunga mkono hoja! Hivi ni nani asiyejua kuwa utawala huu umeangamiza media zote zenye kufikiri sawa sawa, halafu ukabumba media za kijinga zenye kuwafukarisha wananchi-Tanzanite, Fahari Yetu, Jamvi la Habari; na mengine ya kufanaan na hayo? kwa mtu mwenye akili timamu anajua kuwa magazeti hayo ambayo hayawezi kuuza hata nakala 30 nchi nzima kuchapwa kila siku bila mkono wa serikali ni jambo lisilowezekana!

Mdororo wa magazeti hauanzii kwa Mwananchi, tena Mwananchi ni afadhali. Mtanzania gazeti linalomilikiwa na Bashe, kada wa CCM na waziri katika serikali ya Magufuli lina hali mbaya kuliko kawaida, ukiona liko mtaani wanakuwa wamechapa nakala zisizofika 3,000 na wanaenda mikoa isiyofika mitano. Nani amesababisha hiyo?

Salama ya Mtanzania labda Bashe afanikiwa kuwabembeleza washashi ili Mtanzania liwekwe kwenye group moja na magazeti hayo ya Tanzanite na mengine kama TAZAMA! Mleta post hashangai gazeti kama TAZAMA kila Jumanne lipo mitaani licha ya ukweli kwamba halina mauzo, na usishangae ukafika linakochapiwa ukakuta limelipiwa matoleo ya mbele hata manne matano....

Print media imekuwa katika hali mbaya kufuatiwa ujio wa digital, lakini hata hivyo, awamu ya Tano imekuja kulazimisha kifo cha magazeti yenye akili ya kulisaidia Taifa!
Nimejisikia uchungu sana ulipotaja hivyo vepeperushi hapo juu! Halafu hao Mtanzania ndo nilishawasahau kabisa! Hivi Majira na lenyewe bado lipo, au?!
 
Majira lipo, lakini Business Times (wamiliki wa awali) waliuza kwa kampuni nyingine!
 
Wengi kama si wote bado hawaelewi ni kwa sababu gani hasa vyama vikongwe kama CCM vinaendelea kubaki madarakani. Jibu ni moja, uimara na ubora wao katika nyanja ya mikakati imara na ubobevu wao katika suala la ukachero chanya uhusuo maisha ya CCM yao. Huo ndiyo msingi wa ukongwe wao na ni kweli kwalo CCM ni JABALI!

Francis Nanai kwa mfano, ni mmoja wa wana-mikakati na kachero aliyepelekwa kwa makusudi kabisa kwenda pale Mwananchi kwa maslahi ya nchi na CCM na wengi wetu hatukulitambua hilo. Leo, mwana mkakati huyo amefanikiwa kwa kiwango chake kuyatimiza malengo yaliyo mpeleka pale Mwananchi Communication. Na hivi punde, kwa kazi bora aliyoifanya anaenda kupewa zawadi ya Ubunge na baadae ndiye atakuwa Waziri mdogo wa Habari. 'Muda utaongea.'

Funzo kwa Vyama vingine; ni lazima kwanza mkuze/mkue uwezo wenu wa intelijensia. Pia, mtambue ni ngumu kwenu kukua kwenye nchi zenye magwiji wengi wa fitina pasi na ninyi kuwa sehemu ya.

CCM tupende au tusipende bado ipo ipo sana katika nchi hii. Na hii ni kwa sababu imewekeza pakubwa mno katika kupata taarifa za kiintelijensia kutoka pande zote. Na hata hao tunaowaita wenye vyama vyao vya Upinzani usikute pia wao ni sehemu ya wana mikakati ya CCM.

CCM ni hatari!
CCM hakina agenda tena kitu pekee walichobakiza ni bunduki za polisi.
 
Watu wengi kabisa.... tena wengi tu.... walio CCM na wanaosifia CCM na wanajiita makada wa CCM na wanaogombea nafasi mbalimbali kupitia CCM na wanaoifadhili CCM wanafanya hivyo kwa sababu ya maslahi binafsi. Kumbuka hilo na pigia mstari, ikiwezekana kwa wino mzito. Hawaamini itikikadi ya CCM, wala hawaipendi CCM kama wanavyosema wala hawafanyi wanayofanya kwa ajili ya CCM na wala hawajatumwa na CCM!
 
Wana CCM ni kama vile akili zao zimerogwa
Kila mtu ni kachero...upuuzi sana ..
Mfano Leo Nyalandu au Lisu wahamie CCM utasikia walienda kufanya kaz maalum wamemaliza sasa wamerudi.
Tenganishe huo upumbafu wa kila mtu kuwa ni Afisa usalama ..
 
Hv kumpiga risasi hadharani Lisu ni ukachero?kumweka Lema miezi minne sero kisa kaota ndoto ni ukachero???Kumvunja mbowe mguu ni ukachero??roma,ben saanane,azory gwanda ni ukachero??kamdanganye mama yako mkuu!!!TULITARAJIA SIASA ZA KISAYANSI ZAIDI KUTOKA KWA CHAMA KINACHOJIITA KIKONGWE NA SIO UJINGA KAMA HUU TULIOSHUHUDIA AWAMU HII!!!
 
Wengi kama si wote bado hawaelewi ni kwa sababu gani hasa vyama vikongwe kama CCM vinaendelea kubaki madarakani. Jibu ni moja, uimara na ubora wao katika nyanja ya mikakati imara na ubobevu wao katika suala la ukachero chanya uhusuo maisha ya CCM yao. Huo ndiyo msingi wa ukongwe wao na ni kweli kwalo CCM ni JABALI!

Francis Nanai kwa mfano, ni mmoja wa wana-mikakati na kachero aliyepelekwa kwa makusudi kabisa kwenda pale Mwananchi kwa maslahi ya nchi na CCM na wengi wetu hatukulitambua hilo. Leo, mwana mkakati huyo amefanikiwa kwa kiwango chake kuyatimiza malengo yaliyo mpeleka pale Mwananchi Communication. Na hivi punde, kwa kazi bora aliyoifanya anaenda kupewa zawadi ya Ubunge na baadae ndiye atakuwa Waziri mdogo wa Habari. 'Muda utaongea.'

Funzo kwa Vyama vingine; ni lazima kwanza mkuze/mkue uwezo wenu wa intelijensia. Pia, mtambue ni ngumu kwenu kukua kwenye nchi zenye magwiji wengi wa fitina pasi na ninyi kuwa sehemu ya.

CCM tupende au tusipende bado ipo ipo sana katika nchi hii. Na hii ni kwa sababu imewekeza pakubwa mno katika kupata taarifa za kiintelijensia kutoka pande zote. Na hata hao tunaowaita wenye vyama vyao vya Upinzani usikute pia wao ni sehemu ya wana mikakati ya CCM.

CCM ni hatari!
State apparatus is saving on their favour.
 
Hao ccm mnawapa sifa wasizostahili.Hiki chama kinabebwa kwa kiasi kikubwa na ujinga wa watanzania unaochagizwa na umasikini wa watanzania and nothing ease
 
Acha kudanganya watu wewe... wana habari wengi Tanzania ni CCM tangia hapo kwa sababu, kama walivyo kwenye kada zingine, wana habari wengi ni wahemea tumbo!!

Nanai ni mmoja tu wa Watanzania wengi... kuanzia kwenye media hadi kwenye majeshi yetu!! Na kama nilivyosema, kutetereka kwa Mwananchi is just media suppression iliyoanza mara Magu alipoingia madarakani! Na ukichanganya na ule upumbavu kwamba Mwananchi walikuwa wanamhujumu Magu, issue ndo inakuwa mbaya zaidi!!!

Hiyo espionage unayotaka kudanganya watu hapa, matunda yake yangetumika mwaka 2015 ambapo CCM ndo walikuwa na wakati mgumu kweli kweli lakini ndo kwanza, mkaishia kuwapiga ban waandishi wa Mwananchi kwamba wanawahujumu!!!

Mkuu watu wakuangalia na kelele zako, mfumo unaanza tangu "O" Level, ukifanikiwa kupata Div. "I", kuanzia hapo unapigwa jicho la mbali, na ukapata Div "I" au "II" unapofika 'A' level, si ajabu ukifika chuo wewe tayari umekuwa wao tuu, hapa CCM na Dola ni wamoja au itokee unakipaji cha uongozi hawakuachi. Katika hili wapo wachache walio fanikiwa kucholopoka, lakini ni wachache sana.

Hata ikatokea wamefahamu wewe ni Big brain na upo kwenye chama cha upinzani utachukuliwa tuu, hata kwa fitna. Na wasipo fanikiwa basi lazima upambane na mizengwe udhoofishwe.

Uongozi wa vyama vya Upinzani ni vigumu sana kupata akili kubwa na wakadumu nayo. Hio ndio hali halisi, wataweza kupata watu wazuri lakini uzuri wao ukianza kuchipuka basi wataondoka na upinzani ukibaki nao hao wasomi, basi ujue wasomi hao hawana madhara.

Tafuta mtu yeyote aliyepata First Class University ambaye hajasumbuliwa na lazima watamchukua tuu. Hii sera ya Serikali karibu zote duniani ama Africa au Ulaya au Marekani.

Wenzetu watu hao wanakua katika mfumo mkuu wa utumishi sisi wanatumika kote. Ndio maana Chadema wanaposema ni Chama cha wasomi, wabobezi hucheka sanaa, sababu wanakuwa na wasomi makapi lakini prime talents zote wanachukua.
Na hivyo ndio nchi inavyoendeshwa.

Jee wajua Makatibu wakuu au Wajumbe, viongozi wote wasomi wa vyama vya upinzani kuna siku wanarudi CCM.

ELIMIKA HIYO NDIO DUNIA INAVYO ENDESHWA; NATAWALA HALAFU SILAHA ZA MAAGAMIZI NIKUACHIE WEWE MPINZANI ILI IWE NINI?
 
Hakuna cha kuelimika hapo... ni porojo tupu tu hizo za kutaka kuonesha Lumumba ni great mind wakati hamna kitu! Nasema ni porojo kwa sababu maelezo yako ni ya jumla jumla tu yakitawaliwa zaidi na hisia huku ukishindwa kutaja sababu hata moja ya ku-defend hoja yako!!

Mleta mada amejaribu kuonesha ni kwanini anaamini hivyo, huku hoja yake ikijikita kwenye kufanya vibaya kwa Mwananchi na kudai eti Nanai alipenyezwa pale kwenda kuiua Mwananchi!

Anatoa madai kama hayo wakati kila mwenye macho na masikio anaona na kusikia jinsi media karibu zote zinavyopumilia mashine tangu JPM aingie madarakani!! Hakuna cha Mwananchi, Mtanzania wala Majira... na hata tv stations na zenyewe zipo hoi!

Na kama nilivyosema hapo awali, watu wengi kutoka media zetu ni CCM kwa sababu ni wafuata maslahi! Na kwa upande mwingine, CCM ni Maharamia... wakitaka kukubomoa wanakubomoa tu na wala hawana haja ya kukufanyia eti espionage!!
 
Wengi kama si wote bado hawaelewi ni kwa sababu gani hasa vyama vikongwe kama CCM vinaendelea kubaki madarakani. Jibu ni moja, uimara na ubora wao katika nyanja ya mikakati imara na ubobevu wao katika suala la ukachero chanya uhusuo maisha ya CCM yao. Huo ndiyo msingi wa ukongwe wao na ni kweli kwalo CCM ni JABALI!

Francis Nanai kwa mfano, ni mmoja wa wana-mikakati na kachero aliyepelekwa kwa makusudi kabisa kwenda pale Mwananchi kwa maslahi ya nchi na CCM na wengi wetu hatukulitambua hilo. Leo, mwana mkakati huyo amefanikiwa kwa kiwango chake kuyatimiza malengo yaliyo mpeleka pale Mwananchi Communication. Na hivi punde, kwa kazi bora aliyoifanya anaenda kupewa zawadi ya Ubunge na baadae ndiye atakuwa Waziri mdogo wa Habari. 'Muda utaongea.'

Funzo kwa Vyama vingine; ni lazima kwanza mkuze/mkue uwezo wenu wa intelijensia. Pia, mtambue ni ngumu kwenu kukua kwenye nchi zenye magwiji wengi wa fitina pasi na ninyi kuwa sehemu ya.

CCM tupende au tusipende bado ipo ipo sana katika nchi hii. Na hii ni kwa sababu imewekeza pakubwa mno katika kupata taarifa za kiintelijensia kutoka pande zote. Na hata hao tunaowaita wenye vyama vyao vya Upinzani usikute pia wao ni sehemu ya wana mikakati ya CCM.

CCM ni hatari!

Bila shaka hii ni nchi ya wanausalama wa taifa/makachero. Manake miaka ya karibuni nimekuwa nikishtuliwa kila mara kuhusu watu kadhaa ninaowafahamu kuwa maafisa usalama wa taifa. Sio ndugu, marafiki, mashemeji, washirika kazini, n.k. Hata mke wangu nina wasiwasi huenda akawa mmoja wao!

Yaani tumekuwa kama North Korea. Hata watoto wako huna budi kuwa na tahadhari nao!
 
Mkuu watu wakuangalia na kelele zako, mfumo unaanza tangu "O" Level, ukifanikiwa kupata Div. "I", kuanzia hapo unapigwa jicho la mbali, na ukapata Div "I" au "II" unapofika 'A' level, si ajabu ukifika chuo wewe tayari umekuwa wao tuu, hapa CCM na Dola ni wamoja au itokee unakipaji cha uongozi hawakuachi. Katika hili wapo wachache walio fanikiwa kucholopoka, lakini ni wachache sana.

Hata ikatokea wamefahamu wewe ni Big brain na upo kwenye chama cha upinzani utachukuliwa tuu, hata kwa fitna. Na wasipo fanikiwa basi lazima upambane na mizengwe udhoofishwe.

Uongozi wa vyama vya Upinzani ni vigumu sana kupata akili kubwa na wakadumu nayo. Hio ndio hali halisi, wataweza kupata watu wazuri lakini uzuri wao ukianza kuchipuka basi wataondoka na upinzani ukibaki nao hao wasomi, basi ujue wasomi hao hawana madhara.

Tafuta mtu yeyote aliyepata First Class University ambaye hajasumbuliwa na lazima watamchukua tuu. Hii sera ya Serikali karibu zote duniani ama Africa au Ulaya au Marekani.

Wenzetu watu hao wanakua katika mfumo mkuu wa utumishi sisi wanatumika kote. Ndio maana Chadema wanaposema ni Chama cha wasomi, wabobezi hucheka sanaa, sababu wanakuwa na wasomi makapi lakini prime talents zote wanachukua.
Na hivyo ndio nchi inavyoendeshwa.

Jee wajua Makatibu wakuu au Wajumbe, viongozi wote wasomi wa vyama vya upinzani kuna siku wanarudi CCM.

ELIMIKA HIYO NDIO DUNIA INAVYO ENDESHWA; NATAWALA HALAFU SILAHA ZA MAAGAMIZI NIKUACHIE WEWE MPINZANI ILI IWE NINI?
Neno.
 
Labda kwa Kukusaidia tu Ndugu hakuna sehemu yoyote au mahala popote unapopajua hakuna Makachero. Sera yao Kuu ni ulipo nasi tupo tele tu.
 
Back
Top Bottom