Ya Gekul hayajaisha, Wakili Madeleka kukata rufaa

CHADEMA mnatakiwa kujitafakari. Watanzania tumeanza kuzichoka siasa na fitina zenu.

Mnahangaika sana na maslahi ya wanawake na Kila aliyewakana!!

Chama Cha hovyo kabisa kuwahi kutokea duniani!! Au sijui ndo wachaga mlivyo!!?
 
ukitaka kujua madeleka kiazi, amekosea kuanzia notice ya kukata rufaa yenyewe. pia, hajui kama kesi zote za jinai DPP ana mamlaka juu yake, hata zile za private prosecutions. ni ajabu kwamba wakili mwenzetu hajui hiki kitu na anapenda kuwadanganya wananchi wa kawaida. yeye kama angetaka kuchallenge nolle, angefungua shauri la kikatiba, sio kukata rufaa kwasababu mashauri dhidi ya nolle yalishawahi katiwa rufaa na kutolewa maamuzi kitambo sana.
 
CHADEMA mnatakiwa kujitafakari. Watanzania tumeanza kuzichoka siasa na fitina zenu.

Mnahangaika sana na maslahi ya wanawake na Kila aliyewakana!!

Chama Cha hovyo kabisa kuwahi kutokea duniani!! Au sijui ndo wachaga mlivyo!!?
Madeleka siyo Chadema
 
Most probably, Advocate Madeleka is "mamluki."
 
Madeleka aache kupoteza muda kwenye maigizo!!

Aje kuongeza harakati uje muswada mpya Ili katika iboreshwe kupata Tume huru ya Uchaguzi.
 
Sijasoma sheria lakini ishu za kisheria zipo wazi maana ni vitendo vinavyofanywa kinyume na utu na ubinaadamu

Swali langu Kwa Dpp

Jama aliingizwa chupe sehemu za Siri za nyuma au hakuingizwa?

Na kama aliingizwa aliyemfanyia hicho kitendo analo kosa la kujibu au hana?

Je huyo naibu waziri mstafu ni yeye ndio aliyofanya hicho kitendo au alisingiziwa?

Kama sio yeye inamaana yupo mshitakiwa mwingine aliyefanya hilo tukio hivyo atafikishwa mahakamani?

Je ni kweli katika katiba ya Tanzania Kuna sehemu inamruhusu Dpp kumtetea mtu aliyevunja sheria?
 
Hata mimi nasubiri majibu
 
Tumuache madereka apoteze muda kwa kazi aliyosomea sio jambo baya .
 
  1. mliochonga mchongo- CHADEMA
  2. mliopeleleza -CHADEMA
  3. mlioshitaki- CHADEMA
  4. mliokwenda mahakamani- CHADEMA
  5. mnaoleta uzi JF-CHADEMA
 
CHADEMA hawajui sheria- wanachanganya sheria na uanaharakati na hivi vitu haviendi pamoja
 
Ukitaka kupata haki mahakamni uwe na mikono, na dhamira safi- kwa uchafu na fitina za CHADEMA hawawezi wala kustahili
 
Maamuzi ya DPP kufuta kesi yoyote hayahojiwi popote na hawajibiki kueleza popote sababu ya kufuta kwa yeyote.

Itafutwa tena kama itasajiliwa mahakama za bongo.
 
madeleka ni majereka na magereka sioni akifua dafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…