bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Dogo mjinga Bora angevuta Hela Akala Kona haki bongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndipo umuhimi wa Katiba kupitia upya..hata ktk mazingira ambayo uamuzi wa "nolle" unaelekea kudhulumu haki za watu?
..kwamba DPP anaruhusiwa kufanya anavyotaka ktk shauri lolote na hakuna wa kumhoji?
..sidhani kama waandishi wa sheria zetu walilenga kumpa Dpp mamlaka hata ya kuvunja haki kwa kutumia " nolle. "
Katiba ya Tanzania hairuhusu DPP kumtetea mtu. nionacho mimi, na ambacho inawezekana kuwa ni cha kweli, DPP ile issue ameona inapelelezwa bado, na madeleka amekurupuka kwenda bila ushahidi tangible, angeendelea na kesi mahakamani manake asingeweza kushinda (ila angepata tu faida ya popularity), na Mahakama ingemwona Gekul hana kosa manake hata DPP angemaliza upelelezi wake kupitia mapolisi Gekul asingeweza kushitakika tena kwasababu alishaachiwa na Mahakama kwenye kesi ya madeleka. kwa wanasheria wanajua kwamba ukishitakiwa kwa jinai ukatamkiwa kuwa huna hatia, hutakiwi tena kushtakiwa kwa kosa lilelile. sasa DPP asingeweza kukubali kuona madeleka anaharibu kesi kwa maslahi ya popularity yake. iliuwa ni busara kuifuta, na inaweza kufunguliwa tena baadaye upelelezi ukikusanywa vyema.Sijasoma sheria lakini ishu za kisheria zipo wazi maana ni vitendo vinavyofanywa kinyume na utu na ubinaadamu
Swali langu Kwa Dpp
Jama aliingizwa chupe sehemu za Siri za nyuma au hakuingizwa?
Na kama aliingizwa aliyemfanyia hicho kitendo analo kosa la kujibu au hana?
Je huyo naibu waziri mstafu ni yeye ndio aliyofanya hicho kitendo au alisingiziwa?
Kama sio yeye inamaana yupo mshitakiwa mwingine aliyefanya hilo tukio hivyo atafikishwa mahakamani?
Je ni kweli katika katiba ya Tanzania Kuna sehemu inamruhusu Dpp kumtetea mtu aliyevunja sheria?
Kwa kuwamahakama ya fisi imeshindwa rufanu³ itakatwa mahakama ya simbaAtakata rufaa Kenya?
Ficha uzuzu wakoAtakata rufaa Kenya?
Zuzu madeleka labda!Ficha uzuzu wako
Zuzu madeleka labda!
Katiba ya Tanzania hairuhusu DPP kumtetea mtu. nionacho mimi, na ambacho inawezekana kuwa ni cha kweli, DPP ile issue ameona inapelelezwa bado, na madeleka amekurupuka kwenda bila ushahidi tangible, angeendelea na kesi mahakamani manake asingeweza kushinda (ila angepata tu faida ya popularity), na Mahakama ingemwona Gekul hana kosa manake hata DPP angemaliza upelelezi wake kupitia mapolisi Gekul asingeweza kushitakika tena kwasababu alishaachiwa na Mahakama kwenye kesi ya madeleka. kwa wanasheria wanajua kwamba ukishitakiwa kwa jinai ukatamkiwa kuwa huna hatia, hutakiwi tena kushtakiwa kwa kosa lilelile. sasa DPP asingeweza kukubali kuona madeleka anaharibu kesi kwa maslahi ya popularity yake. iliuwa ni busara kuifuta, na inaweza kufunguliwa tena baadaye upelelezi ukikusanywa vyema.
kwa akili ya kawaida, ni shahidi gani madeleka angeweza kumleta zaidi ya yule mmoja tu, yule dogo. hakuna. kwenye ushahidi mwingine, kama ule ambao mapolisi watakuwa waliandika maelezo ya mashahidi, madeleka hana access na jalada la polisi. madeleka hawezi kwenda polisi na kuwaambia nipeni maelezo ya jalada la polisi mliyokusanya. mwenye nguvu kuwaamrisha polisi kufanya hivyo ni DPP. sasa madeleka angeenda na ushahidi wa huyo dogo peke yake, angeshinda kesi? na akishindwa si atakuwa amepoteza haki ya dogo kizembe sana? kwa wanaonielewa wameelewa.
Nikutakie mwaka mpya 2024 wa mafanikioZuzu madeleka labda!
Wewe brother acha kuendelea kujishushia heshima eti na wewe ni mwanasheria .Duh...!, hawa watakuwa ni mawakili wa ajabu sana!, uamuzi wa DPP kwenye Nolle hauhojiwi na yeyote hata rais wa JMT!, sasa hiyo rufaa uta file kwa merits gani?.
The best way forward ni
1. Kufungua Private Prosecution
2. Kufungua Civil case ya criminal trespass
P
Acha kuwa narrow minded eti shahidi ni yule dogo tu haujui kama kuna ripoti za madaktari hata video clips za kina gekuli na pia tambua mashauri ya kisheria yanaweza kiutaratibu kupelekwa Kwenye mahakama nyingine za kimataifa mfano suala hili mahakama za ndani zikilipiga danadana linaweza kupelekwa The African Court on Human and Peoples’ Rights ambao wanaweza kulitolea maamuzi ambayo yanaweza kuiaibisha serikaliKatiba ya Tanzania hairuhusu DPP kumtetea mtu. nionacho mimi, na ambacho inawezekana kuwa ni cha kweli, DPP ile issue ameona inapelelezwa bado, na madeleka amekurupuka kwenda bila ushahidi tangible, angeendelea na kesi mahakamani manake asingeweza kushinda (ila angepata tu faida ya popularity), na Mahakama ingemwona Gekul hana kosa manake hata DPP angemaliza upelelezi wake kupitia mapolisi Gekul asingeweza kushitakika tena kwasababu alishaachiwa na Mahakama kwenye kesi ya madeleka. kwa wanasheria wanajua kwamba ukishitakiwa kwa jinai ukatamkiwa kuwa huna hatia, hutakiwi tena kushtakiwa kwa kosa lilelile. sasa DPP asingeweza kukubali kuona madeleka anaharibu kesi kwa maslahi ya popularity yake. iliuwa ni busara kuifuta, na inaweza kufunguliwa tena baadaye upelelezi ukikusanywa vyema.
kwa akili ya kawaida, ni shahidi gani madeleka angeweza kumleta zaidi ya yule mmoja tu, yule dogo. hakuna. kwenye ushahidi mwingine, kama ule ambao mapolisi watakuwa waliandika maelezo ya mashahidi, madeleka hana access na jalada la polisi. madeleka hawezi kwenda polisi na kuwaambia nipeni maelezo ya jalada la polisi mliyokusanya. mwenye nguvu kuwaamrisha polisi kufanya hivyo ni DPP. sasa madeleka angeenda na ushahidi wa huyo dogo peke yake, angeshinda kesi? na akishindwa si atakuwa amepoteza haki ya dogo kizembe sana? kwa wanaonielewa wameelewa.
Elewa huo ni mchakato wa kuweza kulifikisha lalamiko hili The African Court on Human and Peoples’ Rightsukitaka kujua madeleka kiazi, amekosea kuanzia notice ya kukata rufaa yenyewe. pia, hajui kama kesi zote za jinai DPP ana mamlaka juu yake, hata zile za private prosecutions. ni ajabu kwamba wakili mwenzetu hajui hiki kitu na anapenda kuwadanganya wananchi wa kawaida. yeye kama angetaka kuchallenge nolle, angefungua shauri la kikatiba, sio kukata rufaa kwasababu mashauri dhidi ya nolle yalishawahi katiwa rufaa na kutolewa maamuzi kitambo sana.
Sheria zetu zinaruhusu private prosecution?Duh...!, hawa watakuwa ni mawakili wa ajabu sana!, uamuzi wa DPP kwenye Nolle hauhojiwi na yeyote hata rais wa JMT!, sasa hiyo rufaa uta file kwa merits gani?.
The best way forward ni
1. Kufungua Private Prosecution
2. Kufungua Civil case ya criminal trespass
P
Nimekuelewa vizuri kabisa. Kuna vilaza niliwaambia hivi hivi wakanibishia... Inshort Madeleka kwa hili ameonyesha kiherehere Cha hali ya juu ingawa dhamira yake inaweza kuwa njemaKatiba ya Tanzania hairuhusu DPP kumtetea mtu. nionacho mimi, na ambacho inawezekana kuwa ni cha kweli, DPP ile issue ameona inapelelezwa bado, na madeleka amekurupuka kwenda bila ushahidi tangible, angeendelea na kesi mahakamani manake asingeweza kushinda (ila angepata tu faida ya popularity), na Mahakama ingemwona Gekul hana kosa manake hata DPP angemaliza upelelezi wake kupitia mapolisi Gekul asingeweza kushitakika tena kwasababu alishaachiwa na Mahakama kwenye kesi ya madeleka. kwa wanasheria wanajua kwamba ukishitakiwa kwa jinai ukatamkiwa kuwa huna hatia, hutakiwi tena kushtakiwa kwa kosa lilelile. sasa DPP asingeweza kukubali kuona madeleka anaharibu kesi kwa maslahi ya popularity yake. iliuwa ni busara kuifuta, na inaweza kufunguliwa tena baadaye upelelezi ukikusanywa vyema.
kwa akili ya kawaida, ni shahidi gani madeleka angeweza kumleta zaidi ya yule mmoja tu, yule dogo. hakuna. kwenye ushahidi mwingine, kama ule ambao mapolisi watakuwa waliandika maelezo ya mashahidi, madeleka hana access na jalada la polisi. madeleka hawezi kwenda polisi na kuwaambia nipeni maelezo ya jalada la polisi mliyokusanya. mwenye nguvu kuwaamrisha polisi kufanya hivyo ni DPP. sasa madeleka angeenda na ushahidi wa huyo dogo peke yake, angeshinda kesi? na akishindwa si atakuwa amepoteza haki ya dogo kizembe sana? kwa wanaonielewa wameelewa.
Kumbe kichwani mwako kuna viwaviAtakata rufaa Kenya?
Kama bana yakoSijawahi kuona wakili mpuuzi kama madeleka, hana akili kabisa
Hapo Machame Kilabuni mnakesha?Kumbe kichwani mwako kuna viwavi
Madeleka ni Wakili wa Mchongo, na ndiyo maana anakurupuka!!Katiba ya Tanzania hairuhusu DPP kumtetea mtu. nionacho mimi, na ambacho inawezekana kuwa ni cha kweli, DPP ile issue ameona inapelelezwa bado, na madeleka amekurupuka kwenda bila ushahidi tangible, angeendelea na kesi mahakamani manake asingeweza kushinda (ila angepata tu faida ya popularity), na Mahakama ingemwona Gekul hana kosa manake hata DPP angemaliza upelelezi wake kupitia mapolisi Gekul asingeweza kushitakika tena kwasababu alishaachiwa na Mahakama kwenye kesi ya madeleka. kwa wanasheria wanajua kwamba ukishitakiwa kwa jinai ukatamkiwa kuwa huna hatia, hutakiwi tena kushtakiwa kwa kosa lilelile. sasa DPP asingeweza kukubali kuona madeleka anaharibu kesi kwa maslahi ya popularity yake. iliuwa ni busara kuifuta, na inaweza kufunguliwa tena baadaye upelelezi ukikusanywa vyema.
kwa akili ya kawaida, ni shahidi gani madeleka angeweza kumleta zaidi ya yule mmoja tu, yule dogo. hakuna. kwenye ushahidi mwingine, kama ule ambao mapolisi watakuwa waliandika maelezo ya mashahidi, madeleka hana access na jalada la polisi. madeleka hawezi kwenda polisi na kuwaambia nipeni maelezo ya jalada la polisi mliyokusanya. mwenye nguvu kuwaamrisha polisi kufanya hivyo ni DPP. sasa madeleka angeenda na ushahidi wa huyo dogo peke yake, angeshinda kesi? na akishindwa si atakuwa amepoteza haki ya dogo kizembe sana? kwa wanaonielewa wameelewa.
Mkiristo kichaa weweBakwata
Kama dhamira ya Madeleka ilikua njema,basi angeshirikiana na office ya Mashitaka kwenye hili swala na siyo yeye kujipa mamlaka ya DPP!!Nimekuelewa vizuri kabisa. Kuna vilaza niliwaambia hivi hivi wakanibishia... Inshort Madeleka kwa hili ameonyesha kiherehere Cha hali ya juu ingawa dhamira yake inaweza kuwa njema